Uchaguzi 2020 Itakuwaje kama Lissu akashinda Urais bila kupata Wabunge wa kutosha?

Je hakuna uwezekano wa kuingia madarakani na kulivunja bunge kabla hajateua waziri mkuu na uchaguzi ukaitishwa upya ili apate wabunge wanaoweza kuunda serikali?
Hapana,kuna matukio maalum yanayoweza sababisha bunge kuvunjwa,kwa hiyo si rahis kulivunja tuu hadi itokee jambo mahsusi
 
Jipeni moyo tu, lakini wenye akili wapo pembeni wanaangalia vilaza mnavyohangaika kusifu upuuzi
Wanatuona watanzania wajinga sana ila salamu kamili wanaenda kuzipata hapo wiki ijayo. Kizazi cha sasa sio cha kuendeshwa na propaganda za kijinga, Ccm ndo watajua kuwa hawajui mwaka huu
 
Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.

Mwaka huu sijaona wa kuokoa jahazi, hata hao wastaafu waliingizwa kwenye kampeni wamekosa mvuto tofauti na ilivyotarajiwa.

Swali langu ni kuwa: Itakuwaje kama Lissu akashinda kisha akakosa kupata wabunge wa kutosha? Si CCM wataamua kumkwamisha?
Kwenu kaka umewahi kujiuliza magu akishinda bila wabunge wakutosha nini kitatokea
Usipate taabu ushindi waraisi mara nyingi huwakisiwa nawabunge mara nyingi tunachagua hivyo
 
Uzuri wa katiba ya sasa haimzuii Lissu kuunda serikali hata akipata wabunge 30 tu!! Serikali ataiunda kama kawaida ila kwa speaker na waziri mkuu ndo watapigiwa kura na Chama Chenye wabunge wengi bungeni.

Hakuna shida!!
 
Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.

Mwaka huu sijaona wa kuokoa jahazi, hata hao wastaafu waliingizwa kwenye kampeni wamekosa mvuto tofauti na ilivyotarajiwa.

Swali langu ni kuwa: Itakuwaje kama Lissu akashinda kisha akakosa kupata wabunge wa kutosha? Si CCM wataamua kumkwamisha?
Atanunua wabunge
 
Mna maana gani? Kama siyo NEC na upenfeleo wa wazi cvm ingekuwa wapi!
Mtanzania anayechagua ccm ambayo imetumia fedha za nchi kihovyo kama walivyofanya hii miaka mitano hawastahili kuitwa watanzania!
 
Kwa mara ya kwanza tangu tupate mfumo wa vyama vingi CCM umepata mgombea wa Upinzani dhaifu Sana. Asilimia zaidi ya 90 zinakwenda kwa JPM. Amini. Nimeshiriki chaguzi kubwa mbili 2015 na wa 2000. Sijawahibkuona wananchi wakiwa na mapenzi kwa Raisi alikwisha hudumu miaka mitano kama wananchi walivyompenda Magufuli mwaka huu.

Kama wote mnavyo fahamu maranyingi Raisi hupataga wakati mgumu wa kuomba kura katika awamu ya pili ya uongozi nyakati zote. Na tumeshuhudia idadi ya asilimia za kura za Uraisi upungua katika muhura wa pili wa uchaguzi. This time around Magufuli his going to make big surprise. Mala ya kwanza alishinda kwa asilimia 51% 28/10/2020 anakwenda kupokea kura za shukrani zaidi ya 90% ya kura zote.
Vyeti feki na mafisadi na waliokosa kuongezewa mishahara ukijumlisha na ndugu zao wanaowategemea ni only 10%. Kuwa na uhalisia basi,JPM ana maadui na sio only 10% ya wapiga kura.
 
Tujadiri kwa hoja, matusi na mihemko mwiko
Kuamini kwamba Lisu anashinda urais ni kituko kingine cha karne
Ni jambo ambalo hata kulifikiria tu ni kuuchosha ubongo bora niwaze hata mechi ya Man U na Chelsea kuliko possibility ya Lisu kushinda Urais ni karibia na sifuri.
Swali zuri kwa wafuasi wa lissu.. Njooni mtufafanulie
Hakuna Mtanzania atampigia kura msaliti wa Nchi

Rais Magufuli na Ccm ushindi ni 98,
Kama unaamini Wabunge was CDM hawatashinda, kwa angalau 70% huo ni ushahidi kuwa Lissu naye atashindwa.
Watanzania wenye uwezo was Kumchagua Mbunge was CCM na Wakamchagua Lissu ni wachache japo 2015 Mimi nilifanya hivo. Nilimchagua Mama Anna Mgwilla na Halima Mdee. Lakini ninachojua asilimia 99% ya Watanzania wanapenda kupiga hatrick.
Ushauri wangu kwenu, Hakikisheni mnalipwa posho zote mbazodai hapo Lumumba maana Ccm ni Chama pinzani kuanzia hapo Mwishoni mwa next week. Mark my words!
 
Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.

Mwaka huu sijaona wa kuokoa jahazi, hata hao wastaafu waliingizwa kwenye kampeni wamekosa mvuto tofauti na ilivyotarajiwa.

Swali langu ni kuwa: Itakuwaje kama Lissu akashinda kisha akakosa kupata wabunge wa kutosha? Si CCM wataamua kumkwamisha?
Dah..
Hivi tuko tz tofauti au...uchaguzi huu mgumu zaidi ya wa 2015?
Huku mitandaoni kuna vituko sana. Kama comedy vile.
 
Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.

Mwaka huu sijaona wa kuokoa jahazi, hata hao wastaafu waliingizwa kwenye kampeni wamekosa mvuto tofauti na ilivyotarajiwa.

Swali langu ni kuwa: Itakuwaje kama Lissu akashinda kisha akakosa kupata wabunge wa kutosha? Si CCM wataamua kumkwamisha?
He will be powerless
 
Wale wabunge waliopitishwa bila kupingwa na NEC wooote wanafutwa
 
Vyeti feki na mafisadi na waliokosa kuongezewa mishahara ukijumlisha na ndugu zao wanaowategemea ni only 10%. Kuwa na uhalisia basi,JPM ana maadui na sio only 10% ya wapiga kura.
Let me give you good explanation about veti feki. Hiyo siyo hoja kabisa. Wakifutwa kazi kwasababu ya veti feki elf10 tu. Waliajiliwa ajila mpya serikalini zaidi ya elf20 Sasa unaweza kuona hoja yako inavyojifia yenyewe upo ndugu?
 
Kwani Magufuli, Queen ama Rungwe wakishinda Urais bila wingi wa wabunge inakuwaje? Rais ana uwezo wa kuvunja Bunge na kuitisha uchaguzi mpya.
Swali langu ni kuwa: Itakuwaje kama Lissu akashinda kisha akakosa kupata wabunge wa kutosha? Si CCM wataamua kumkwamisha?
 
Umetumia akili?
Kura za maoni za CCM zinakuhusu nini kama wewe siyo CCM. Au hujui mipaka. Sawa kusema tutaangalia upya kama kuna wabunge wa CCM wameiba kura, lakini kupitishwa kugombea siyo kazi ya upinzani.
 
Atalivunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya
 
Kwenu kaka umewahi kujiuliza magu akishinda bila wabunge wakutosha nini kitatokea
Usipate taabu ushindi waraisi mara nyingi huwakisiwa nawabunge mara nyingi tunachagua hivyo
Hawezi kuuliza kama Magu atashinda kutatokea nini? Ushindi wa ubunge kwa CCM ni 100%. CCM watapata at least 60% ya viti vya ubunge. Uraisi huenda Lissu akapata kati ya 20%-35% (p = 0.05).
 
Back
Top Bottom