Kuamini kwamba Lisu anashinda urais ni kituko kingine cha karne
1)Tunafungua kesi mahakani nchi nzimaNi dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.
Mwaka huu sijaona wa kuokoa jahazi, hata hao wastaafu waliingizwa kwenye kampeni wamekosa mvuto tofauti na ilivyotarajiwa.
Swali langu ni kuwa: Itakuwaje kama Lissu akashinda kisha akakosa kupata wabunge wa kutosha? Si CCM wataamua kumkwamisha?
Unawaza na matako bro..1)Tunafungua kesi mahakani nchi nzima
.kuwaondoa wabunge wa ccm waliopitishwa kwa rushwa kwenye kura za maoni, uchaguzi utarudiwa
2.) Tutarudia uchaguzi majimbo ambayo waliopitishwa bila kupingwa
3). Tutawafuta wabunge wote ambao ushindi wao umepatikana kwa figisu ikiwa Ni pamoja na kukiukwa kwa sheria na kanuni za uchaguzi
No1-4 tuta fanikiwa kurudisha majimbo kama100 kabla ya december 2020
4 tutaunda serikali ya mseto na ACT wazalendo
Hatashinda, kwahiyo hakuna haja ya kuumiza kichwa kufikiria kitu ambacho hakitatokea..
Kwanza CCM ikishashindwa kwenye kura za uRaisi inasambaratika trust me wabunge wa CCM ni wako ki maslahi zaidi watafanya mazungumzo nyuma ya Pazia ili Serikali ya mseto iundweTujadiri kwa hoja, matusi na mihemko mwiko
Kama unaamini Wabunge was CDM hawatashinda, kwa angalau 70% huo ni ushahidi kuwa Lissu naye atashindwa.Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.
Mwaka huu sijaona wa kuokoa jahazi, hata hao wastaafu waliingizwa kwenye kampeni wamekosa mvuto tofauti na ilivyotarajiwa.
Swali langu ni kuwa: Itakuwaje kama Lissu akashinda kisha akakosa kupata wabunge wa kutosha? Si CCM wataamua kumkwamisha?
Propaganda za kujifariji. Mwenyemacho ambiwi tazama na mwenyemasikio asikie. Ngome za CDM zote zimebomoka.Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.