Mkuu kunywa kinywaji unachõtumia nakuja kulipaNa siku hizj wasanii hawaogopi Clouds tena,pamoja na bifu lao na WCB kuwa wazi lakini bado wasanii wanashirikiana na WCB,kolabo Benpol na Harmonize,Navykenzo na Diamond,Dully Sykes na Harmonize,Rayvan na Nick wa pili, Rayvan na Izzo B,Country boy,Young D,Rosa ree,Godzilla.Ni kielelzo kuwa Clouds siyo tishio tena kwa wasanii au wasanii wameanza kujielewa.
Ulanzi mkuu.Mkuu kunywa kinywaji unachõtumia nakuja kulipa
Mkuu mbona maisha ya kusujudiana yameisha, kwa game ilivyosasa wenye IQ wata'dominate' na Chibu ni mmojawapo.Hao wasafi wanatakiwa wafanye kazi sana kufika clouds walipofikia wasifikiri ni longolongo za kwenye mitandao game LA radio siyo mchezo!....waangalie wenzao EFM wanavyopambana!...wasijidanganye kabisa kupambana na clouds bado saana
[emoji16][emoji16][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]. Kweli mkuu mfano sahivi Maua sama anagombaniwa ile mbayaWasanii wautumie huu ushindani kujinufaisha maana siku hizi wanagombaniwa. Msanii ukiwa wimbo wako tu umekiki media zinajileta zenyewe huku ndiko tulikokuwa tunataka tufike. Ifike hatua msanii anayefanya vizuri aheshimiwe na media siyo media imuendeshe ipendavyo Kama zamani