Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Jibu maswali kijana.
Umekuja na marking scheme?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu maswali kijana.
Jibu hoja kijana
Tatizo sio kukosolewa bali upotoshaji na uongo unaosababisha mkanganyiko kwa wananchi. Ubaya zaidi mtu yupo Finland anatengeneza video ya uongo kuwakanganya watanzania.
Mziki gani? Mlisema wale ni wanaharakati wapiga kelele na hawawatishi ajabu wameifunga! Pia China unayosema watu mbona wanatumia mitandao vizuri tu sana nilifika kule VPN ndio uwanja wake waliblock Whatsapp ili kupromote Wechat so conflict yao imekaa kibiashara sana na against western countries ila sio machafuko na bado WhatsApp ipo. Instagram ipo nkTulia utasikia mziki unaokuja...
Au Zile Toilet Paper Tanzanite, Fahari yetu na Jamvi la habariUngeshauri waanze kuifungia kijarida cha Uhuru na Channel Ten mkuu
kuna kipindi waliifunga watu wakahamia kenya talk kule ndo ilikuwa balaa zitoJF hata Police kitengo cha Cybercrimes wanafanya nao kazi ndio waje waifunge? Hujasikia wanasifiwa kwa kuweka moderators.
Nimecheka Sana😀😀Umekuja na marking scheme?
Kakojoe ulale.Icc ya ufipa? Vpn zinaweze kugongwa nyundo mpaka ukashangaa. Uliza kwa nini Usa wana mgogoro na Huawei? Alafu Huwaei ni wachina? Alafu wanaurafiki wa karibu na Tanzania?
Serikali ya awamu ya 5 imepoteza uhalali wa kuiongoza nchi. Haijachaguliwa kihalali. Ndiyo Serikali ya kwanza itayotinga ICC tangu tupate Uhuru. Kwanini isikolewe mitandaoni?
Hata wakifunga mitandao yote, bado teknolojia itawapa fursa wenye uchungu kutumia VPN na mawasiliano yataendelea kama kawaida. Be broad minded please. Acha ujinga zama hizi.
Maoni yako yapo sawa ila yanahitaji marekebisho.Cybercrimes Act,2015 section 6(1) inataka mtumie public servers ambazo Tcra wanazimonitor. Kutumia za nje ni illegal interception. Ngoja wafanyie kazi maoni yangu mtaona cha moto