Itakuwa Simba ya ajabu!!!!

Sasa we unasema ulikosea alafu unasema mjadala ungekuwa ushaisha...

Turudi sasa kwenye topic kuu.

Kwa iyo... Iyo tareh 30 wanaenda kuwasilisha nin??
Kuwasilisha timu zitakazoshiriki CAF
 
Yaani ligi za CAF zianze mwezi Agosti halafu 30 Juni, 2019 ndio uwasilishe majina ya timu bila usajili wa Wachezaji? Hapo umetudanganya mkuu.
Nawewe hujiulizi ligi zmeisha hata mwezi bado timu znaenda AFCON vilabu vitapata mda gani wa kusajiri wakati wachezaji hawapo?
 

HAINA HAJA YA KUTUKANA ALAFU.
UNAPOANZA KUDHARAU MAPENZI YA WENZAKO KWA TIMU ZAO, NDIPO UTAKAPOGUNDUA KWANINI WENZAKO PIA WANADHARAU USHABIKI WAKO!

MIAKA 2 YA MO SIMBA INAONEKANA INAPOTAKIWA KUWA, HAYA JANGWANI KUNA NINI? MPAKA CCM IFUFUKE NDIYO YANGA IWE IMARA INAINGIA AKILINI? TIMU KONGWE ZAIDI YA SIMBA INABEBWA NA SERIKALI, NA WENYEWE MNAJIITA TIMU YA WANANCHI. HAMUIONI TIMU YA WANANCHI KULE CATALUNYA?
"WE ARE MORE THEN A CLUB" UMESHA WAHI KUSIKIA BARCA KUNA ALAMBEE ZA KISENGE KAMA JANGWANI?

JINADANGANYENI NA HAO CCM ALAFU MTAKIONA! SIASA NA SOKA NI VITU VIWILI TOFAUTI.
 
 
Huyo mwekezaji ni tapeli
Amefanikiwa kupachika nembo zake kwenye jezi ya Simba ila pesa hatoi

Simba inatumia mapato iliyopata huko Caf
Kwani ni dhambi klabu kutumia hela zake walizoingiza msimu uliopita??
 
Sasa wanaopigwa ni akina nani? Au unamaanisha wakina kilomoni wazee wapumbavu. Mimi ninachokitaka kama shabiki na mwanachama wa Simba ni ushindi tu wa timu. Kama unasema Simba ina raslimali zote hizo zilitumikaje kuleta mafanikio kama yanayoonekana sasa zaidi ya upigaji wa hao wazee.
 
Nawewe hujiulizi ligi zmeisha hata mwezi bado timu znaenda AFCON vilabu vitapata mda gani wa kusajiri wakati wachezaji hawapo?
Asante kwa kumuelewesha huyo mjamaa.
Ana mawazo ya Kiyangayangu.
 
Hizo ni njaa za mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…