Itakuwa Simba ya ajabu!!!!

Itakuwa Simba ya ajabu!!!!

Sasa we unasema ulikosea alafu unasema mjadala ungekuwa ushaisha...

Turudi sasa kwenye topic kuu.

Kwa iyo... Iyo tareh 30 wanaenda kuwasilisha nin??
Kuwasilisha timu zitakazoshiriki CAF
 
Yaani ligi za CAF zianze mwezi Agosti halafu 30 Juni, 2019 ndio uwasilishe majina ya timu bila usajili wa Wachezaji? Hapo umetudanganya mkuu.
Nawewe hujiulizi ligi zmeisha hata mwezi bado timu znaenda AFCON vilabu vitapata mda gani wa kusajiri wakati wachezaji hawapo?
 
Aaah aaah ushabiki mwingi saana hadi unachangnya habari...

Sasa unasema mzee kilomoni aende mahakaman!!

Akafanye nin?

Yeh hanaga shida na mtu na hakuna anayemshtka...

Suala la kuendesha mambo kitaalamu ndilo linalowacoast... Mnapigwa pesa kifala ... Timu kama simba ilivyo na wanachama kibao na miradi kibao.

Unaimilikisha vipi kwa 20B, ni pesa ndogo saana iyo braza... Tamaa tu ndio zinawaponza.

HAINA HAJA YA KUTUKANA ALAFU.
UNAPOANZA KUDHARAU MAPENZI YA WENZAKO KWA TIMU ZAO, NDIPO UTAKAPOGUNDUA KWANINI WENZAKO PIA WANADHARAU USHABIKI WAKO!

MIAKA 2 YA MO SIMBA INAONEKANA INAPOTAKIWA KUWA, HAYA JANGWANI KUNA NINI? MPAKA CCM IFUFUKE NDIYO YANGA IWE IMARA INAINGIA AKILINI? TIMU KONGWE ZAIDI YA SIMBA INABEBWA NA SERIKALI, NA WENYEWE MNAJIITA TIMU YA WANANCHI. HAMUIONI TIMU YA WANANCHI KULE CATALUNYA?
"WE ARE MORE THEN A CLUB" UMESHA WAHI KUSIKIA BARCA KUNA ALAMBEE ZA KISENGE KAMA JANGWANI?

JINADANGANYENI NA HAO CCM ALAFU MTAKIONA! SIASA NA SOKA NI VITU VIWILI TOFAUTI.
 
IMG-20190618-WA0016 (1).jpg
 
Aaah aaah ushabiki mwingi saana hadi unachangnya habari...

Sasa unasema mzee kilomoni aende mahakaman!!

Akafanye nin?

Yeh hanaga shida na mtu na hakuna anayemshtka...

Suala la kuendesha mambo kitaalamu ndilo linalowacoast... Mnapigwa pesa kifala ... Timu kama simba ilivyo na wanachama kibao na miradi kibao.

Unaimilikisha vipi kwa 20B, ni pesa ndogo saana iyo braza... Tamaa tu ndio zinawaponza.
Sasa wanaopigwa ni akina nani? Au unamaanisha wakina kilomoni wazee wapumbavu. Mimi ninachokitaka kama shabiki na mwanachama wa Simba ni ushindi tu wa timu. Kama unasema Simba ina raslimali zote hizo zilitumikaje kuleta mafanikio kama yanayoonekana sasa zaidi ya upigaji wa hao wazee.
 
Nawewe hujiulizi ligi zmeisha hata mwezi bado timu znaenda AFCON vilabu vitapata mda gani wa kusajiri wakati wachezaji hawapo?
Asante kwa kumuelewesha huyo mjamaa.
Ana mawazo ya Kiyangayangu.
 
Sasa wanaopigwa ni akina nani? Au unamaanisha wakina kilomoni wazee wapumbavu. Mimi ninachokitaka kama shabiki na mwanachama wa Simba ni ushindi tu wa timu. Kama unasema Simba ina raslimali zote hizo zilitumikaje kuleta mafanikio kama yanayoonekana sasa zaidi ya upigaji wa hao wazee.
Hizo ni njaa za mjini.
 
Back
Top Bottom