Itakuaje siku Diamond akiwaomba radhi clouds TV?

Eleweni siku zote cha kwanza kimepitia mengi mno hao wasafikwenye mziki tu huku kwingine waaache watu waendelee na ustarabu wao.
 
Hii thread ni ya kudadisi zaidi
sio ya kuponda na kushangilia upande
i am more curious ni hii fitina ya hii industry kuliko kushabikia timu fulani
Katika industry hii ya bongo flavour hizi curiosity ni shida..

Subiri uone kitachofuata.

Maana huu ni uzi wa tatu leo humu juu ya WCB na Clouds.

Subiri uone wachawi watakavyotumia hizi CURIOSITY zenu sasa.
 
E FM wenyewe wanaonekana kushindwa, walekua ktk game 2016 2017 lkn hadi kufikia Leo, naona bado hawajatoboa tena hao wana TV wana radio, sembuse msanii wa kawaida!!!?
 
Kuna Tv na radio nyingi mno hazipati faida TZ..na zina pesa
mfano TV ya David Mosha....haina hata watazamaji licha ya mtaji mkubwa
ASTV..
Dimond hana Uwezo wa kufungua Radio na TV,kuna watu wapo nyuma,achaneni na maisha ya instagram na facebook ya wasanii,maisha ya uhalisia ni tofauti na instagram,awamu ya 4 dimond alikuwa anatumia migongo ya kina rizmoko kufanya dili zake za "SNOW",Dimond mziki haumlipi hata kidogo,Show anazofanya wakati ana kundi la watu 20 wote hiyo hiyo hela ya show zinatosha? Hata akipiga show kwa 20m,mtagawana vipi? Fela,Tale,Mwarabu koko salamu,Dancers,Walinzi etc

Kwasasa wanajipendekeza kwa BASHITE awape madili haramu kama enzi za awamu ya nne,endorsements za dimond za kuhesabu ambazo haziwezi kumlipa mpaka kununua nyumba instagram iliyopo S.A,mtu mwenye hela hawezi kuishi kwenye kiwanja cha 25 kwa 25 madale,ilitakiwa awe na 140m kwa 140m ESTATE na si viwanja ukijenga hata Gari mbili ndani haziingii.

Wasanii maisha yao yote ni maigizo tu.
 
Jide na Sugu mkuu naomba msiwe mnamsahau Sugu jaman

Sugu hapana mkuu,Sugu kasanda,ugomvi wao uliisha kwa kigezo cha kusema Mbowe alikutana na Ruge hili waweze kupata mwafaka...SUGU kashamaliza ugomvi na Ruge.
 
Niombe radhi haraka otherwise kama lengo lako ni kunitafutia ban basi na iwe hivyo.

Nakupa dakika 20 nitarudi hapa.
Hahah!! Mwana anaforce kila mtu asimame upande wake
 
Sugu peke yake naweza kusema ndo aliwatetemesha hawa
Yani huyo Ruge alikua ananyimwa usingizi na Sugu maana jamaa ni mbishi sana yani Ruge anamkwamishia harakati kimuziki ila Sugu akazidi kutoboa mpaka kuingia bungeni
Sugu hapana mkuu,Sugu kasanda,ugomvi wao uliisha kwa kigezo cha kusema Mbowe alikutana na Ruge hili waweze kupata mwafaka...SUGU kashamaliza ugomvi na Ruge.
Sugu hakusanda askari wangu asikuambie mtu, Ruge ndio alisanda mpaka kuomba suruhu kupitia viongoz wa Sungu
 

Mkuu kwani kuishi Madale ni big deal?
 

maisha yako hajayaaribu diamond wewe babu unamchukia bure..pambana ujachelewa bado
 
Ujinga ninaouona kwa watu wa clouds ni kudhani kuwa Diamond kajifikisha hapo alipo bila support kubwa na akili kubwa ya managers wake. Bila kuwa na mameneja imara na wanaokwepa matuta mengi Diamond angekuwa alishapotea zamani. Na ni haohao clouds ndio wapambe wa kuendesha kampeni za kumshusha Diamond hasa kutoka na strictness aliyonayo kwenye ishu ya maslahi. Kumbuka hata Shigongo aliwahi kuwalaumu sana mameneja wa Diamond na chanzo ikiwa ni malipo makubwa anayotoza Diamond.
 

Kutaka Amani wa Vita utakufa Mapema.....Sugu ilitakiwa akaze mwanzo mpaka mwisho mpaka kile walichokua wanakisimamia vinega kiwekwe sawa.
 
yaan ruby unamlinganisha na diamond?
 
ivi unamkumbuka Sugu? nani aliomba po?

ule mradi wa malaria, sugu[emoji91] chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…