Wanachopaswa kutambuwa watu ni kwamba Makonda siyo RC wa milele Dar, ametukuta Dar na atatuacha na.Dar yetu.
Ukitaka kushindana na Madon kama kina Kusaga sisi tuliozaliwa na kukulia jiji hili tunakutazama tu, tunajuwa ngoma ya kitoto haikeshi.
Naseed sidhani kama ana matatizo na mtu bali genge lake ndio linamuingiza matatizoni na wote ukiwatazama kwa makini wanaishi mjini kwa kutumia kipaji cha Naseeb.
Anyway muda utaamuwa lakini WCB hawana ubavu wa kudindishiana msuli na Clouds Media.
Joseph Kusaga alianza mwenyewe kubeba maspika ya kupigia disco kupeleka ukumbini, kuna washamba wa kuja wanamchukulia poa.
Clouds siyo Ruge, Clouds ni Joseph Kusaga, wacha wajinga wajaribu kujamba wakati wana matumbo ya kuhara, tuombe uhai tu.