Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe bado unanyonya au unanyonywa?
 
Maajabu ni kwamba nyie wenyewe huwa mnasema amekaa sana sijui miaka nenda miaka rudi. Leo hii unasema abaki kwenye kiti. Luca Luca mbona hueleweki unataka nini
Chama cha upinzani kama CHADEMA kinahitaji mtu kama Mbowe na siyo Lissu
 
Maajabu ni kwamba nyie wenyewe huwa mnasema amekaa sana sijui miaka nenda miaka rudi. Leo hii unasema abaki kwenye kiti. Luca Luca mbona hueleweki unataka nini
Huyu kunguni wa bibi wa Unguja hajitambui anadai Lissu hawezi kuongoza chama kutokea uhamishoni huku anasahau Samora Machel alipambana na wareno akiwa uhamishoni Dar es Salaam na Morogoro.
 
Sasa fomu kuwa moja ni ujemedari au uoga??
 
Huyu kunguni wa bibi wa Unguja hajitambui anadai Lissu hawezi kuongoza chama kutokea uhamishoni huku anasahau Samora Machel alipambana na wareno akiwa uhamishoni Dar es Salaam na Morogoro.
Sasa alishindwa kuongoza si kitakuwa na ahueni itakuwa kwake na Chama chao? 😀 Wanataka kisife waendelee kupata tabu?
 
Reactions: Cyb
Mlete mamayenu anayewabubujisha machozi agombee anyoshwe mpaka mabwabwa wake mpoteane.
 
CCM mnamuogopa sana Tundu Lissu. Huyu NDIYE MSAADA WETU Watanzania tulichoshwa na mateso ya CCM, dhuluma na udhalimu wake.
 
Unafahamu ya kuwa CHADEMA inapokea Ruzuku ambayo ni kodi yetu watanzania? Kwa hiyo lazima ufahamu ya kuwa nina haki na uhuru wa kuzungumzia na kutoa ushauri kwa CHADEMA
Leo unazungumzia Ruzuku?
Umeona ujifiche hapo kwenye Ruzuku. Unawaza je yaani Kama wanapotea ruzuku basi wapangiwe cha kufanya. Hivi Chadema kikifa nyie si ndio itakuwa burudani mzee? Hofu yako ni nini!
 
Huyu kunguni wa bibi wa Unguja hajitambui anadai Lissu hawezi kuongoza chama kutokea uhamishoni huku anasahau Samora Machel alipambana na wareno akiwa uhamishoni Dar es Salaam na Morogoro.
Kwani Tanzania ni koloni? Kwani Mbowe ulishaona akikimbia Nchi na kwenda kujificha uhamishoni na kuanza kupost picha akinywa na kula ?
 
Labda chaguo la nyumbani kwenu na mamako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…