Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shika adabu yako kijana...mimi nilikuwa CR wa SUA na nimeishi Ethiopia mjini Tigris kwa miaka miwili hivyo si level yako sawa!.Wewe hapa hujachangia?,au hiyo wewe unaiitaje?
Na sio juzi wala jana wana miaka lakini watu kimyaHivi hamjaona kwamba EATV hawapigi nyimbo za Mond....mmeng'angania Clouds tu?
Mkuu upo deep kwene haya mambo kuna kipindi walisema dai ananunua royce rolls ukasema hana kipato cha kumiliki ndiga hyo watu walikuponda mwisho wa siku mpaka leo hyo gari sijui iliishia wapi, ukweli ndio huo ana pesa za bando na nauli tu ya south africa
wanaume wa aina iyo niwale wanaopumuliwaMange kashawacheulia huko.
Wanamuamini zaidi ya misaafu..
Mwanaume mzima anakuja hapa na vigelegele eti mange kakinukisha!!???
Aisee tumetofautiana sana
Hahahha [emoji23]Mange kashawacheulia huko.
Wanamuamini zaidi ya misaafu..
Mwanaume mzima anakuja hapa na vigelegele eti mange kakinukisha!!???
Aisee tumetofautiana sana
Dimondi ni Overrated musician,na wanafanya hivyo kusudi ili apate dau kubwa kwenye shows,aonekana expensive.
Amna lolote kama ana amua kuanzisha radio natv yake ata weza tuuu kwani uyo kusaga kawezaje na ao wcb watashindwaje nimbinu tu zabiashara mambo yatajipa
.....unachojua hamna kitu !Sijui lolote hapa.ila nachojua wote hamna kitu.
Kwa nini isiwe "itakuwaje siku Clouds wakimuomba radhi Diamond?"Hili bifu la clouds fm na WCB kiasi fulani linanishangaza
na linanipa maswali kibao......
But nakumbuka jinsi TID enzi zake anajiita 'TOP IN DAR'
alivyowavimbia clouds hadi siku ile anaitisha press na kuwaomba msamaha...
wengi kwa kweli hatukuamini na hatukuelewa hasa anaomba msamaha kwa kosa
gani? na hata alipoulizwa why unaomba msamaha alishindwa kujibu..
Kwa sasa mashabiki wa Diamond wanasema clouds si lolote si chochote
WCB ni kubwa kuliko CLOUDS......sasa najiuliza tu je huu mpambano nani atashindwa?
je 'wataalam ' wa fitna safari hii wamekutana uso kwa uso?
na siku ikitokea Diamond au meneja wake yeyote anawaomba msamaha clouds...
itakuaje?...
Binafsi nna maswali kibao....
1.ugomvi huu hasa chanzo ni nini?
2.Mkubwa Fella yuko upande upi?
3.tv ya WCB ni yao wao au wana sponsor? sponsor wao ni nani?
4.Ruge na Salaam wana bifuu lingine la personal?
5.mikataba ya Diamond kwenye karanga na perfume itakuwa canceled ?
6.victims wa beef hili watachagua upande?...
WCB wakiweza hili beef kuibuka washindi naona ndo itakua mwanzo wa mwisho wa clouds
kuwa na nguvu hii kwenye industry but je wataweza?
au na wao wataishia kama TID na Ruby kuja kuomba msamaha?
Ila kuendesha Radio/Tv si kazi rahisi. Mpaka upate mashabiki royal inahitaji muda sana.
TRUE, media yoyote... sio TV na radio peke yake bali hata gazeti na blog!!Na radio si Muziki tu, siku hizi Watu wanapata Muziki wanapata Youtube na social networks nyingine. Radio/Tv zinahitaji contents tofautitofauti na kusoma mahitaji ya soko.
Cc: chige
Kuna Tv na radio nyingi mno hazipati faida TZ..na zina pesa
mfano TV ya David Mosha....haina hata watazamaji licha ya mtaji mkubwa
ASTV..
Amna lolote kama ana amua kuanzisha radio natv yake ata weza tuuu kwani uyo kusaga kawezaje na ao wcb watashindwaje nimbinu tu zabiashara mambo yatajipa
Mbona mnapenda kutoa mifano ya watu waliofeli? kila mtu ana mbinu zake ww kusoma ujui ata picha uoni? huku mtaani ni wasafi tuWakupambana na clouds n
Comandoo jide pekeake
Hao wengine wote n fukuza
Upepotu wcb c chochote Kwa
Clouds na wasngefka hapo kama
Co ruge Sasa wajue kua
Kama wamliamsha bhas watalinywa
Waangalie wenzao kina tid,sugu,ruby
Wote walisanda sembuse wao kuku
Mtt wa kumzaa mwenywe hawez
Kukushinda tabia