Mbunge sahivi ana mambo mengi ya kufanya pia njia aliokua anatumia kupambana na Ruge sio rafiki tena kwa sehemu alipo sasa... ila kimtindo harakati aliziendeleza bungeni mpaka Ruge kuomba yaisheKutaka Amani wa Vita utakufa Mapema.....Sugu ilitakiwa akaze mwanzo mpaka mwisho mpaka kile walichokua wanakisimamia vinega kiwekwe sawa.
ivi clouds wao nani wasishindwe?We jamaa una mawazo km yangu, binafsi nahisi Wasafi TV Radio sio ya Dai, bali inawezakuwa ya DAB.
Pili bifu la Sallam ilikuwa njia ya Sallam kumuokoa Iyobo na kwa kuwa Ruge ndo aliamuru jamaa apelekwe police ndo jumba bovu likamuangukia hasa ukizingatia Ruge hana ule ushikaji wa nje na kazi... na km vile Sallam anaiogopa clouds
kaa ivo ivo,, subiri tu,, hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.Ila kuendesha Radio/Tv si kazi rahisi. Mpaka upate mashabiki royal inahitaji muda sana.
Na radio si Muziki tu, siku hizi Watu wanapata Muziki wanapata Youtube na social networks nyingine. Radio/Tv zinahitaji contents tofautitofauti na kusoma mahitaji ya soko.
Cc: chige
achana na Jide, kitu SUGU [emoji91] CHINIMpaka sasa JIDE ndio kakomaa na CLOUDS wengine wote wameomba msamaha,Dimond na MWarabu KOKO SALAMU lazima watakuja kuomba msamaha.
Na domo alivomjinga na akili zake zoteWanachopaswa kutambuwa watu ni kwamba Makonda siyo RC wa milele Dar, ametukuta Dar na atatuacha na.Dar yetu.
Ukitaka kushindana na Madon kama kina Kusaga sisi tuliozaliwa na kukulia jiji hili tunakutazama tu, tunajuwa ngoma ya kitoto haikeshi.
Naseed sidhani kama ana matatizo na mtu bali genge lake ndio linamuingiza matatizoni na wote ukiwatazama kwa makini wanaishi mjini kwa kutumia kipaji cha Naseeb.
Anyway muda utaamuwa lakini WCB hawana ubavu wa kudindishiana msuli na Clouds Media.
Joseph Kusaga alianza mwenyewe kubeba maspika ya kupigia disco kupeleka ukumbini, kuna washamba wa kuja wanamchukulia poa.
Clouds siyo Ruge, Clouds ni Joseph Kusaga, wacha wajinga wajaribu kujamba wakati wana matumbo ya kuhara, tuombe uhai tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui lolote hapa.ila nachojua wote wehu tuu.
Mtt wako wa kumzaa hawezivi clouds wao nani wasishindwe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sikuombi radhi ....
Kuna watu wa kuomba radhi....sio wewe.
lakini huyuhuyo mtoto ndo atakaye kuzika pindi ukifarikiMtt wako wa kumzaa hawez
Kukushinda tabia
Lkn atabak kuwa mtt tulakini huyuhuyo mtoto ndo atakaye kuzika pindi ukifariki
Ndoto za mchana hz mtaota sanaNaomba kurudi manenno yangu "Diamond platnumz ndio msaanii wa kwanza Afrika Mashariki anaziangusha Media na kuendelea kusimama mwenyewe Ahsante Chibuendelea kuwakomboa Wasanii wenzio kifikira na kuufanya Muziki biashara kama nchi zingine zilivyoendelea katika Tasnia hii".
Usifananishe brand ya Mosha na brand wa WCB kumbuka robo 3 ya watanzania ambao wengi wao ni wanawake,watoto,na vijana ni mashabiki kindakindaki wa WCB....Kuna Tv na radio nyingi mno hazipati faida TZ..na zina pesa
mfano TV ya David Mosha....haina hata watazamaji licha ya mtaji mkubwa
ASTV..
Ujinga wa mwingine ndio fursa wewe tulia ukune nazi eti kuanzisha tv na radio kazi kwani hao wanaoweza ilikuaje.Ndoto za mchana hz mtaota sana
Tatizo lako unasahau kama WCB imejiimarisha kitaasisi sio mtu mmoja,ukishindwa kutumia kichwa kuona mambo basi tumia hata makalio alokupa mungu bure kuwazua mambo...shwainWakupambana na clouds n
Comandoo jide pekeake
Hao wengine wote n fukuza
Upepotu wcb c chochote Kwa
Clouds na wasngefka hapo kama
Co ruge Sasa wajue kua
Kama wamliamsha bhas watalinywa
Waangalie wenzao kina tid,sugu,ruby
Wote walisanda sembuse wao kuku
Mtt wa kumzaa mwenywe hawez
Kukushinda tabia
Nasema hv ngoma ya watoto haikeshUjinga wa mwingine ndio fursa wewe tulia ukune nazi eti kuanzisha tv na radio kazi kwani hao wanaoweza ilikuaje.
Agiza windhoek nakuja kulipaUjinga wa mwingine ndio fursa wewe tulia ukune nazi eti kuanzisha tv na radio kazi kwani hao wanaoweza ilikuaje.