Itakuwa ni uwendawazimu na ukichaa kwa wana Mbeya kumtoa Dkt. Tulia jimbo la Mbeya Mjini

Sawa chawa, basi pia mwambie atusaidie changamoto ya mlima iwambi maana mlima unatumaliza na yeye yupo tu
 
CCM imefanya makubwa Sana katika wilaya ya Mbozi,imejenga vituo vya Afya kila Kona,shule kila mahali,zahanati kila sehemu,usambazaji wa maji Safi na salama, utolewaji wa mbolea za Ruzuku,pia serikali yetu Ina mpango wa kujenga Barabara ya kutoka mlowo Hadi kamsamba kwa Kiwango Cha lami hali itakayo fungua fursa za kiuchumi, kuchochea na kurahisisha biashara,kupunguza Bei ya usafirishaji wa mazao na mizigo mingine Kama vile mpunga kutoka kamsamba,mahindi maharage kahawa alizeti kutoka maeneo tofauti Tofauti,kukuza na kuongeza miji kidogo kidogo Kama vile igamba
Njaa itakuuwa
 
Ndugu zangu watanzania,

Naifahamu Mbeya ,Nawafahamu Wana Mbeya ,Nimekaa na kuishi Mbeya,Nimesoma Mbeya,Naendelea kwenda Mara kwa Mara Mbeya,Nazifahamu siasa za Wana Mbeya,Nafahamu Fikira za wanambeya,Nafahamu misimamo ya wanambeya,Nafahamu Tabia za wanambeya,Nazifahamu kero za Wana Mbeya,Nafahamu Mahitaji na kiu ya wanambeya.

Niseme tu kuwa Wana Mbeya siyo wajinga ,siyo wendawazimu,siyo vichaa na Wala siyo mbumbumbu, kwa kuwa Mbeya imeelimika na watu wake wameelimika hata kwa yule ambaye hajapita vidato anauelewa Mpana Sana wa mambo mbalimbali ambapo huwezi mdanganya kitu Wala kumburuza Kama mnyama asiye na utashi alionao mwanadamu.

Wana Mbeya siku zote walihitaji muwakilishi wa kuwasemea kero zao na kuzitafutia majibu na suluhisho,walihitaji mtu atakayezungumza na kuielewa lugha Yao juu ya Mahitaji Yao,walihitaji mtu atakaye kwenda bungeni na ajenda zao,walihitaji mtu atakaye waletea mrejesho akitoka bungeni,walihitaji mtu asiyelalamika muda wote kuwalaumu wengine maana kiasili na kitabia watu wa Mbeya Ni majasiri Sana na shupavu na hivyo hawahitaji mtu legelege na dhaifu kimsimamo kuwa mwakilishi wao,

Kwa Bahati mbaya katika miaka kumi walipoteza Kura zao kwa mtu ambaye aliingia katika ubunge Kama sehemu ya kujineemesha,kujimwambafai,kujikuza yeye binafsi ,kutunishaa akaunti yake benki,kuleta usera na ujanja janja,matokeo yake jiji likasimama kimaendeleo,likakosa mwakilishi ,likawa kama Lina mbunge hewa mpiga makelele na mavurugu kuanzia bungeni Hadi jimboni ,likakosa heshima ya kuitwa jiji,halimashauri ikaongozwa kiupofu pasipo mipango madhubuti kwa manufaa ya jiji na wanambeya,hoja zenye mashiko zikakosekana kutokana na mbunge wake kuwa na upeo mdogo wa kujenga hoja zaidi ya kuleta lugha za vichochoroni,kwa hakika yakawa ni majuto kwa wanambeya kulikokuwa kumetokana na kukosa mbadala.

Kukawa Hakuna ujenzi wa chochote kuanzia zahanati Hadi vituo vya Afya, Barabara za mitaa zikawa Ni matope na madimbwi matupu,maana Jimbo lilikuwa na mbunge kimvuli asiyefahamu wajibu wake Kama mbunge,Asiyejuwa ashirikiane na Nani kufanikisha Jambo fulani,asiye juwa apite wapi ili apate Jambo fulani, Asiyejuwa aseme Nini kwa Nani kupitia wapi kwa Nani ili Jambo fulani litokee,Alikuwa Ni mbunge wa maneno maneno tu.

Hatimaye Mwenyezi MUNGU akamuinua na kumpa kibali mwanadada msomi na nguli wa Sheria Dr Tulia Ackson Mwansasu,Dada mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU,mstaarabu na mwenye kifua Cha hekima,anayejuwa wakati gani azungumze na azungumze nini,Anayejuwa utu na ubinadamu ,aliyetokea na kukulia katika mazingira ya chini na ya kipato Cha chini ya kuuza vibama na mboga za majani anayejuwa shida za watu,anayejuwa maana ya kulala na njaa na kukosa chakula,anayejuwa maana ya maisha na Hali ngumu,aliyepitia katika maisha magumu lakini akafanya juhudi za kusoma kwa bidii Nidhamu na uchungu wa kutaka kuona siku moja anarejea nyumbani kumfuta machozi na kumsaidia mama yake , hatimaye Akainuliwa na Mwenyezi MUNGU Kama ilivyokuwa kwa yusufu , mwenye Tabia njema na aliyetukuka kwa huruma upendo unyenyekevu na ukarimu kwa watu wake.

Mwenye kuguswa na shida za watu ,mwenye kumhurumia kila mtu,mwenye kutoa msaada kwa kila aliye mbele yake,mwenye kumshika mkono kila mtu,asiyejikweza Wala kujitutumua Wala kujisifu Wala kuhitaji kutukuzwa Wala kuabudiwa, mwenye moyo wa kusaidia, asiye na mipaka ya kusaidia na kugusa maisha ya watu ndio sababu siku moja alikuja mkoani Songwe wilayani Mbozi kata ya mlowo Kijiji Cha ivwanga kitongoji Cha mabatini B akatoa msaada wa mabati katika shule ya msingi Mabatini ambapo kwa Sasa wanafunzi wanasomea na kujifunzia katika mazingira ya kutia moyo na hamasa ya kusoma,Huo wote Ni upendo mkubwa uliojaa katika kifua chake.

Tangia amekuwa mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini mabadiliko makubwa yametokea na maendeleo makubwa yamepatikana kwa kushirikiana na serikali ya Rais Samia mama shupavu na madhubuti,Ambapo kila secta imepiga hatua kubwa za kimaendeleo,kuanzia Miundombinu,Elimu Afya ,kuinua na kusaidia wajasiriamali,vijana akina mama wazee na watu wenye ulemavu,kila utakako kwenda lazima utaona Alama na mikono ya mh Dr Tulia Ackson,Na Sasa kwa juhudi zake na ushawishi wake kwa serikali, kunakwenda kujengwa kwa Barabara zingine zitakazo punguza msongamano wa magari,ajali na kuweka usalama kwa watembea kwa miguu pamoja na kuokoa muda.

Ndio maana wanambeya wanasema Dr Tulia Atosha na ndio chaguo lao uchaguzi ujao,Ndio mbunge wa ndoto Yao ,Amekata kiu Yao ya muda mrefu na amekidhi matarajio Yao ya wakati wote na amegusa mioyo Yao kwa utendaji kazi wake uliotukuka wa kujitoa na kujitolea.

Wanasema itakuwa ni Uwendawazimu na ukichaa wa hali ya juu kumtoa Dr Tulia katika ubunge ili kumrejesha aliyeshindwa kwa miaka yote kumi kufanya kazi hata robo tu ya Ile aliyofanya Dr Tulia kwa muda mfupi wa ubunge wake. Dr Tulia ndio sauti ya wanambeya na mtetezi wa wanambeya,Ameiheshimisha Mbeya na kuipa Hadhi ya kuitwa jiji,Mbeya imechanua kwa maendeleo na kustawi kila Kona ,Ameinua matumaini ya vijana waliokuwa wamekata Tamaa Baada ya kuwa wametumika na kutupwa Kama taka na aliyekuwa mbunge kimvuli.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa , kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Kampeni zimeruhusiwa?
Mbona mlishaonywa jmn
 
Paragraph au Aya ya kwanza tu inaonesha ulivyo mbumbumbu na Muongo wa kujificha kwenye nadharia:

Serious kabisa inasema unazijua fikra wanambeya? Yaani ulipita kabisa ukamhoji mtu mmoja na kuzijua na kuzitunza fikra zake? Ninavyojua fikra Ni subjective na sio objective kutokana na Mazingira (physical or social environment)

Unaijua tabia za wanambeya (neno tabia ni Pana Sana) sijui Kama umeweza kufanya behavioral anaylsis na ukaja na conclusion kuhusu tabia za wanambeya wote, wakubwa kwa wadogo vijana na wazee au wanawake kwa wananume mpaka uje na conclusion kwamba unazijua. Ningepanda kujua tu kama wewe Ni behaviorist ambae hujui kwamba tabia pia Ni subjective kulingama na circumstances!
Unazidi kudhihirisha upumbavu wako kwa kujumuisha tabia ya mtu mmoja au msimamo wa mtu mmoja kuwa wa watu wote pasina kujua msimamo wa mtu unaweza kubadilika kutokana na external factors au incidents!

Naona Sasa umehama kwa mama Samia umehamia kwa speaker! Lazima ujue kwa mujibu wa katiba tuliyonayo Speaker Hana mamlaka ya kuteua mtu Katika nafasi yoyote isipokua Katibu wake, houseboy wake na housegirl wake! Hata mlinzi wake na dereva anapangiwa na serikali!

Hapo awali umeandika kuwa unazifahamu kero za wanambeya lakini huku chini umekaa uchi na kuelezea namna gani speaker amezitatua kinadharia na sio kivitendo. Usisahau lakini wakati sugu akiwa mbunge Tulia alikua mbunge wa kuteuliwa na hapo hapo DS wa Bunge la JMT!

KIUFUPI WEEE NI MOUMBAVU MMOJA HIVI NA ELIMU ULIYONAYO HAIJAKUSAIDIA. NDIO MAANA NILIOMBA CV YAKO IN THE FIRST PLACE!
 
Hana mpinzani wa kushindana Naye maana Wana Mbeya wameamua kumrudisha Tena Bungeni uchaguzi ujao maana Ameiheshimisha Mbeya na wanambeya

Umelewa mataputapu ya pale kwenu Ichenjezya?
Sugu atashinda saa 2 asubuhi
Pona pona yake ni afanyiwe favor na sensa idadi ya watu iseme Mbeya mjini igawiwe majimbo mawili
Yy akagombee jimbo la Mbaliz
Sugu jimbo la mjini

Lkn ikiwa jimbo moja tu Sugu anashinda
 
Siandiki hapa kwa ajili ya kulipwa ,Mimi naandika kwa uzalendo na hiyari yangu

Unategemea bakshishi kwa kuiandika vyema CCM na akina Tulia (PhD) ndiyo maana unatumia jina halisi na namba ya simu incase wakupigie!

Kaka teuzi haziombwi hivyo,wenzako hawa wameteuliwa wengine walikua CDM.Mfumo ukikuchagua hata mm Malafyale watapata namba yangu na jina langu kamili

Ww utaendelea kuandika weweee watateuliwa wengine kabisa
Unajipotezea muda tu
 
Ndugu zangu watanzania,

Naifahamu Mbeya ,Nawafahamu Wana Mbeya ,Nimekaa na kuishi Mbeya,Nimesoma Mbeya,Naendelea kwenda Mara kwa Mara Mbeya,Nazifahamu siasa za Wana Mbeya,Nafahamu Fikira za wanambeya,Nafahamu misimamo ya wanambeya,Nafahamu Tabia za wanambeya,Nazifahamu kero za Wana Mbeya,Nafahamu Mahitaji na kiu ya wanambeya.

Niseme tu kuwa Wana Mbeya siyo wajinga ,siyo wendawazimu,siyo vichaa na Wala siyo mbumbumbu, kwa kuwa Mbeya imeelimika na watu wake wameelimika hata kwa yule ambaye hajapita vidato anauelewa Mpana Sana wa mambo mbalimbali ambapo huwezi mdanganya kitu Wala kumburuza Kama mnyama asiye na utashi alionao mwanadamu.

Wana Mbeya siku zote walihitaji muwakilishi wa kuwasemea kero zao na kuzitafutia majibu na suluhisho,walihitaji mtu atakayezungumza na kuielewa lugha Yao juu ya Mahitaji Yao,walihitaji mtu atakaye kwenda bungeni na ajenda zao,walihitaji mtu atakaye waletea mrejesho akitoka bungeni,walihitaji mtu asiyelalamika muda wote kuwalaumu wengine maana kiasili na kitabia watu wa Mbeya Ni majasiri Sana na shupavu na hivyo hawahitaji mtu legelege na dhaifu kimsimamo kuwa mwakilishi wao,

Kwa Bahati mbaya katika miaka kumi walipoteza Kura zao kwa mtu ambaye aliingia katika ubunge Kama sehemu ya kujineemesha,kujimwambafai,kujikuza yeye binafsi ,kutunishaa akaunti yake benki,kuleta usera na ujanja janja,matokeo yake jiji likasimama kimaendeleo,likakosa mwakilishi ,likawa kama Lina mbunge hewa mpiga makelele na mavurugu kuanzia bungeni Hadi jimboni ,likakosa heshima ya kuitwa jiji,halimashauri ikaongozwa kiupofu pasipo mipango madhubuti kwa manufaa ya jiji na wanambeya,hoja zenye mashiko zikakosekana kutokana na mbunge wake kuwa na upeo mdogo wa kujenga hoja zaidi ya kuleta lugha za vichochoroni,kwa hakika yakawa ni majuto kwa wanambeya kulikokuwa kumetokana na kukosa mbadala.

Kukawa Hakuna ujenzi wa chochote kuanzia zahanati Hadi vituo vya Afya, Barabara za mitaa zikawa Ni matope na madimbwi matupu,maana Jimbo lilikuwa na mbunge kimvuli asiyefahamu wajibu wake Kama mbunge,Asiyejuwa ashirikiane na Nani kufanikisha Jambo fulani,asiye juwa apite wapi ili apate Jambo fulani, Asiyejuwa aseme Nini kwa Nani kupitia wapi kwa Nani ili Jambo fulani litokee,Alikuwa Ni mbunge wa maneno maneno tu.

Hatimaye Mwenyezi MUNGU akamuinua na kumpa kibali mwanadada msomi na nguli wa Sheria Dr Tulia Ackson Mwansasu,Dada mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU,mstaarabu na mwenye kifua Cha hekima,anayejuwa wakati gani azungumze na azungumze nini,Anayejuwa utu na ubinadamu ,aliyetokea na kukulia katika mazingira ya chini na ya kipato Cha chini ya kuuza vibama na mboga za majani anayejuwa shida za watu,anayejuwa maana ya kulala na njaa na kukosa chakula,anayejuwa maana ya maisha na Hali ngumu,aliyepitia katika maisha magumu lakini akafanya juhudi za kusoma kwa bidii Nidhamu na uchungu wa kutaka kuona siku moja anarejea nyumbani kumfuta machozi na kumsaidia mama yake , hatimaye Akainuliwa na Mwenyezi MUNGU Kama ilivyokuwa kwa yusufu , mwenye Tabia njema na aliyetukuka kwa huruma upendo unyenyekevu na ukarimu kwa watu wake.

Mwenye kuguswa na shida za watu ,mwenye kumhurumia kila mtu,mwenye kutoa msaada kwa kila aliye mbele yake,mwenye kumshika mkono kila mtu,asiyejikweza Wala kujitutumua Wala kujisifu Wala kuhitaji kutukuzwa Wala kuabudiwa, mwenye moyo wa kusaidia, asiye na mipaka ya kusaidia na kugusa maisha ya watu ndio sababu siku moja alikuja mkoani Songwe wilayani Mbozi kata ya mlowo Kijiji Cha ivwanga kitongoji Cha mabatini B akatoa msaada wa mabati katika shule ya msingi Mabatini ambapo kwa Sasa wanafunzi wanasomea na kujifunzia katika mazingira ya kutia moyo na hamasa ya kusoma,Huo wote Ni upendo mkubwa uliojaa katika kifua chake.

Tangia amekuwa mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini mabadiliko makubwa yametokea na maendeleo makubwa yamepatikana kwa kushirikiana na serikali ya Rais Samia mama shupavu na madhubuti,Ambapo kila secta imepiga hatua kubwa za kimaendeleo,kuanzia Miundombinu,Elimu Afya ,kuinua na kusaidia wajasiriamali,vijana akina mama wazee na watu wenye ulemavu,kila utakako kwenda lazima utaona Alama na mikono ya mh Dr Tulia Ackson,Na Sasa kwa juhudi zake na ushawishi wake kwa serikali, kunakwenda kujengwa kwa Barabara zingine zitakazo punguza msongamano wa magari,ajali na kuweka usalama kwa watembea kwa miguu pamoja na kuokoa muda.

Ndio maana wanambeya wanasema Dr Tulia Atosha na ndio chaguo lao uchaguzi ujao,Ndio mbunge wa ndoto Yao ,Amekata kiu Yao ya muda mrefu na amekidhi matarajio Yao ya wakati wote na amegusa mioyo Yao kwa utendaji kazi wake uliotukuka wa kujitoa na kujitolea.

Wanasema itakuwa ni Uwendawazimu na ukichaa wa hali ya juu kumtoa Dr Tulia katika ubunge ili kumrejesha aliyeshindwa kwa miaka yote kumi kufanya kazi hata robo tu ya Ile aliyofanya Dr Tulia kwa muda mfupi wa ubunge wake. Dr Tulia ndio sauti ya wanambeya na mtetezi wa wanambeya,Ameiheshimisha Mbeya na kuipa Hadhi ya kuitwa jiji,Mbeya imechanua kwa maendeleo na kustawi kila Kona ,Ameinua matumaini ya vijana waliokuwa wamekata Tamaa Baada ya kuwa wametumika na kutupwa Kama taka na aliyekuwa mbunge kimvuli.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa , kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Hayo ni mawazo yako siyo ya Wana mbeya. Mbona mawzo yako unataka yawe ya Wana mbeya. Wana mbeya hawamtaki Tulia wanataka kipemzi Chao sugu
 
Wana Mbeya wasije kufanya kosa!
 
So far so good.
Dr Tulia anafanya kazi wana Mbeya waliyomtuma.
Ataendelea kwa nafasi yake hata baada ya 2025.
 
Eti unazifahamu fikra za wanambeya[emoji1787][emoji1787]we jamaa ni kichwa cha kuku
 
ki ukweli Tulia ni zawadi ya Mungu kwa wanambeya. Tulia ni alama ya mkoa wa mbeya na nyanja za juu kusini kwa ujumla. Ni vema Serikali imuunge mkono kuiletea maendeleo Mbeya. ukiangalia kasi ya ujenzi wa barabara za jiji la mbeya ni ndogo sana yaani utadhani Tulia anajenga barabara za jiji kwa kutumia pesa zake mfukoni! hii siyo kweli! Mbeya barabara ni moja tu Tanzam, Ukiingia ndani mitaani inasikitisha sana. Ukienda dodoma, mtwara unakuta mabarabara yanajengwa hadi maporini kusikokuwa na watu kabisa. Mbeya imesahaulika. jana nimepita maeneo ya Ilemi na msafara wa jaji mfawizi mbeya kutokea Isyesye kwenye msiba wa wakili msomi Mushokorwa, utaona nyumba na msongamano wa watu lakini barabara hakuna!!! aibu kuitwa jiji.
 
Hayo ni mawazo yako siyo ya Wana mbeya. Mbona mawzo yako unataka yawe ya Wana mbeya. Wana mbeya hawamtaki Tulia wanataka kipemzi Chao sugu
Wana Mbeya wanamhitaji Dr Tulia Ackson Mwansasu Kuendelea kututumikia
 
Back
Top Bottom