Pre GE2025 Itakuwa Aibu sana kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kutumikishwa na mtu mdogo kama Albert Chalamila

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
JWTZ Ina hadhi na heshima kubwa sana nchi hii. Lkn maagizo kama haya ndiyo yanaloshushia hadhi na heshima. Kuna wakati JWTZ waliambiwa wabebe korosho, tukaachwa midomo wazi.

Sasa Chalamila ameamuru JWTZ wakazoe takataka mitaani na kudeki vyoo vya stendi. Hii ni dharau kwa jeshi hili endapo watatii agizo la Chalamila.
Alokwambia JWTZ watafanya usafi ni nani je kama watafanya usafi polisi,jkt,au migambo au hujui hao wote ni wanajeshi???
 
Moja ya majukumu ya jeshi ni kushirikiana na jamii katika majanga,kuna janga la kipindupindu limeanza kujitokeza nchini hivyo Jwtz inaenda kutekeleza wajibu wake.

Nadhani mshaelewa sasa kwanini mapolisi nao hutekeleza maelekezo mengine ambayo huwa yanatuacha vinywa wazi.
 
Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni Taasisi kubwa sana , si Taasisi inayoweza kutumika Kisiasa kama anavyotaka kufanya RC wa Dar es Salaam , Albert Chalamila , ama Chalamila hajui mipaka ya Cheo Chake au analeta Usanii wake uliozoeleka , Bali ninachokijua ni Kwamba Chalamila ameropoka bila ku consult kiongozi yeyote wa juu .

Jeshi la Wananchi haliwezI kutii maagiizo ya kijinga kutoka kwa kiongozi wa chini kama Mkuu wa Mkoa , linaweza kutii maagizo ya Rais , Waziri wa Ulinzi au Mkuu wa Majeshi , Tuliwahi kumkataza Mkuu mmoja wa Wilaya Humu kuacha kuvaa sare za Jeshi kwenye shughuli zake (Tunashukuru kwamba alituelewa )

Kwahiyo nachukua nafasi hii kumkumbusha ndugu Chalamila kwamba hana mamlaka yoyote yale ya kuliamrisha Jeshi la Wananchi katika jambo lolote lile , kwanza anapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu kutokana na dharau kwa JW kwa kulipa kazi ya kusafisha mitaro , hii si kazi ya JW , vinginevyo atueleze hawa Wakandarasi wazoa taka wanaolipwa hela nyingi na Wananchi wapo kwa ajili ya nini .

Natoa wito kwa viongozi wa chini kama hawa Wakuu wa Mikoa kuacha kukwepa hoja za kisiasa na kujificha kwenye majeshi yetu , Huo ni Udhalilishaji , Sisi wananchi hatutakubali .

View attachment 2870893

Mimi huyu Jamaa huwa namuona hamnazo. Ila tu basi kwakuwa mfumo wetu wa kupata viongozi wakat mwingine haueleweki. Jamaa hafai msikitini Hafai kanisani ni mental kabisa
 
Wanajidhalilisha wenyewe hao, Kama waliingia mitaani kukamata "MITUMBA" Chalamila waongezee kazi, wazibue "VYOO" mkoa mzima wa Dar, harufu ya mavi iwakumbushe wajibu wao😡😡😡
 
JWTZ Ina hadhi na heshima kubwa sana nchi hii. Lkn maagizo kama haya ndiyo yanaloshushia hadhi na heshima. Kuna wakati JWTZ waliambiwa wabebe korosho, tukaachwa midomo wazi.

Sasa Chalamila ameamuru JWTZ wakazoe takataka mitaani na kudeki vyoo vya stendi. Hii ni dharau kwa jeshi hili endapo watatii agizo la Chalamila.
Noma sana
 
Moja ya majukumu ya jeshi ni kushirikiana na jamii katika majanga,kuna janga la kipindupindu limeanza kujitokeza nchini hivyo Jwtz inaenda kutekeleza wajibu wake.

Nadhani mshaelewa sasa kwanini mapolisi nao hutekeleza maelekezo mengine ambayo huwa yanatuacha vinywa wazi.
😆😆😆😆
 
Siku niliyoona CDF Mabeyo anampigia salute DC Mwegelo, nikajua tu hii nchi kuna tatizo mahali, binafsi naona bora jeshi lingeingizwa kwenye mihimili mikuu ya serikali
 
Wakati jeshi linasafisha HANANG mliona ni sawa. Sasa hata kwa Dar pia mtulie. Ni bahati mbaya shughuli yao imeangukia kwenye tarehe yenu ya maandamano. Pangeni tarehe nyingine
 
Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni Taasisi kubwa sana , si Taasisi inayoweza kutumika Kisiasa kama anavyotaka kufanya RC wa Dar es Salaam , Albert Chalamila , ama Chalamila hajui mipaka ya Cheo Chake au analeta Usanii wake uliozoeleka , Bali ninachokijua ni Kwamba Chalamila ameropoka bila ku consult kiongozi yeyote wa juu .

Jeshi la Wananchi haliwezI kutii maagiizo ya kijinga kutoka kwa kiongozi wa chini kama Mkuu wa Mkoa , linaweza kutii maagizo ya Rais , Waziri wa Ulinzi au Mkuu wa Majeshi , Tuliwahi kumkataza Mkuu mmoja wa Wilaya Humu kuacha kuvaa sare za Jeshi kwenye shughuli zake (Tunashukuru kwamba alituelewa )

Kwahiyo nachukua nafasi hii kumkumbusha ndugu Chalamila kwamba hana mamlaka yoyote yale ya kuliamrisha Jeshi la Wananchi katika jambo lolote lile , kwanza anapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu kutokana na dharau kwa JW kwa kulipa kazi ya kusafisha mitaro , hii si kazi ya JW , vinginevyo atueleze hawa Wakandarasi wazoa taka wanaolipwa hela nyingi na Wananchi wapo kwa ajili ya nini .

Natoa wito kwa viongozi wa chini kama hawa Wakuu wa Mikoa kuacha kukwepa hoja za kisiasa na kujificha kwenye majeshi yetu , Huo ni Udhalilishaji , Sisi wananchi hatutakubali .

View attachment 2870893
CDF tunasubiria majawabu yako kwa WaTanzania wote wanaolipa kodi zao kwa Serikali na ninyi mkipata posho zenu hapo.
HAKI HAKI.
 
Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni Taasisi kubwa sana , si Taasisi inayoweza kutumika Kisiasa kama anavyotaka kufanya RC wa Dar es Salaam , Albert Chalamila , ama Chalamila hajui mipaka ya Cheo Chake au analeta Usanii wake uliozoeleka , Bali ninachokijua ni Kwamba Chalamila ameropoka bila ku consult kiongozi yeyote wa juu .

Jeshi la Wananchi haliwezI kutii maagiizo ya kijinga kutoka kwa kiongozi wa chini kama Mkuu wa Mkoa , linaweza kutii maagizo ya Rais , Waziri wa Ulinzi au Mkuu wa Majeshi , Tuliwahi kumkataza Mkuu mmoja wa Wilaya Humu kuacha kuvaa sare za Jeshi kwenye shughuli zake (Tunashukuru kwamba alituelewa )

Kwahiyo nachukua nafasi hii kumkumbusha ndugu Chalamila kwamba hana mamlaka yoyote yale ya kuliamrisha Jeshi la Wananchi katika jambo lolote lile , kwanza anapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu kutokana na dharau kwa JW kwa kulipa kazi ya kusafisha mitaro , hii si kazi ya JW , vinginevyo atueleze hawa Wakandarasi wazoa taka wanaolipwa hela nyingi na Wananchi wapo kwa ajili ya nini .

Natoa wito kwa viongozi wa chini kama hawa Wakuu wa Mikoa kuacha kukwepa hoja za kisiasa na kujificha kwenye majeshi yetu , Huo ni Udhalilishaji , Sisi wananchi hatutakubali .

View attachment 2870893
politicising the army, matokeo yake nao watatamani URAIS... Samia chunga sana hii, itakugeuka in the long run! waache wanajeshi wakae kambini
 
Umenielewa au na wewe kichwa maji? Mimi nimezungumzia chain of command then wewe unaleta mambo ya makende, nikisema wewe ni ndo kende zangu nitakuwa sahihi.
Hauna kende wewe ndiyo maana unadhani kila anayekupinga ni kende zako.

Kama chain of command haiko sawa basi tusubiri hiyo tarehe 24/1
 
Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni Taasisi kubwa sana, si Taasisi inayoweza kutumika Kisiasa kama anavyotaka kufanya RC wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ama Chalamila hajui mipaka ya Cheo Chake au analeta Usanii wake uliozoeleka, Bali ninachokijua ni Kwamba Chalamila ameropoka bila ku consult kiongozi yeyote wa juu.

Jeshi la Wananchi haliwezI kutii maagiizo ya kijinga kutoka kwa kiongozi wa chini kama Mkuu wa Mkoa, linaweza kutii maagizo ya Rais, Waziri wa Ulinzi au Mkuu wa Majeshi, Tuliwahi kumkataza Mkuu mmoja wa Wilaya Humu kuacha kuvaa sare za Jeshi kwenye shughuli zake (Tunashukuru kwamba alituelewa )

Kwahiyo nachukua nafasi hii kumkumbusha ndugu Chalamila kwamba hana mamlaka yoyote yale ya kuliamrisha Jeshi la Wananchi katika jambo lolote lile, kwanza anapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu kutokana na dharau kwa JW kwa kulipa kazi ya kusafisha mitaro, hii si kazi ya JW, vinginevyo atueleze hawa Wakandarasi wazoa taka wanaolipwa hela nyingi na Wananchi wapo kwa ajili ya nini.

Natoa wito kwa viongozi wa chini kama hawa Wakuu wa Mikoa kuacha kukwepa hoja za kisiasa na kujificha kwenye majeshi yetu, Huo ni Udhalilishaji, Sisi wananchi hatutakubali .

View attachment 2870893
Kikubwa jitokezeni tarehe 24,so acheni stori zisizo na msingi
 
Jeshi sio kama huko kwenu ambapo ni familia ya kambale, jeshi ni NIDHAMU kwa kuzingatia mambo makuu matatu UTII,UAMINIFU NA UHODARI. Jeshi linatii Mamlaka ambazo zipo kwa mujibu wa sheria.

Nyie watu ambao kidogo tuu mshakimbilia Brussels na Canada sio watu wa kuaminiwa na taifa hili.
 
Back
Top Bottom