Uchaguzi 2020 Itakuwaje kama Lissu akashinda Urais bila kupata Wabunge wa kutosha?

Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.

Mwaka huu sijaona wa kuokoa jahazi, hata hao wastaafu waliingizwa kwenye kampeni wamekosa mvuto tofauti na ilivyotarajiwa.

Swali langu ni kuwa: Itakuwaje kama Lissu akashinda kisha akakosa kupata wabunge wa kutosha? Si CCM wataamua kumkwamisha?
Cha kusikitisha hata bwana mrisho kikwete atampigia kura Mhe Doctor Wa Sheria Mhe Tundu Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let me give you good explanation about veti feki. Hiyo siyo hoja kabisa. Wakifutwa kazi kwasababu ya veti feki elf10 tu. Waliajiliwa ajila mpya serikalini zaidi ya elf20 Sasa unaweza kuona hoja yako inavyojifia yenyewe upo ndugu?
Hapana ukiacha hujuma za mafisadi ndani ya chama chake na walikuwa wanaajiri kwenye mabiashara yao, vibarua wa kujenga nyumba zao na pesa walizotumia bar hao vyeti feki tu multiplayer effect yake inaweza kuwa kubwa kuliko unavyodhani........
Ajira mpya ni kwa vijana,wengi wa hawa hawana utegemezi na hawana uzalendo kwa ccm.
Wengi waliofukuzwa vyeti feki wana familia au walikaribia kustaafu, wengi wana wategemezi nje ya familia, wana wazazi vijijini na ndio walikuwa wanaipenda ccm kweli. JPM Hata akishinda si kwa 90%.... Huko ni kutokuwa realistic. Huwezi pigana vita aliyopigana JPM halafu ukapendwa kwa 90%. Ukweli ni kwamba yupo kwenye mazingira ya kupita kwa margin ya kawaida au ndogo na asipokuwa making akashindwa.

Vita tu ya madawa inamuweka kwenye mazingira ya kupigana na watu wenye nguvu, achilia mbali ubabe kwa mabeberu.
 
Hizo 2% atapigiwa na nani kama hamna mtanzania atakayempigia?

Second Lord Lofa!
Hiyo 2% ni kwa wagombea wengine wa upinzani. Hivi wewe fikra zako upinzani ni CHADEMA tu. Ndiyo maana kuungana upinzani ni kazi. CCM inaweza kuondolewa kwenye madaraka kirahisi kama upinzani wataaminiana na kukaa pamoja kutoa wagombea bila kunyang'anyana kura wao kwa wao. Otherwise forget about solo winning.
 
Jipeni moyo tu, lakini wenye akili wapo pembeni wanaangalia vilaza mnavyohangaika kusifu upuuzi
Jpm anafanya kulazimisha kingi! Lakini hata anaoambatana nao hawampendi. Ila wanatembea na ule msemo "bosi hanuniwi" watakula wapi! Anasema Lipumba" njaa imehamia kichwani"
 
Hapana ukiacha mafisadi waliokuwa wanaajiri kwenye mabiashara yao, vibarua wa kujenga nyumba zao na pesa walizotumia bar hao vyeti feki tu multiplayer effect yake inaweza kuwa kubwa kuliko unavyodhani........
Ajira mpya ni kwa vijana,wengi wa hawa hawana utegemezi na hawana uzalendo kwa ccm.
Wengi waliofukuzwa vyeti feki wana familia au walikaribia kustaafu, wengi wana wategemezi nje ya familia, wana wazazi vijijini na ndio walikuwa wanaipenda ccm kweli. JPM Hata akishinda si kwa 90%.... Huko ni kutokuwa realistic. Huwezi pigana vita aliyopigana JPM halafu ukapendwa kwa 90%. Ukweli ni kwamba yupo kwenye mazingira ya kupita kwa margin ya kawaida au ndogo na asipokuwa making akashindwa.

Vita tu ya madawa inamuweka kwenye mazingira ya kupigana na watu wenye nguvu.
Ila atashinda kwa kishindo kikubwa
 
Hiyo 2% ni kwa wagombea wengine wa upinzani. Hivi wewe fikra zako upinzani ni CHADEMA tu. Ndiyo maana kuungana upinzani ni kazi. CCM inaweza kuondolewa kwenye madaraka kirahisi kama upinzani wataaminiana na kukaa pamoja kutoa wagombea bila kunyang'anyana kura wao kwa wao. Otherwise forget about solo winning.
Kaa hapo hapo, kesho kutwa sio mbali!
 
Hapana ukiacha mafisadi waliokuwa wanaajiri kwenye mabiashara yao, vibarua wa kujenga nyumba zao na pesa walizotumia bar hao vyeti feki tu multiplayer effect yake inaweza kuwa kubwa kuliko unavyodhani........
Ajira mpya ni kwa vijana,wengi wa hawa hawana utegemezi na hawana uzalendo kwa ccm.
Wengi waliofukuzwa vyeti feki wana familia au walikaribia kustaafu, wengi wana wategemezi nje ya familia, wana wazazi vijijini na ndio walikuwa wanaipenda ccm kweli. JPM Hata akishinda si kwa 90%.... Huko ni kutokuwa realistic. Huwezi pigana vita aliyopigana JPM halafu ukapendwa kwa 90%. Ukweli ni kwamba yupo kwenye mazingira ya kupita kwa margin ya kawaida au ndogo na asipokuwa making akashindwa.

Vita tu ya madawa inamuweka kwenye mazingira ya kupigana na watu wenye nguvu, achilia mbali ubabe kwa mabeberu.
Hilo la wauza unga usiliweke that is the way too far. Labda uniambie kuna drugs lod wanashirikiana na Lisu au nimtuwao. Lakini ukweli utabaki palepale Magufuli atafanya wanders katika uchaguzi huu na kuweka historia yake. Leo nimewasikia watu kule Karatu wanaomba kama itawezekana JPM akimaliza mi5 apewe mingine ya asante. Ni mahaba na imani kubwa kwake.
 
Kuamini kwamba Lisu anashinda urais ni kituko kingine cha karne
Nyomi yenu hiyo , halafu bado unaota ushindi.
JamiiForums576320130.jpg
 
Hilo la wauza unga usiliweke that is the way too far. Labda uniambie kuna drugs lod wanashirikiana na Lisu au nimtuwao. Lakini ukweli utabaki palepale Magufuli atafanya wanders katika uchaguzi huu na kuweka historia yake. Leo nimewasikia watu kule Karatu wanaomba kama itawezekana JPM akimaliza mi5 apewe mingine ya asante. Ni mahaba na imani kubwa kwake.
Watu wawili hawawezi kuwa ndiyo maoni ya Karatu nzima. Hao ni makada wa ccm
 
Nyomi yenu hiyo , halafu bado unaota ushindi.View attachment 1611053
Haya lete maigizo yenu hapa, mnazani JF ni sehemu ya propaganda za kichovu Kama hizi. 28/10/2020 mapema tu asubuhi. Nafuraha Sana baada ya kugundua kwamba tume imetenga kila kituo kuwa na wapiga kura wasiozidi mia tano. Kwa idadi hii nadhani saa6 sita mchana wapiga kura watamaliza shuguli kwahiyo tutanza kupata majibu ya madiwa na ubunge fasta. Nadhani na kura za Urais mapema sana
 
Hilo la wauza unga usiliweke that is the way too far. Labda uniambie kuna drugs lod wanashirikiana na Lisu au nimtuwao. Lakini ukweli utabaki palepale Magufuli atafanya wanders katika uchaguzi huu na kuweka historia yake. Leo nimewasikia watu kule Karatu wanaomba kama itawezekana JPM akimaliza mi5 apewe mingine ya asante. Ni mahaba na imani kubwa kwake.
Wala usimuweke Tl. Jpm ana maadui wenye nguvu, hapa nawaongelea wafanya biashara wakiwemo waliokuwa na bureau change, vyeti feki, wauza madawa, wapiga dili n.k na hili si favour ya kumuongezea % ya kura.
 
Ndio maana inasisitizwa tupige kura kimkakati na tusiipe CCM hata kura ya diwani.

Vinginevyo itakuwa kama urais wa Barack Obama!
 
Back
Top Bottom