magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,309
Kuwasilisha timu zitakazoshiriki CAFSasa we unasema ulikosea alafu unasema mjadala ungekuwa ushaisha...
Turudi sasa kwenye topic kuu.
Kwa iyo... Iyo tareh 30 wanaenda kuwasilisha nin??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwasilisha timu zitakazoshiriki CAFSasa we unasema ulikosea alafu unasema mjadala ungekuwa ushaisha...
Turudi sasa kwenye topic kuu.
Kwa iyo... Iyo tareh 30 wanaenda kuwasilisha nin??
Yaani ligi za CAF zianze mwezi Agosti halafu 30 Juni, 2019 ndio uwasilishe majina ya timu bila usajili wa Wachezaji? Hapo umetudanganya mkuu.Kuwasilisha timu zitakazoshiriki CAF
Nawewe hujiulizi ligi zmeisha hata mwezi bado timu znaenda AFCON vilabu vitapata mda gani wa kusajiri wakati wachezaji hawapo?Yaani ligi za CAF zianze mwezi Agosti halafu 30 Juni, 2019 ndio uwasilishe majina ya timu bila usajili wa Wachezaji? Hapo umetudanganya mkuu.
Aaah aaah ushabiki mwingi saana hadi unachangnya habari...
Sasa unasema mzee kilomoni aende mahakaman!!
Akafanye nin?
Yeh hanaga shida na mtu na hakuna anayemshtka...
Suala la kuendesha mambo kitaalamu ndilo linalowacoast... Mnapigwa pesa kifala ... Timu kama simba ilivyo na wanachama kibao na miradi kibao.
Unaimilikisha vipi kwa 20B, ni pesa ndogo saana iyo braza... Tamaa tu ndio zinawaponza.
HAINA HAJA YA KUTUKANA ALAFU.
UNAPOANZA KUDHARAU MAPENZI YA WENZAKO KWA TIMU ZAO, NDIPO UTAKAPOGUNDUA KWANINI WENZAKO PIA WANADHARAU USHABIKI WAKO!
MIAKA 2 YA MO SIMBA INAONEKANA INAPOTAKIWA KUWA, HAYA JANGWANI KUNA NINI? MPAKA CCM IFUFUKE NDIYO YANGA IWE IMARA INAINGIA AKILINI? TIMU KONGWE ZAIDI YA SIMBA INABEBWA NA SERIKALI, NA WENYEWE MNAJIITA TIMU YA WANANCHI. HAMUIONI TIMU YA WANANCHI KULE CATALUNYA?
"WE ARE MORE THEN A CLUB" UMESHA WAHI KUSIKIA BARCA KUNA ALAMBEE ZA KISENGE KAMA JANGWANI?
JINADANGANYENI NA HAO CCM ALAFU MTAKIONA! SIASA NA SOKA NI VITU VIWILI TOFAUTI.
HAYA AHSANTE LETA UZI SASA HAPA
Kwani ni dhambi klabu kutumia hela zake walizoingiza msimu uliopita??Huyo mwekezaji ni tapeli
Amefanikiwa kupachika nembo zake kwenye jezi ya Simba ila pesa hatoi
Simba inatumia mapato iliyopata huko Caf
Sasa wanaopigwa ni akina nani? Au unamaanisha wakina kilomoni wazee wapumbavu. Mimi ninachokitaka kama shabiki na mwanachama wa Simba ni ushindi tu wa timu. Kama unasema Simba ina raslimali zote hizo zilitumikaje kuleta mafanikio kama yanayoonekana sasa zaidi ya upigaji wa hao wazee.Aaah aaah ushabiki mwingi saana hadi unachangnya habari...
Sasa unasema mzee kilomoni aende mahakaman!!
Akafanye nin?
Yeh hanaga shida na mtu na hakuna anayemshtka...
Suala la kuendesha mambo kitaalamu ndilo linalowacoast... Mnapigwa pesa kifala ... Timu kama simba ilivyo na wanachama kibao na miradi kibao.
Unaimilikisha vipi kwa 20B, ni pesa ndogo saana iyo braza... Tamaa tu ndio zinawaponza.
Anataka wakagawane mababu zake wakina Kilomoni kama walivyozoea.Kwani ni dhambi klabu kutumia hela zake walizoingiza msimu uliopita??
Asante kwa kumuelewesha huyo mjamaa.Nawewe hujiulizi ligi zmeisha hata mwezi bado timu znaenda AFCON vilabu vitapata mda gani wa kusajiri wakati wachezaji hawapo?
Hizo ni njaa za mjini.Sasa wanaopigwa ni akina nani? Au unamaanisha wakina kilomoni wazee wapumbavu. Mimi ninachokitaka kama shabiki na mwanachama wa Simba ni ushindi tu wa timu. Kama unasema Simba ina raslimali zote hizo zilitumikaje kuleta mafanikio kama yanayoonekana sasa zaidi ya upigaji wa hao wazee.
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]First improve your hand writing
Mtajuta na usiri. Usajili haujawahi kuwa siri kokote duniani labda Simba iwe ya kwanza.Simba imeweza kudhibiti habari ndio maana watu wengi hawajui nini kinaendelea ils pale kila mtu anajua majukumu yake