Yaani huyu hawezi kupita kwenye kinyang'anyiro sababu ni mbinafsi sana harafu anajifanya kuijua sayansi ya pesa sana ref: mhimbili parking utadhani mle hospital wanagawa ubwa bwa na nyama ya kuku wakati watu wameenda kupereka shida na maradhi yasiosemekana............ukiona mpaka mtu kafika mhimbili ujue hajapenda shida tu na hana jinsi...........2: huyu hafai kuwa kule sababu anaharibu biashara za watu kuwaambia wakila chips kuku na soda ni sumu............wewe jamaaa hivi kweli KFC 🍗 wauze sumu kweli??? Hapana kwa kweli wewe utabaki hapa hapa bongo........kama ni pilau na soda wengine sasa tunawajukuu na kira lilipikwa pilau ni lazima soda ziwepo hatujafa mpaka leo ........hiyo sumu kamwambie baba yako shamba huko.............sura ka drip la uchungu