Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,148
Mkuu kunywa kinywaji unachõtumia nakuja kulipaNa siku hizj wasanii hawaogopi Clouds tena,pamoja na bifu lao na WCB kuwa wazi lakini bado wasanii wanashirikiana na WCB,kolabo Benpol na Harmonize,Navykenzo na Diamond,Dully Sykes na Harmonize,Rayvan na Nick wa pili, Rayvan na Izzo B,Country boy,Young D,Rosa ree,Godzilla.Ni kielelzo kuwa Clouds siyo tishio tena kwa wasanii au wasanii wameanza kujielewa.