Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ccm wana laana sio bure , tangu lini ccm mkawa wakali kwenye hoja kwa mambo ya chadema?
 
Hakika hakuna kama Mbowe,

Samia mitano tena,
Mbowe mitano tena
 
Nadhani siyo busara unapokuwa huna hoja za msingi ukaanza kumchafua mtu anayekuzidi maarifa na elimu hata ya uraia tu. Watu mnafikiri kuitwa chawa ni sifa nzuri, jengeni hoja za kujibu hoja za lissu ili na sisi wananchi tuwaone ninyi siyo waoga wa nguvu na hoja zake badala ya kumkashifu tu.
 
Kwa hiyo na wewe unafikiri kuwa Lissu anaweza kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa? Una jitambua kweli wewe? Lissu hawezi kamwe na katu kuiongoza CHADEMA hata kwa siku moja tu.
Mpumbavu kama wewe nakupuuza tu babako alikosea sana kumwagia ndani ulitakiwa saa hizi unapiga mbizi chooni unapishana na funza na mende.
 
Ndio kusema Mbowe hana wa kumtua mzigo? Ikitokea anapoteza uhai?
Simba mwenda pole au mkimya ndie mla nyama. Unadai hapigi kelele juu ya hasara, ulihudhuria maridhiano, na ukiangalia mpaka sasa yanamnufaisha nani, hawajapewa mapesa, ruzuku n.k. sio yeye anayeratibu? Zinakwenda wapi? Hapigi kelele kwa kuwa ndie anayezitafuna, yeye pia ni uchawa, akipiga kelele hapewi ulaji.
 
Hili taahira linajiona na lenyewe lina nafasi huko CCM.
 
Chawa pro max wakisikia Tundu Antipas Lissu wanahisi kipindupindu.
Mambo ni moto! Lissu effect! Hapo ametangaza tu Nia. Dadek.
Mara paap Mbowe sio Kagame tena
 
Lissu hana uwezo wa kuongoza Taasisi na chama kama CHADEMA.lissu anapaswa kuongozwa na siyo kuongoza.
Siyo kuongoza Chadema tu Lissu ana uwezo hata wa kuongoza Tanzania. Wewe unayeishi kwa matumaini ya kuteuliwa ndiyo ujilinganishe na Lissu?
 
Nyuzi ndefu huandikwa na wana wa CCM, inavoonekana kuna kitu kitakua sawa kwa Tanzania yetu Lissu akisimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…