Uchaguzi 2020 Itakuwaje kama Lissu akashinda Urais bila kupata Wabunge wa kutosha?

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,492
Reaction score
2,361
Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.

Mwaka huu sijaona wa kuokoa jahazi, hata hao wastaafu waliingizwa kwenye kampeni wamekosa mvuto tofauti na ilivyotarajiwa.

Swali langu ni kuwa: Itakuwaje kama Lissu akashinda kisha akakosa kupata wabunge wa kutosha? Si CCM wataamua kumkwamisha?
 
Tanzania ni nchi ya Mfumo wa vyama vingi hata yule mama anayegombea Uraisi akishinda bila mbunge mmoja bado atachagua mawaziri na waziri mkuu kutoka kwenye vyama vyenye wabunge na watamsapoti kinafiki au kiupendo ni kulingana tu na uwezo wa mtu wa kuongoza kwa umoja na upendo na huwa havijifichi kama unafiki usivyojificha.
 
Kuamini kwamba Lisu anashinda urais ni kituko kingine cha karne
tapatalk_1603552691492.jpeg
 
Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.

Mwaka huu sijaona wa kuokoa jahazi, hata hao wastaafu waliingizwa kwenye kampeni wamekosa mvuto tofauti na ilivyotarajiwa.

Swali langu ni kuwa: Itakuwaje kama Lissu akashinda kisha akakosa kupata wabunge wa kutosha? Si CCM wataamua kumkwamisha?
1)Tunafungua kesi mahakani nchi nzima
.kuwaondoa wabunge wa ccm waliopitishwa kwa rushwa kwenye kura za maoni, uchaguzi utarudiwa

2.) Tutarudia uchaguzi majimbo ambayo waliopitishwa bila kupingwa

3). Tutawafuta wabunge wote ambao ushindi wao umepatikana kwa figisu ikiwa Ni pamoja na kukiukwa kwa sheria na kanuni za uchaguzi

No1-4 tuta fanikiwa kurudisha majimbo kama100 kabla ya december 2020

4 tutaunda serikali ya mseto na ACT wazalendo
 
Unawaza na matako bro..
 
Tujadiri kwa hoja, matusi na mihemko mwiko
Kwanza CCM ikishashindwa kwenye kura za uRaisi inasambaratika trust me wabunge wa CCM ni wako ki maslahi zaidi watafanya mazungumzo nyuma ya Pazia ili Serikali ya mseto iundwe
 
Atakuwa na option mbili
1.kufanya maridhiano na chama tawala ili aunde serikali kwa serikali ya mseto
2. Kutumia mahakama kutengua wabunge wote waliopita bila kupingwa ili kukiongezea wabunge chama chake kisha kuendelea na kazi ya kujenga nji
 
Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.

Mwaka huu sijaona wa kuokoa jahazi, hata hao wastaafu waliingizwa kwenye kampeni wamekosa mvuto tofauti na ilivyotarajiwa.

Swali langu ni kuwa: Itakuwaje kama Lissu akashinda kisha akakosa kupata wabunge wa kutosha? Si CCM wataamua kumkwamisha?
Kama unaamini Wabunge was CDM hawatashinda, kwa angalau 70% huo ni ushahidi kuwa Lissu naye atashindwa.
Watanzania wenye uwezo was Kumchagua Mbunge was CCM na Wakamchagua Lissu ni wachache japo 2015 Mimi nilifanya hivo. Nilimchagua Mama Anna Mgwilla na Halima Mdee. Lakini ninachojua asilimia 99% ya Watanzania wanapenda kupiga hatrick.
 
Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.

Mwaka huu sijaona wa kuokoa jahazi, hata hao wastaafu waliingizwa kwenye kampeni wamekosa mvuto tofauti na ilivyotarajiwa.

Swali langu ni kuwa: Itakuwaje kama Lissu akashinda kisha akakosa kupata wabunge wa kutosha? Si CCM wataamua kumkwamisha?
Propaganda za kujifariji. Mwenyemacho ambiwi tazama na mwenyemasikio asikie. Ngome za CDM zote zimebomoka.
 
Back
Top Bottom