Mwendo wa kimyaaa kimya huku wakingoja watu wasahau tukisha sahau tutaiona bendera ya waarabu inapepea pale bandarini kimya kimya na hakuna hata gazeti litalo andika! tukianza kelele mwarabu anamuuzia MoU mchina,mpaka hapo Watanzania tutakuwa tumepotezwa mbaya,tukitaka kumpokonya mchina,atatuambia yeye hakununua kwetu bali kwa mwarabu.