Itakuwa ni uwendawazimu na ukichaa kwa wana Mbeya kumtoa Dkt. Tulia jimbo la Mbeya Mjini

Wewe ongelea mambo ya kina tumugoje/ tumukeshe. Mchunane ngozi ndio burudani yenu.
Hujui chochote kuhusu siasa za Mbeya Mjini. Kwanini jengo la CCM Mbeya mjini ni jengo baya zaidi kuliko majengo yote ya makao makuu ya CCM mikoa aliyoiacha Nyerere?
😆😆😆 Hatuchuni ngozi watu ,Tupo bize na kilimo chetu pamoja na biashara mbalimbali
 
Wewe uchawa ulisomea wapi?Tulia amepewa uzi wako kasoma akasema....huyu naye tumemzoea hana impact katika jamii
 
Aseeh!! Kweli unateseka sana na Hali hii na sijui kama kutakuwepo na kanafasi Tena!! Endelea kuandika utasubiri sana..

Huenda na mwenyewe ataposoma atakukumbuka hata book 7!
 
Aseeh!! Kweli unateseka sana na Hali hii na sijui kama kutakuwepo na kanafasi Tena!! Endelea kuandika utasubiri sana..

Huenda na mwenyewe ataposoma atakukumbuka hata book 7!
Siandiki hapa kwa ajili ya kulipwa ,Mimi naandika kwa uzalendo na hiyari yangu
 
Angekua anafaa asingekua na chawa.
Mbeya Ni Sugu tu. 2020 kungekua na fairplay hata robo ya kura huyo MTU wa Bosokelo asingepata.
 
Bora Sugu afe ila Tulia awe mbunge.Sugu amekuwa mbunge miaka 10 hakuna Cha maana amefanya..

Mbeya Kwa mda mrefu Haijawahi pata mbunge wa maana kama Tulia maana amefanya mambo makubwa Kwa Jimbo la Mbeya na Mkoa .
 
Wabunge wa kuteuliwa mmeanza kuchanganyikiwa🤣🤣🤣🤣
 
Wabunge wa kuteuliwa mmeanza kuchanganyikiwa🤣🤣🤣🤣
Dr Tulia Ni mbunge wa kuchaguliwa na ambaye amepata baraka za wanambeya ambao kwa Sasa hawataki Tena kumsikia sugu akija hata kuchukua fomu maaana hajitambui na alilipotezea muda jiji la mbeya
 
Angekua anafaa asingekua na chawa.
Mbeya Ni Sugu tu. 2020 kungekua na fairplay hata robo ya kura huyo MTU wa Bosokelo asingepata.
Hata uchaguzi ufanyike Leo bado Dr Tulia na CCM itaibuka kidedea kwa kishindoo
 
Huijui mbeya, kachukue eftatu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…