Preciousvision
JF-Expert Member
- May 14, 2026
- 888
- 1,205
Kwanza we ni zoba unajulikana, pili watu km ww ndiyo mmeharibu JF mmefukuza watu wenye akili. Wapumbavu mmevamia huu mtandao na bahati mbaya moderators wamewa-entertain kwani mitazamo yenu inafanana. Usisahau JF wafuasi wake hasa wanaomchukia Rais ni chini ya asilimia moja ya watanzania. Kwa maana hiyo kampeni zenu zote mnazofanya humu haifikii ht kiwango cha tone la maji ktk maji ya bahari. Endeleeni tu kujidanganya mabwege nyieLaiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.
Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.
Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.
Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Najaribu kuwasaidia, kwani pale Mirembe madaktari wako kwa ajili ya niniWewe unafuata nini kwenye jukwaa la wasio na akili?
Wanaochukia rais ni mazombie ya chadema yaliyopo hapa jf, hata robo asilimia ya watanzania wote hawafiki, watanzania zaidi ya milioni 60 wanampendaWewe unafuata nini kwenye jukwaa la wasio na akili?
Kwa utafiti upi unakupa kuongea haya?Ukweli Rais anapendwa zaidi kila wao wanavyo jitingisha ndivo Watanzania wanadhidi kumpenda zaidi π
Mungu ni mwenye kwa wote βοΈ
Hiyo ilikuwa zamani kabla ya 29th of October 2025. Baada ya pale ni mwendo wa kukiogopa kivuli chake
Kweli mzee changamoto moto zako za afya ya akili ni incurableNajaribu kuwasaidia, kwani pale Mirembe madaktari wako kwa ajili ya nini
Hivi hao waTz wanaompenda huyo bibi ni wa nchi gani? Maana huku Tz uswazi ninakoishi mm picha yake inatumika kuwatishia watoto wakikataa kutumwa.Ukweli Rais anapendwa zaidi kila wao wanavyo jitingisha ndivo Watanzania wanadhidi kumpenda zaidi π
Mungu ni mwenye kwa wote βοΈ
Alisema kawaletea "mapapai".Very sad. She used to a side chick/ mchepuko wa mwana.
Ndio maana hana staha hata kidogo, kuna siku alifichua jambo kuhusu Mzee Moses Nnauye, alisema walipokelewa na Nnauye Dodoma, akasema Salmin katuletea vichenchere.... na yule mzee zipu ilikuwa mbovu haifungi. Unganisha dots
Kwa utafiti upi unakupa kuongea haya?
Mara ya mwisho kwa TEC alisusa hata kuongea baada ya kusomewa somo la maksudi la kumkera. Hatokanyaga tena mimbari ya kanisa katolikiHamuogope nani Rais Dk Samia popote kwake popote anaweza kuja masaa 24 mpaka Makanisani mwenu
Na hakuna Kima yoyote wa kukohoa
Unacheza na Rais wa Jamhuri
Mnamuombea Mabaya yanawapata wengine
Mfano mzee Warioba jana kadhalilika sana
Angekuwa Yule ni Mzee Wasira
Jukwaa lingewaka MOTO na YESU YESU anaweza ππππ
Hii siyo sawa, tuilinde JF acha huu usengerema.Mimi ningemuomba k ili abduli aniite baba.
CCM mjifikirie hii ni hatari!kwamba atababaika na chuki binafsi na mihemko yako useless jukwaani, right?π
Inaoneka mpaka sasa hamjui tatizo siyo Mama think deep.Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.
Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.
Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.
Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Kama maandamano yalifanyika Kimara tu, kwanini mauaji yalifanyika nchi nzima?Utafiti wawapi nyinyi na vi ID vyenu vingi vingi ndio mnajiona ni Watanzania wote
Mbona mlishindwa kushawishi Maandamano nchi nzima
Badala yake mkaishia
kimara tu wanapoishi π«π«π«π«π«π«π«π« kwa wingiππ