Itakuwaje CHADEMA mwakani Mbowe aking'atuka uenyekiti? Nani anafaa kumpokea kijiti?

Itakuwaje CHADEMA mwakani Mbowe aking'atuka uenyekiti? Nani anafaa kumpokea kijiti?

John Heche can be the right Kamanda after Mh. Mbowe, if at all there is need to do so.
 
Nachojuwa hataachia hiyo nafasi Bali atatengeneza vijana wake ili wajifanye wanaandamana na matisheti yao kumchukulia form ya kugombea halafu baada ya hapo ole wake mtu ajifanye anachukua Naye fomu hakika atakiona Cha mtema kuni kilichomwondoa Zitto chadema, Nafasi ya uenyekiti chadema siyo ya kugombania maana chadema Ni mradi wa mtu huo, hivyo huwezi ukatoka huko utokaka ukaanza kuingilia mradi wa watu
 
Mission ya Chadema kuisimamia Serikali ya CCM KWA miaka yote Hii imeshakamilika na hitimisho lake ni Katiba Mpya!!

Baada ya hapo ccm na Chadema itajifuta katika uso wa Dunia ndipo vyama vipya vitazaliwa na kuongoza nchi!!

Uwenyekiti wa Mbowe utaisha automatic na kuwa SEHEMU ya Serikali kiuwajibikaji!

Tusubiri
 
Back
Top Bottom