Itakavyokuwa hotuba ya Bernard Membe ya Kuwaunganisha wapinzani

Basi inawezekana ni kweli ccm ndio chama bora maana wale waliokosa nafasi ya kugombea uraisi ccm wapinzani wanawatamani wagombee kwao maana yake ni kwamba katika wapinzani hakuna wenye sifa ya kupewa uraisi

Tanzania hakuna upinzani kuna usanii mtupu
 
Wewe ndio yule ajaye au tumsubiri mwingine?
 
Lazima atamzungumzia Ben Saanane. Jamaa alikuwa anamchukulia Membe kama mmojawapo wa “role models” wake. Let’s wait and see!
 
Wengine watakaogombea nao waje na hoja zao watakachofanya, wananchi tuamuwe. Hiyo ndo demokrasia. Mwenye hoja zinazokubalika zaidi apewe ushirikiano.
 
Wengine watakaogombea nao waje na hoja zao watakachofanya, wananchi tuamuwe. Hiyo ndo demokrasia. Mwenye hoja zinazokubalika zaidi apewe ushirikiano.
Ni kweli - hapa watu wanakosoa tu lakini hawasemi wagombea wao wataongea nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…