Itakuwaje Clouds wakimuomba msamaha Diamond

Itakuwaje Clouds wakimuomba msamaha Diamond

Na siku hizj wasanii hawaogopi Clouds tena,pamoja na bifu lao na WCB kuwa wazi lakini bado wasanii wanashirikiana na WCB,kolabo Benpol na Harmonize,Navykenzo na Diamond,Dully Sykes na Harmonize,Rayvan na Nick wa pili, Rayvan na Izzo B,Country boy,Young D,Rosa ree,Godzilla.Ni kielelzo kuwa Clouds siyo tishio tena kwa wasanii au wasanii wameanza kujielewa.
Mkuu kunywa kinywaji unachõtumia nakuja kulipa
 
Hao wasafi wanatakiwa wafanye kazi sana kufika clouds walipofikia wasifikiri ni longolongo za kwenye mitandao game LA radio siyo mchezo!....waangalie wenzao EFM wanavyopambana!...wasijidanganye kabisa kupambana na clouds bado saana
 
Mkuu mbona maisha ya kusujudiana yameisha, kwa game ilivyosasa wenye IQ wata'dominate' na Chibu ni mmojawapo.
 
Tatizo mtoa maada nae ni daboyusibii..... Fiesta ni kubwa sana na lazima watu wafurike.... Wewe endelea kujifariji na comments za youtube sawa eh maana goma liko uwanjani na sio youtube
 
Wasanii wautumie huu ushindani kujinufaisha maana siku hizi wanagombaniwa. Msanii ukiwa wimbo wako tu umekiki media zinajileta zenyewe huku ndiko tulikokuwa tunataka tufike. Ifike hatua msanii anayefanya vizuri aheshimiwe na media siyo media imuendeshe ipendavyo Kama zamani
 
[emoji16][emoji16][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]. Kweli mkuu mfano sahivi Maua sama anagombaniwa ile mbaya
 
Back
Top Bottom