antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Umesema watumiaji wengi ni wa huku nje, sa ikifungiwa huko Tz itasaidia nini?
Pia, mbona watu washajua namna ya kukwepa hayo mazuio?
Pia, mbona watu washajua namna ya kukwepa hayo mazuio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo, kama ndiko imetokeaJe risasi ya mm9 inaweza kutengeneza tundu la nchi nne?
HapanaVpn haziwezi kupata kibano?
Utumiaji wa VPN waitwa "circumvention" yaani wazunguruka mifumo rasmi na inayotambuliwa katika nchi kupata VPN.Kwa zaidi ya wiki tatu Twitter ilikuwa haipatikani, Youtube, na.... Je kwa nini ilikuwa haipatikani mpaka utumie Vpn. Je Vpn haziwezi kuwa blocked @Richatd
unamuuliza nani swali lako la kijinga hilo?Wewe unajua mimi ni nani?
Naomba unijibu hili swali,mtu anapost picha kifua cha mtu kimetobolewa na risasi nchi nne. Je risasi ya mm9 inaweza kutengeneza tundu la nchi nne? Mtu kama huyu nia yake nini? Na anapost maiti ya mtu.
Mkuu ufala mbona uko kwako! Yaani unaamka kutoka usingizini na ndoto alafu unaandika kama vile unaota. Bahati mbaya kwamba mafunzo ya lazima ya JKT/JKU yameondolewa. Ufala nalo neno. Mkuu wajinga ndio waliwaoJibu swali nililouliza acha maneno mengi, mtu kapigwa risasi inaweza kuweka tundu la nchi nne? Acha ufala...
Ahaaaa, ukweli hauwekwi kwa kudanganya na kupotosha umma. Lissu amekaa hapa zaidi ya siku 60, kwenye jinai victim ndio shahidi namba moja,sasa alishindwa nini kuweka mbinyo ukweli upatikane,amezurula kutukana matusi kuliko kufuatilia kesi yake huku akijua hata kushinda hawezi.Nia yake ni kuweka ukweli hadharani. Kama shambulio la Lisu tu lenyewe mnaliletea upotoshaji ili ukweli usifahamike, unatarajia nini? Nawashukuru sana huko Twitter kwa kuweka ukweli hadharani.
Aweke mbinyo kwa mahakama zipi?Ahaaaa, ukweli hauwekwi kwa kudanganya na kupotosha umma. Lissu amekaa hapa zaidi ya siku 60, kwenye jinai victim ndio shahidi namba moja,sasa alishindwa nini kuweka mbinyo ukweli upatikane,amezurula kutukana matusi kuliko kufuatilia kesi yake huku akijua hata kushinda hawezi.
Ok wewe uliyepitia Jkt niambie polisi wanatumia bunduki aina gani? Na risasi zao ni mm ngapi? Je zinawezq kutoboa mtu inchi nne? Son of gun!Mkuu ufala mbona uko kwako! Yaani unaamka kutoka usingizini na ndoto alafu unaandika kama vile unaota. Bahati mbaya kwamba mafunzo ya lazima ya JKT/JKU yameondolewa. Ufala nalo neno. Mkuu wajinga ndio waliwao
Kwa zaidi ya wiki tatu Twitter ilikuwa haipatikani, Youtube, na.... Je kwa nini ilikuwa haipatikani mpaka utumie Vpn. Je Vpn haziwezi kuwa blocked? Richard
Kweli nchi yeyote ile inaweza kuzuia/block VPN lakini inakuwa ni kama mchezo wa paka na panya na sijui kama Tanzania ina uwezo wa kifedha na wataalamu wa kuingia vita hivi. China kwa mfano ina Block VPN lakini na watengenezaji wa VPN kila wakiamka wanazifanya VPN zao kuwa more complicated na wanaweza ku bypass block zilizowekwa na china.VPN yaweza kuzuiwa kutumika Tanzania.
Nafikiri hiyo ndo hoja ya mtela mada ila kazunguka kwa kutumia Twitter.
Sujui.Hujui?
Kama anga la Tanzania linaweza kuona ndege vita inayoweza kuiletea madahara Tanzania ndio isiweze kudhibiti Vpn,naomba ulale kama hauna mkeKweli nchi yeyote ile inaweza kuzuia/block VPN lakini inakuwa ni kama mchezo wa paka na panya na sijui kama Tanzania ina uwezo wa kifedha na wataalamu wa kuingia vita hivi. China kwa mfano ina Block VPN lakini na watengenezaji wa VPN kila wakiamka wanazifanya VPN zao kuwa more complicated na wanaweza ku bypass block zilizowekwa na china. Kwa hiyo kila VPN mpya ikiwafikia wachina, china wanaingia kazini kuisoma na kujua namna ya kui block. Hii ndio ninayosema mchezo wa paka na panya, hakuna solution ya kudumu. China wanatumia utaalamu unaoitwa deep packet inspection kugundua na ku block VPNs lakini watengenezaji wa VPN kama Golden Frog wanawapa homa kila siku kwa kutumia ophisticated techniques mpya kuhakikisha haiwi rahisi kugundulikana.
Sawasawa.Kweli nchi yeyote ile inaweza kuzuia/block VPN lakini inakuwa ni kama mchezo wa paka na panya na sijui kama Tanzania ina uwezo wa kifedha na wataalamu wa kuingia vita hivi. China kwa mfano ina Block VPN lakini na watengenezaji wa VPN kila wakiamka wanazifanya VPN zao kuwa more complicated na wanaweza ku bypass block zilizowekwa na china. Kwa hiyo kila VPN mpya ikiwafikia wachina, china wanaingia kazini kuisoma na kujua namna ya kui block. Hii ndio ninayosema mchezo wa paka na panya, hakuna solution ya kudumu. China wanatumia utaalamu unaoitwa deep packet inspection kugundua na ku block VPNs lakini watengenezaji wa VPN kama Golden Frog wanawapa homa kila siku kwa kutumia ophisticated techniques mpya kuhakikisha haiwi rahisi kugundulikana.