Itakavyokuwa hotuba ya Bernard Membe ya Kuwaunganisha wapinzani

Vipi ataongelea kuhusu na wale "maadui zake 12"?

Wameongezeka/pungua au bado walewale tu?
 
SUBIRI KAKA,SISI TUNAGOMBEA NA MVUTO WETU UTAUONA, time will tell
 
Na kisipotokea hicho mkuu kwa chadema ama Act mkuu nidai bia 5...

Miaka mi5 hakuna mkakati wa kuandaa mgombea na kumpika...

Last minute wanachukua most popular.. aliyetoka ccm...

Watajitetea "tutamtumia hata shetani kuitoa CCM madarakani".
Yani Kama na uchaguzi ujao upinzani ukiungana halfu ukampitisha kada wa CCM alietimuliwa ndo awe mgombea urais ndo nitaamini kabisa kuwa Tanzania bado hakuna upinzan wa kweli Bali Kuna Wahuni tu.
 
Yeyote atakayekuwa anagombea dhidi ya jiwe la chattle basi ajue ana kura zetu wabongo 95%.

Atueleze tu mkakati utakaotumika pale wahuni watakapogoma kukabidhi ushindi wetu kama ambavyo wamekuwa wakifanya hapo awali.

Maana haiwezekani toka 95 napiga kura mpaka leo kushinda mnashinda kila mara, mnaporwa ushindi hamchukui hatua za kuonekana
 
Zitto amekwisha mkaribisha. Ukitaka kujua Tila-lila2 ni Membe soma uandishi huo. Ni uandishi wa msomi. Angalia sentensi. Hazina makosa ya kisarufi ama ya ku-type. R na l hazikuchanganywa, h na a ziko sawasawa. Siyo uandikaji wa Mswahili wa kawaida (average) huo.
 
Zitto amekwisha mkaribisha.

Anaruhusiwa kwa 100%, lakini asitarajie wapinzani wanaojitambua kumuunga mkono huyo mzee wa ccm. Somo tulillolipata kwa Lowassa linatosha. Kutenda kosa sio kosa, bali kurudia kosa.
 
Nadhani ACT haijatangaza fomu za urais ili kumsubiri subiri.

Wakikosea wakafanya hilo, ndio watajua wapiga kura wengi wa upinzani wanajitambua. Wapiga kura wengi wa ccm ndio bendera fuata upepo, lakini wapiga kura wengi wa upinzani, hawafanyi makosa mara 2.
 
Lijuakali alieleza tulivyoiba kura kilombero
 
Inakuwaje unawadharau wenzako kiasi hata unawaita wapuuzi? Nani kakudanganya kuwa wewe ndiye genius?

Wacha dharau na huo u genius wako baki nao nyumbani kwenu.
Chadema mchukueni awe mgombea wenu. Kauli yake so mnaijua? Kazi na Bata! Ahahahahah!
 
Na kisipotokea hicho mkuu kwa chadema ama Act mkuu nidai bia 5...

Miaka mi5 hakuna mkakati wa kuandaa mgombea na kumpika...

Last minute wanachukua most popular.. aliyetoka ccm...

Watajitetea "tutamtumia hata shetani kuitoa CCM madarakani".
Ikijirudia tena Upinzani hautakuwa na maana Tena na Kazi yetu wapiga kura tutawapuuza tu na kuendelea kuiamini CCM ambayo inaonekana kurejea kwenye msitari wa Maendeleo ya kweli.
 
Umenena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…