Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani Tanzania ni koloni? Kwani Mbowe ulishaona akikimbia Nchi na kwenda kujificha uhamishoni na kuanza kupost picha akinywa na kula ?
Wewe ni mpuuzi sana hujui baada ya uchafuzi wa 2020 Mbowe alitimkia Dubai?

Sikushangai maana ukishakuwa chawa na elimu yako ni darasa la 7 lazima kuna vitu vikupe shida kufanya comprehension mwisho wa siku unatumika kama kidampa wewe anza kujiandaa 2025 bibi wa Unguja atapumzishwa akalee wajukuu .
 
hii ni dalili nzuri maharage yamekaribia kwiva sasa nakwenda kununua viungo
 
Wewe ni mpuuzi sana hujui baada ya uchafuzi wa 2020 Mbowe alitimkia Dubai?

Sikushangai maana ukishakuwa chawa na elimu yako ni darasa la 7 lazima kuna vitu vikupe shida kufanya comprehension.
Kwani Mwamba hukuona yupo Nchini kwa muda wote? Vipi huyo Lissu ulimuona? Familia ya lissu ipo wapi kwa sasa?
 
CCM wameshaona hatari ya Lissu kuwa Mwenyekiti. Niliwaambia tangu siku nyingi kuwa mtakuja kumkumbuka Mbowe, sasa yanaelekea kutimia. Ole wenu ashinde uenyekiti.


 
Kwani Mwamba hukuona yupo Nchini kwa muda wote? Vipi huyo Lissu ulimuona? Familia ya lissu ipo wapi kwa sasa?
Wewe umeanza lini kumuita Mbowe mwamba!?

Unaona unavyojikanyaga !?

Hujui kuna kitu kinaitwa wakimbizi wa kisiasa?

Nenda kasome kuhusu "political asylum" ndio utajua hao kina Lissu na Lema waliendaje nje na kukubaliwa kuishi na kama unafikiri ni rahisi jaribu na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…