Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Leo unazungumzia Ruzuku?
Umeona ujifiche hapo kwenye Ruzuku. Unawaza je yaani Kama wanapotea ruzuku basi wapangiwe cha kufanya. Hivi Chadema kikifa nyie si ndio itakuwa burudani mzee? Hofu yako ni nini!
Ruzuku inayopokewa na genge lake la majizi ya kura anaijua huyo bwabwa.
 
Back
Top Bottom