Uchaguzi 2020 Itakuwaje kama Lissu akashinda Urais bila kupata Wabunge wa kutosha?

1)Tunafungua kesi mahakani nchi nzima
.kuwaondoa wabunge wa ccm waliopitishwa kwa rushwa kwenye kura za maoni, uchaguzi utarudiwa

2.) Tutarudia uchaguzi majimbo ambayo waliopitishwa bila kupingwa

3). Tutawafuta wabunge wote ambao ushindi wao umepatikana kwa figisu ikiwa Ni pamoja na kukiukwa kwa sheria na kanuni za uchaguzi

No1-4 tuta fanikiwa kurudisha majimbo kama100 kabla ya december 2020

4 tutaunda serikali ya mseto na ACT wazalendo
Hayo yooote ni kwa msaada wa Robert Amsterdam & Co.
Hongereni Sana kwa kushinda urais wa JMT ya pale ufipa.
 
An idle mind is the devil's workshop...
Mkuu hauna kazi yankufanya ndio maana unawaza ujinga, hapa mtaani kwetu kuna zoezi la kusafisha mtaa. Nikuunganishe? Kukaa na kuwaza kuwa lissu ana chansi ya kushinda tena kwa kishindo ni wazi uko idle na umeamua kuwaza ujinga.
Saa Mbovu
 
Imevuja Prof Assad ndani ya Baraza la Mawaziri wa Lissu
 
Kwanza CCM ikishashindwa kwenye kura za uRaisi inasambaratika trust me wabunge wa CCM ni wako ki maslahi zaidi watafanya mazungumzo nyuma ya Pazia ili Serikali ya mseto iundwe
Kwa hiyo hao chadema wakishindwa hawasambaratiki? CCM tu ndo wako kimaslahi? Chadema wamejiuza Sana awamu hii na bado hao watatu watakaopata ubunge nao wataunga juhudi Kama kawaida yenu.
 
Kushinda hawezi... MAGUFULI atashinda kwa asilimia 65-68
 
IQ za wabongo shida kwamba namba ya majimbo ndio ina determine ushindi wa Rais?
Zanzibar ina majimbo 50 ila kura zao zote hazizidi kura za mkoa mmoja tu wa Songwe ambao hauna majimbo hata 6!!

Mgawanyo wa majimbo haukufuata wingi wa watu tu bali jiografia na mahitaji mengine. Ndio maana licha ya CHADEMA/CUF kupata 40% ya kura zote za ubunge ila haikufikisha 35% ya viti vyote vya bungeni.

So hakuna correlation kati ya kura za urais na namba ya majimbo.
Wewe ndiyo mwenye IQ ndogo unapotolea mfano was Zanzibar kwenye swala hili, lakini pia angalia nilichoandika hakuna sehemu nimeconclude, lakini ukweli unabaki hapo. Unawezaje kushinda Urais Kama mfumo was Uchaguzi wa Tanzania ambapo watu angalau asilimia 80% ya wapiga huchagua Chama na wala si watu. Kwa mfumo was Uchaguzi wetu, Ushindi wa viti vya ubunge una reflect pia Ushindi wa kiti Cha Urais, angalia takwimu za Uchaguzi tangu 1995 utapata majibu.
 
Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.

Mwaka huu sijaona wa kuokoa jahazi, hata hao wastaafu waliingizwa kwenye kampeni wamekosa mvuto tofauti na ilivyotarajiwa.

Swali langu ni kuwa: Itakuwaje kama Lissu akashinda kisha akakosa kupata wabunge wa kutosha? Si CCM wataamua kumkwamisha?
Swala dogo sana hilo,wabunge wengi wa ccm watamuunga mkono na wataisaport chadema,
We unafikiri hawa wabunge wa upinzani wanounga mkono juhudi za Mwenyekiti,wanaunga kwa kupenda?ni njaa tu na undumila kuwili,
Hata sisi tukiingia ikulu tutawashikisha adabu ccm,mpaka wakae saws,kwanza tutahakikisha spika anakuwa pro chadema,hata kama ni wa ccm,akili itawakaa sawa tu
 
Atakuwa na option mbili
1.kufanya maridhiano na chama tawala ili aunde serikali kwa serikali ya mseto
2. Kutumia mahakama kutengua wabunge wote waliopita bila kupingwa ili kukiongezea wabunge chama chake kisha kuendelea na kazi ya kujenga nji
Hapo sawa
 
Wewe ndiyo mwenye IQ ndogo unapotolea mfano was Zanzibar kwenye swala hili, lakini pia angalia nilichoandika hakuna sehemu nimeconclude, lakini ukweli unabaki hapo. Unawezaje kushinda Urais Kama mfumo was Uchaguzi wa Tanzania ambapo watu angalau asilimia 80% ya wapiga huchagua Chama na wala si watu. Kwa mfumo was Uchaguzi wetu, Ushindi wa viti vya ubunge una reflect pia Ushindi wa kiti Cha Urais, angalia takwimu za Uchaguzi tangu 1995 utapata majibu.
Huelewi nachosema
Ni hivi Mtu anaweza shinda urais kma akizoa KURA ZOTE za Dar na say ZOTE ZA KANDA YA ZIWA. Yaani mikoa 6 tu inaweza kukupa Urais. Lakini hayo maeneo yote nliotaja unakuta yana majimbo 20% ya majimbo yote TZ ingawa yanatoa kura zaidi ya 40%.

Na ndio maana Lowassa kwa mujibu wa NEC alipata 40% ya kura ila je alikua na wabunge 40%???

Dr Slaa na Lipumba 2010 walipata 38% ya kura za urais ila walikua na 20% tu ya wabunge wote JMT. Sasa unatoa wapi takwimu kuonyesha huwezi shinda kura za Urais kma umezidiwa wabunge???

Mind you Tshesekedi amekua Rais wa DRC ilihali chama cha kabila kimeshinda majimbo mengi. Tsvangirai alishinda Urais 2008 ilihali alizidiwa wabunge na Mugabe same to Odinga both 2008 na 2013 ndio kilikua chama chenye wabunge wengi zaidi Kenya ila bado hakikutoa Rais!!

Shida exposure ndogo mnakuja kujifanya wachambuzi JF
 
Majimbo mengi uchaguzi utarudiwa lissu atashinda dalili zote ndogo na zimeshatokea
 
Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.

Mwaka huu sijaona wa kuokoa jahazi, hata hao wastaafu waliingizwa kwenye kampeni wamekosa mvuto tofauti na ilivyotarajiwa.

Swali langu ni kuwa: Itakuwaje kama Lissu akashinda kisha akakosa kupata wabunge wa kutosha? Si CCM wataamua kumkwamisha?
Tuna mambo ya kujadili, hatuwezi kujadili jambo ambalo haliwezi kutokea.
 
Huelewi nachosema
Ni hivi Mtu anaweza shinda urais kma akizoa KURA ZOTE za Dar na say ZOTE ZA KANDA YA ZIWA. Yaani mikoa 6 tu inaweza kukupa Urais. Lakini hayo maeneo yote nliotaja unakuta yana majimbo 20% ya majimbo yote TZ ingawa yanatoa kura zaidi ya 40%.

Na ndio maana Lowassa kwa mujibu wa NEC alipata 40% ya kura ila je alikua na wabunge 40%???

Dr Slaa na Lipumba 2010 walipata 38% ya kura za urais ila walikua na 20% tu ya wabunge wote JMT. Sasa unatoa wapi takwimu kuonyesha huwezi shinda kura za Urais kma umezidiwa wabunge???

Mind you Tshesekedi amekua Rais wa DRC ilihali chama cha kabila kimeshinda majimbo mengi. Tsvangirai alishinda Urais 2008 ilihali alizidiwa wabunge na Mugabe same to Odinga both 2008 na 2013 ndio kilikua chama chenye wabunge wengi zaidi Kenya ila bado hakikutoa Rais!!

Shida exposure ndogo mnakuja kujifanya wachambuzi JF
Ukichukua Mkoa wate wa Dar maana yake Wabunge wote umechukua wewe, Ukichukua kura zote Kanda ya Ziwa maana yake umechukua Wabunge Wote wa Kanda ya ziwa hao ni Wabunge wengi na angalau wanaweza kureflect uhalisia was kura pia za Urais.
Unapomzungumzia Lowassa hiyo na habari nyingine, Lowassa aligombea CDM lakini akiwa anaungwa mkono wa wanna CCM wakiwemo Wabunge wa CCM, Wenyeviti wa CCM mikoa na Wilaya, Wa nec n.k. So it ibvious Kuna sehemu nyingi tu watu waliwapigia Wabunge wa CCM lakini Rais Wakamchagua Lowassa.
Lissu Hana Kariba hiyo, Lissu si mtu wa watu, Hana uwezo was kuwafanya Wanna CCM hasa was ngazi hizo wamuunge mkono. Lakini pia ni ukweli katika historia ya Tanzania mwaka 2015 upinzani ulipata Viti vingi pia na vilireflect angalau kura za Mgombea Urais.
 
Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.

Mwaka huu sijaona wa kuokoa jahazi, hata hao wastaafu waliingizwa kwenye kampeni wamekosa mvuto tofauti na ilivyotarajiwa.

Swali langu ni kuwa: Itakuwaje kama Lissu akashinda kisha akakosa kupata wabunge wa kutosha? Si CCM wataamua kumkwamisha?
ataungana na vyama vingine vidogovidogo..... kama vipo anyway
 
Acha uongo mkuu, kma Lowassa aliongeza kura za CCM kivipi kura za Dr slaa na lipumba ziwe 38% na Lowassa 40%? Yaani gap ya 2% pekee au unataka kukiri hapa aliibiwa kura?

Basi nisaidie 2010 ilikuaje upinzani uwe na 38% ya kura ila sio 38% ya kura za ubunge/ majimbo?

Ama ilikuwaje Mrema 1995 alipata kura nyingi kuliko majimbo aliyoshinda?

Na naomba ujibu kuhusu Odinga, Fatshi na Tsvangirai ilikuaje? Bado sijaona correlation ya kura za urais na namba za wabunge. Coz Kura za wilaya ya kinondonu tu 2015 ilikua sawa na kura za mkoa mzima wa katavi na Rukwa!!
 
Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.

Mwaka huu sijaona wa kuokoa jahazi, hata hao wastaafu waliingizwa kwenye kampeni wamekosa mvuto tofauti na ilivyotarajiwa.

Swali langu ni kuwa: Itakuwaje kama Lissu akashinda kisha akakosa kupata wabunge wa kutosha? Si CCM wataamua kumkwamisha?
There will be new elections for those 28 seats which went unopposed to start with and then we shall see how things will be after that.
I believe chadema will win over 100 seats in these elections and there will be another nominated seats of 10 and then women special seats of 30 women mps and act- w will bring in another 60 seats and nominated special seats will another 20 seats...so in total the coalition of chadema and actw will bring in almost 200 mps which will be better enough to run this country
 
Back
Top Bottom