Itakuwa jambo jema na la busara kama Serikali ya Tanzania itaifungia Twitter

Itakuwa jambo jema na la busara kama Serikali ya Tanzania itaifungia Twitter

Kama anga la Tanzania linaweza kuona ndege vita inayoweza kuiletea madahara Tanzania ndio isiweze kudhibiti Vpn,naomba ulale kama hauna mke
Bila kusahau pia kwamba Tanzania inalinda anga la Great Lakes.

Twaweza kuiona hata Congo DRC kwa ukaribu na kinachopita pale.
 
Sawasawa.

Ila China wana sheria inayozuia VPN kwa watu binafsi.

Makampuni na taasisi wao wanaruhusiwa kama nilivyosema hapo juu.

Sheria zinataka VPN ziwe approved na serikali ndio watu waweze kutumia.

China wao walijenga ukuta uitwao Great Firewall of China ambao unatoa huduma za kujikinga na matatizo ya Internet kutokea nje ya China.
Nenda kasome Cyber crimes Act, 2015. Section 6(1) Acha kuropoka. Watu wanajidanganya ukiwa China unapata Twitter sio kirahiai unavyodhania.

N.b: China na Tanzaniq ni ndugu.
 
Nenda kasome Cyber crimes Act, 2015. Section 6(1) Acha kuropoka. Watu wanajidanganya ukiwa China unapata Twitter sio kirahiai unavyodhania.

N.b: China na Tanzaniq ni ndugu.
Nimeisoma uzuri.

Hili ni eneo langu la kujidai.

Hivyo taratibu kaka/dada
 
Kama huamini kwamba risasi inaweza kutoboa mwili zaidi ya cm 4 ona matundu zilipotokea risasi katika mwili wa the late Karume.
 
Kama huamini kwamba risasi inaweza kutoboa mwili zaidi ya cm 4 ona matundu zilipotokea risasi katika mwili wa the late Karume.
Not possible,mpumbavu wewe. Nazungumzia inch nne.
 
Mtoa mada nenda huko twitter ukatoe hayo malalamiko maana JF itafungwa sijui utakwenda kutoa wapi
 
Wakati ukionyesha 'Chuki' za wazi wazi Kwao 'Twitter' na kutaka 'Serikali' iifungie tambua kuwa hata Rais wako JPM nae ni mwana 'Twita' vile vile.
Mkumbushe pia kipindi cha kampeni alijipigia domo kupitia page yake, akiomba apigiwe kura.
 
HAPA MNABISHANA NA MTU AMBAYE HAJUI VPN INAFANYAJE KAZI NI KIASI GANI KUNA UGUMU KU BLOCK VPN NAKUPA MFANO TU KIPINDI CHA UCHAGUZI WALI VYO BLOCK SOCIAL MEDIA WATU WALIANZA KUPEANA MAJINA YA VPN KWA NINI SERIKALI HAI KU ACT MAPEMA KUBLOCK HIZO VPN MAANA MAJINA YANAJULIKA KWA MFONO NORD VPN ILIKUWA INATAJWA SANA MBONA HAWA KU BLOCK MPAKA LEO INAFANYA KAZI
 
Kama mlifunga whatsup na bado tuko sawa itakuwa twiter? Mbona hata tv hatuangalii tena na bado tuko sawa?
Aisee, nilifikiri ni mimi tu.
TV siangalii na kununua magazeti sikumbuki mara ya mwisho ni lini.
Sijui nchi imekuwaje!
 
Naomba uorodheshe propaganda 3 zilizosambazwa na watumiaji wa tweeter
 
Huu uzi ni kijinga lakini una-reflect thinking ya baadhi ya watu.
Sasa hivi bila ya VPN hupati Twitter.
 
Back
Top Bottom