Itakuwa vigumu Prof. Janabi kupenya ushindani wa Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ila tutumie vigezo sahihi kumpima.

Yaani huyu hawezi kupita kwenye kinyang'anyiro sababu ni mbinafsi sana harafu anajifanya kuijua sayansi ya pesa sana ref: mhimbili parking utadhani mle hospital wanagawa ubwa bwa na nyama ya kuku wakati watu wameenda kupereka shida na maradhi yasiosemekana............ukiona mpaka mtu kafika mhimbili ujue hajapenda shida tu na hana jinsi...........2: huyu hafai kuwa kule sababu anaharibu biashara za watu kuwaambia wakila chips kuku na soda ni sumu............wewe jamaaa hivi kweli KFC πŸ— wauze sumu kweli??? Hapana kwa kweli wewe utabaki hapa hapa bongo........kama ni pilau na soda wengine sasa tunawajukuu na kira lilipikwa pilau ni lazima soda ziwepo hatujafa mpaka leo ........hiyo sumu kamwambie baba yako shamba huko.............sura ka drip la uchungu
 
Hakuna mgombea hapo!
Ni sawa na kumpigia debe mganga wa Kienyej....
 
Sisi wengine hatuamini katika mambo ya vigezo. Rais na mwenyekiti wetu alisema inakuwa. Hamjaona 2019 na 2024 tulivyocheza?. Mambo ya vigezo kwetu sio kivile. Kamati ya fitna itaenda na πŸ’ΈπŸ’·πŸ’ΆπŸ’΄πŸ’°za kutosha.
 
Janabi abakie hapa hapa bongo ushauri wake sometimes unakuwaga kama burudani. Mfano mwambie mlevi anywe bia moja kwa saa moja kutozitesa figo
Janabi huyu mzee fix fix sana, aliwahi sema hajanywa juice miaka 20.
 
To me he is good comedian πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
He can not win that position
 
Hiyo post ya WHO-Africa kwani si ilikuwepo toka zamani.

Kabla ya Ndugulile hajaipata tulikuwa hajujadili lolote kuhusu nafasi hii,
Hiyo post wala haihitaji vigezo viguumu sana..na ndiyo sababu hata Ndugulile aliipata.

Tatizo waTZ tuna shobo sana nyazifa za nje na kufikiri labda ni deal sana kumbe ni kawaida tu.

Mfano 1, Dr Tulia kashinda kiti cha speaker wa-maspeaker, ikawa ni mjadala as if ni kitu cha ajaaabu kumbe hamna chochote.

Mfano 2, Anne Makonda naye kuna wakati alipata nafasi hii hii kwa level ya Africa ikawa ni kelele nchi nzima.

Mfano 3, Engineer Hersi kawa Mwenyekiti wa Ma-rais wa vilabu Afrika ikawa kelele.

Jamani tusiwe malimbukeni sana, hivi ni vitu vya kawaida tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…