Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,888
- 3,352
Alokwambia JWTZ watafanya usafi ni nani je kama watafanya usafi polisi,jkt,au migambo au hujui hao wote ni wanajeshi???JWTZ Ina hadhi na heshima kubwa sana nchi hii. Lkn maagizo kama haya ndiyo yanaloshushia hadhi na heshima. Kuna wakati JWTZ waliambiwa wabebe korosho, tukaachwa midomo wazi.
Sasa Chalamila ameamuru JWTZ wakazoe takataka mitaani na kudeki vyoo vya stendi. Hii ni dharau kwa jeshi hili endapo watatii agizo la Chalamila.
Kama JWTZ walibeba korosho wanashindwaje kusafisha vyoo??Alokwambia JWTZ watafanya usafi ni nani je kama watafanya usafi polisi,jkt,au migambo au hujui hao wote ni wanajeshi???
Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni Taasisi kubwa sana , si Taasisi inayoweza kutumika Kisiasa kama anavyotaka kufanya RC wa Dar es Salaam , Albert Chalamila , ama Chalamila hajui mipaka ya Cheo Chake au analeta Usanii wake uliozoeleka , Bali ninachokijua ni Kwamba Chalamila ameropoka bila ku consult kiongozi yeyote wa juu .
Jeshi la Wananchi haliwezI kutii maagiizo ya kijinga kutoka kwa kiongozi wa chini kama Mkuu wa Mkoa , linaweza kutii maagizo ya Rais , Waziri wa Ulinzi au Mkuu wa Majeshi , Tuliwahi kumkataza Mkuu mmoja wa Wilaya Humu kuacha kuvaa sare za Jeshi kwenye shughuli zake (Tunashukuru kwamba alituelewa )
Kwahiyo nachukua nafasi hii kumkumbusha ndugu Chalamila kwamba hana mamlaka yoyote yale ya kuliamrisha Jeshi la Wananchi katika jambo lolote lile , kwanza anapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu kutokana na dharau kwa JW kwa kulipa kazi ya kusafisha mitaro , hii si kazi ya JW , vinginevyo atueleze hawa Wakandarasi wazoa taka wanaolipwa hela nyingi na Wananchi wapo kwa ajili ya nini .
Natoa wito kwa viongozi wa chini kama hawa Wakuu wa Mikoa kuacha kukwepa hoja za kisiasa na kujificha kwenye majeshi yetu , Huo ni Udhalilishaji , Sisi wananchi hatutakubali .
View attachment 2870893
Mimi huyu Jamaa huwa namuona hamnazo. Ila tu basi kwakuwa mfumo wetu wa kupata viongozi wakat mwingine haueleweki. Jamaa hafai msikitini Hafai kanisani ni mental kabisaJeshi la Wananchi wa Tanzania ni Taasisi kubwa sana , si Taasisi inayoweza kutumika Kisiasa kama anavyotaka kufanya RC wa Dar es Salaam , Albert Chalamila , ama Chalamila hajui mipaka ya Cheo Chake au analeta Usanii wake uliozoeleka , Bali ninachokijua ni Kwamba Chalamila ameropoka bila ku consult kiongozi yeyote wa juu .
Jeshi la Wananchi haliwezI kutii maagiizo ya kijinga kutoka kwa kiongozi wa chini kama Mkuu wa Mkoa , linaweza kutii maagizo ya Rais , Waziri wa Ulinzi au Mkuu wa Majeshi , Tuliwahi kumkataza Mkuu mmoja wa Wilaya Humu kuacha kuvaa sare za Jeshi kwenye shughuli zake (Tunashukuru kwamba alituelewa )
Kwahiyo nachukua nafasi hii kumkumbusha ndugu Chalamila kwamba hana mamlaka yoyote yale ya kuliamrisha Jeshi la Wananchi katika jambo lolote lile , kwanza anapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu kutokana na dharau kwa JW kwa kulipa kazi ya kusafisha mitaro , hii si kazi ya JW , vinginevyo atueleze hawa Wakandarasi wazoa taka wanaolipwa hela nyingi na Wananchi wapo kwa ajili ya nini .
Natoa wito kwa viongozi wa chini kama hawa Wakuu wa Mikoa kuacha kukwepa hoja za kisiasa na kujificha kwenye majeshi yetu , Huo ni Udhalilishaji , Sisi wananchi hatutakubali .
View attachment 2870893
Noma sanaJWTZ Ina hadhi na heshima kubwa sana nchi hii. Lkn maagizo kama haya ndiyo yanaloshushia hadhi na heshima. Kuna wakati JWTZ waliambiwa wabebe korosho, tukaachwa midomo wazi.
Sasa Chalamila ameamuru JWTZ wakazoe takataka mitaani na kudeki vyoo vya stendi. Hii ni dharau kwa jeshi hili endapo watatii agizo la Chalamila.
😆😆😆😆Moja ya majukumu ya jeshi ni kushirikiana na jamii katika majanga,kuna janga la kipindupindu limeanza kujitokeza nchini hivyo Jwtz inaenda kutekeleza wajibu wake.
Nadhani mshaelewa sasa kwanini mapolisi nao hutekeleza maelekezo mengine ambayo huwa yanatuacha vinywa wazi.
Mifugo ni wafuasi wa mwamba tuvushe mbona iko wazi sanaMfugo ni wewe mpumbavu.
una akili duni1 sana !Mifugo ni wafuasi wa mwamba tuvushe mbona iko wazi sana
Umemkumbuka weweMtanikumbuka 😂
CDF tunasubiria majawabu yako kwa WaTanzania wote wanaolipa kodi zao kwa Serikali na ninyi mkipata posho zenu hapo.Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni Taasisi kubwa sana , si Taasisi inayoweza kutumika Kisiasa kama anavyotaka kufanya RC wa Dar es Salaam , Albert Chalamila , ama Chalamila hajui mipaka ya Cheo Chake au analeta Usanii wake uliozoeleka , Bali ninachokijua ni Kwamba Chalamila ameropoka bila ku consult kiongozi yeyote wa juu .
Jeshi la Wananchi haliwezI kutii maagiizo ya kijinga kutoka kwa kiongozi wa chini kama Mkuu wa Mkoa , linaweza kutii maagizo ya Rais , Waziri wa Ulinzi au Mkuu wa Majeshi , Tuliwahi kumkataza Mkuu mmoja wa Wilaya Humu kuacha kuvaa sare za Jeshi kwenye shughuli zake (Tunashukuru kwamba alituelewa )
Kwahiyo nachukua nafasi hii kumkumbusha ndugu Chalamila kwamba hana mamlaka yoyote yale ya kuliamrisha Jeshi la Wananchi katika jambo lolote lile , kwanza anapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu kutokana na dharau kwa JW kwa kulipa kazi ya kusafisha mitaro , hii si kazi ya JW , vinginevyo atueleze hawa Wakandarasi wazoa taka wanaolipwa hela nyingi na Wananchi wapo kwa ajili ya nini .
Natoa wito kwa viongozi wa chini kama hawa Wakuu wa Mikoa kuacha kukwepa hoja za kisiasa na kujificha kwenye majeshi yetu , Huo ni Udhalilishaji , Sisi wananchi hatutakubali .
View attachment 2870893
politicising the army, matokeo yake nao watatamani URAIS... Samia chunga sana hii, itakugeuka in the long run! waache wanajeshi wakae kambiniJeshi la Wananchi wa Tanzania ni Taasisi kubwa sana , si Taasisi inayoweza kutumika Kisiasa kama anavyotaka kufanya RC wa Dar es Salaam , Albert Chalamila , ama Chalamila hajui mipaka ya Cheo Chake au analeta Usanii wake uliozoeleka , Bali ninachokijua ni Kwamba Chalamila ameropoka bila ku consult kiongozi yeyote wa juu .
Jeshi la Wananchi haliwezI kutii maagiizo ya kijinga kutoka kwa kiongozi wa chini kama Mkuu wa Mkoa , linaweza kutii maagizo ya Rais , Waziri wa Ulinzi au Mkuu wa Majeshi , Tuliwahi kumkataza Mkuu mmoja wa Wilaya Humu kuacha kuvaa sare za Jeshi kwenye shughuli zake (Tunashukuru kwamba alituelewa )
Kwahiyo nachukua nafasi hii kumkumbusha ndugu Chalamila kwamba hana mamlaka yoyote yale ya kuliamrisha Jeshi la Wananchi katika jambo lolote lile , kwanza anapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu kutokana na dharau kwa JW kwa kulipa kazi ya kusafisha mitaro , hii si kazi ya JW , vinginevyo atueleze hawa Wakandarasi wazoa taka wanaolipwa hela nyingi na Wananchi wapo kwa ajili ya nini .
Natoa wito kwa viongozi wa chini kama hawa Wakuu wa Mikoa kuacha kukwepa hoja za kisiasa na kujificha kwenye majeshi yetu , Huo ni Udhalilishaji , Sisi wananchi hatutakubali .
View attachment 2870893
Manyumbu bwana, hv bado mna gutts tu za kumtukana mtu?!!!! Tena aliyewamalizia mbali kiulaiiiini kabisa...Basi Amri jeshi mkuu atakuwa kilaza.
Hauna kende wewe ndiyo maana unadhani kila anayekupinga ni kende zako.Umenielewa au na wewe kichwa maji? Mimi nimezungumzia chain of command then wewe unaleta mambo ya makende, nikisema wewe ni ndo kende zangu nitakuwa sahihi.
Kikubwa jitokezeni tarehe 24,so acheni stori zisizo na msingiJeshi la Wananchi wa Tanzania ni Taasisi kubwa sana, si Taasisi inayoweza kutumika Kisiasa kama anavyotaka kufanya RC wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ama Chalamila hajui mipaka ya Cheo Chake au analeta Usanii wake uliozoeleka, Bali ninachokijua ni Kwamba Chalamila ameropoka bila ku consult kiongozi yeyote wa juu.
Jeshi la Wananchi haliwezI kutii maagiizo ya kijinga kutoka kwa kiongozi wa chini kama Mkuu wa Mkoa, linaweza kutii maagizo ya Rais, Waziri wa Ulinzi au Mkuu wa Majeshi, Tuliwahi kumkataza Mkuu mmoja wa Wilaya Humu kuacha kuvaa sare za Jeshi kwenye shughuli zake (Tunashukuru kwamba alituelewa )
Kwahiyo nachukua nafasi hii kumkumbusha ndugu Chalamila kwamba hana mamlaka yoyote yale ya kuliamrisha Jeshi la Wananchi katika jambo lolote lile, kwanza anapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu kutokana na dharau kwa JW kwa kulipa kazi ya kusafisha mitaro, hii si kazi ya JW, vinginevyo atueleze hawa Wakandarasi wazoa taka wanaolipwa hela nyingi na Wananchi wapo kwa ajili ya nini.
Natoa wito kwa viongozi wa chini kama hawa Wakuu wa Mikoa kuacha kukwepa hoja za kisiasa na kujificha kwenye majeshi yetu, Huo ni Udhalilishaji, Sisi wananchi hatutakubali .
View attachment 2870893
Hiyo imeishaKikubwa jitokezeni tarehe 24,so acheni stori zisizo na msingi
Haijaisha Hadi tuwaone January 24Hiyo imeisha