Itakuwa jambo jema na la busara kama Serikali ya Tanzania itaifungia Twitter

Ok wewe uliyepitia Jkt niambie polisi wanatumia bunduki aina gani? Na risasi zao ni mm ngapi? Je zinawezq kutoboa mtu inchi nne? Son of gun!
Zinaweza. Na ndio maana zimetoboa. Zinaweza kutoboa zaidi ya nchi nne. Waswahili husema "ukipenda chon go huona kengeza". Kwani ukatili wote uliofanywa na vyombo vya ulinzi dhidi ya raia unakuja na utetezi usione na mashiko. Hii inakuja kwa sababu aliyepigwa sio ndugu yako. Siku yakimfika ndugu yako ndio utajua Kwamba risasi inaweza kutoboa nchi nne na zaidi.
 
Unadhani Tcra wakiamua kufanya undava hivyo vi Super vpn mtavipata kwa tabu sana. Ngoja walifanyie kazi hili ombi langu maana serikali yetu ni sikivu.
Watu wanatumia VPN server za kulipia na sio izi zenu za bure shekhe
 
naunga mkono hojaa!
hiv kuna watu ghafla niliona wana tick za blue weng weng hivi.sijui walifanyeje fanyeje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akitokea mjinga mmoja uko twitter akasema serikali ifunge Jamiiforums sijui itakuaje.
 
Akitokea mjinga mmoja uko twitter akasema serikali ifunge Jamiiforums sijui itakuaje.
Kwa hiyo unadhani serikali ya JMT haina akili kama wewe ulivyo mjinga?
 
Nilipokutana naye Dodoma Kanali Lubinga nilimjibu hivyo hivyo kuwa sikuwa na chama maana kwa sheria ambayo ilikuwa inaniongoza haikutaka niwe na chama chochote na alielewa maana anazijua sheria hizo ila nilimwambia nakubali sana jitihada za Rais na mimi ni miongoni mwa wazalendo ambao daima nitakuwa upande wake.

Kiapo cha UTII ni muongozo wa wazalendo wote wa nchi hii.
 
👍👍
 
Ultimate kimbilio la serikali dhaifu na ya kidikteta iliyokosa uhalali wa kupendwa ni hoja ya "uzalendo"..

Hiyo ndio ultimate resort.....

Shame kabisa yaani
Kuwa Mzalendo kwa nchi yako sio dhambi...tumefundishwa kutii mamlaka zilizopo Duniani sasa kama Mungu anatoa mamlaka na anatuambia tuzitii je mimi ni nani nisitii mamlaka zilizowekwa na Mungu?
 
Una hoja gani kuhalalisha maelezo yako haya!!? [emoji848] [emoji848]
 
Over expectations za October 28th ni lazima zitawapa nightmares sana sasa kama unakosa staha na kujenga hoja kwa matusi ni wazi kwamba watu 12M walikuwa sahihi kukupiga chini kikundi cha wahuni.

Hii ni mamlaka halali iliyopata kibali kutoka kwa Mungu na pia Watanzania wakaenda kumalizia kwenye box la kura.
 
Sio lazima kumfungia mitandao. Cha msingi ni Serikali kutolea ufafanuzi kila upuuzi unaoelezwa na watesi wa Taifa.

Wakati huo huo Serikali iendeelee kutengeneza mazingira mazuri kwa wananchi wake kujiletea maendeleo endelevu.

Kila fursa iliyopo ya maendeleo itumike to the fullest! Wanaochochea kuni na kuleta uvumi wa kipuuzi mitandaoni wao waendelee!!
 
Kigogo wa Twitter amewahenyesha kwa kuwaumbua uovu wenu sasa mnahaha. Hi kalne ya sayansi na teknolojia kufunga Twitter hakujamaliza ubukishakobea uovu wenu
 
Internet shutdown ya muda kwa usalama wa nchi inatatizo gani? Kutype kunahitaki network? Kwani nondo huwezi kuzipata kwenye kitabu? Acha kujifanya umesoma kumbe huna lolote.
Kwa hiyo,hukuhitaji hats hiyo internet kujihakikishia ushindi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…