Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Kweli kabisa nchi inaongozwa na matalaYule Mama ni Mke wa pili Malafyale.
Yani Tunaongozwa na Waswahili mno.
Huu Muungano hapana aisee.
Ndio maana Mshenzi, Mcharuko, Shambenga, Gubegube, Michambo nk
Yule hajali kitu na Hasikiliz mtu.
Jasili haachi asili
kwamba atababaika na chuki binafsi na mihemko yako useless jukwaani, right?🐒Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.
Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.
Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.
Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Very sad. She used to be a side chick/ mchepuko wa mwana.Yule Mama ni Mke wa pili Malafyale.
Yani Tunaongozwa na Waswahili mno.
Huu Muungano hapana aisee.
Ndio maana Mshenzi, Mcharuko, Shambenga, Gubegube, Michambo nk
Yule hajali kitu na Hasikiliz mtu.
Jasili haachi asili
Saa hizi ni mwendo wa spana tuMbona huwa anaingia sana humu.kipindi amerithishwa urithi wake mwanzoni kabisa alisema mwenyewe huwa anaingia kuona anavyosifiwa na chawa wake.maana kipindi cha mwanzo alikuwa anasifiwa sana
Amekosa kibali mbele ya Mungu na wanadamu piaKwa sasa hakuna awezalo kufanya litakalonibadilisha mtazamo wangu kwake.
Kila siku inayopita chuki yangu kwake inazidi kuongezeka.
Namchukia vibaya mno.
Dogo uko nyuma ya taarifa kweri kweri. Mama kwenye hotuba zake aliishawahi kusema huwa anaingia mitandaoni na anaona wajinga wajinga kama ninyi mnavyojifanya wajuaji? Anaona na wala hujashauri! Umechelewa!! Ahahahahaha!!Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.
Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.
Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.
Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Kwanza hawezi kuingia humu, hv ukitaja social media na JF ipo? Hii platform ni ya watu wasio na akili, ni ya watu waliokata tamaa, wafuasi wa chadema. Kazi yao ni kutukana, kudhalilisha, kuzusha uwongo, kuchochea chuki na ubaguzi.Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.
Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.
Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.
Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Hiyo ilikuwa zamani kabla ya 29th of October 2025. Baada ya pale ni mwendo wa kukiogopa kivuli chakeDogo uko nyuma ya taarifa kweri kweri. Mama kwenye hotuba zake aliishawahi kusema huwa anaingia mitandaoni na anaona wajinga wajinga kama ninyi mnavyojifanua wajuaji? Anaonana wala hujashauri! Umechelewa!! Ahahahahaha!!
Kwanza hawezi kuingia humu, hv ukitaja social media na JF ipo? Hii platform ni ya watu wasio na akili, ni ya watu waliokata tamaa, wafuasi wa chadema. Kazi yao ni kutukana, kudhalilisha, kuzusha uwongo, kuchochea chuki na ubaguzi.
JF nyumbu wa chadema wameiteka kwasababu founders wake ni wafuasi wa chadema. Nyie wapumbavu mmeuharibu huu mtandao kwa maslahi yenu ya kipumbavu. JF inatumika kufanya siasa za majitaka, siasa za kishamba za nyumbu wa chadema.
Hata hivyo bwanamdogo ujue watumiaje wa mitandao yote ya jamii hawafiki ht asilimia 5 kwa hiyo mnajisumbua tu. Pili Samia km kuna wapumbavu wanamchukia ni wale wale wapumbavu wachache wa siku zote na ht ID zenu ni zile zile. Vinginevyo watanzania wenye akili timamu, wazalendo tunampenda Rais wetu, tulimchagua mwaka jana. Ila wapumbavu km wewe na wenzako mliokimbia uchaguzi mmekazana kutaka kuushawishi na kuaminisha umma wa watanzania upumbavu wenu, mjidanganya na kufurahi km mazuzu
Wewe unafuata nini kwenye jukwaa la wasio na akili?Kwanza hawezi kuingia humu, hv ukitaja social media na JF ipo? Hii platform ni ya watu wasio na akili, ni ya watu waliokata tamaa, wafuasi wa chadema. Kazi yao ni kutukana, kudhalilisha, kuzusha uwongo, kuchochea chuki na ubaguzi.
JF nyumbu wa chadema wameiteka kwasababu founders wake ni wafuasi wa chadema. Nyie wapumbavu mmeuharibu huu mtandao kwa maslahi yenu ya kipumbavu. JF inatumika kufanya siasa za majitaka, siasa za kishamba za nyumbu wa chadema.
Hata hivyo bwanamdogo ujue watumiaje wa mitandao yote ya jamii hawafiki ht asilimia 5 kwa hiyo mnajisumbua tu. Pili Samia km kuna wapumbavu wanamchukia ni wale wale wapumbavu wachache wa siku zote na ht ID zenu ni zile zile. Vinginevyo watanzania wenye akili timamu, wazalendo tunampenda Rais wetu, tulimchagua mwaka jana. Ila wapumbavu km wewe na wenzako mliokimbia uchaguzi mmekazana kutaka kuushawishi na kuaminisha umma wa watanzania upumbavu wenu, mjidanganya na kufurahi km mazuzu
Unachekesha sana! Oktoba 29 was and still is a piece cake!Hiyo ilikuwa zamani kabla ya 29th of October 2025. Baada ya pale ni mwendo wa kukiogopa kivuli chake