Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
- Thread starter
-
- #41
Anaonewa kwani hana utashi?Inaoneka mpaka sasa hamjui tatizo siyo Mama think deep.
Freeman Mbowe na akili zake zote alizojaaliwa na Mungu lakini aliweza kurubuniwa na watu wajinga kama Yericko Nyerere.
Freeman Mbowe angetumia utashi binafsi ilikuwa astaafu kwa heshima, lakini tatizo ni machawa waliokuwa wananufaika naye kama huyu mpuuzi Yericko.
Cameroon haiongozwi na Rais maana muda mwingi anaishi ulaya, sasa wale wanufaika wa mfumo wamemuweka pale Paulo Biya kuwa Rais wa maisha, nina uhakika hata ukipata nafasi ya kukutana na Paulo Biya hata yeye mwenyewe hajui kama bado ni Rais.
Kwahiyo huyu Mama kuna muda tutamuonea bure, Dr Nchimbi amewafungulia code tu ya katiba mnaona kilichompata?
Sasa ndio muelewe vizuri wanaoongoza nchi hamuwaoni kwa macho ya nyama, huyo Mama vingine tunamuonea tu.
Hivi hao waTz wanaompenda huyo bibi ni wa nchi gani? Maana huku Tz uswazi ninakoishi mm picha yake inatumika kuwatishia watoto wakikataa kutumwa.
Utashi wa Dr Nchimbi umeuona ulipoishia?Anaonewa kwani hana utashi?
Ila tuongee ukweli hivi Kuna chawa yeyote wa magufuri anaye mkubali huyu mama?Kwa sasa hakuna awezalo kufanya litakalonibadilisha mtazamo wangu kwake.
Kila siku inayopita chuki yangu kwake inazidi kuongezeka.
Namchukia vibaya mno.
Payge ni ya kweli hayaKule nyuma JF ilikuwa inaheshimika sana, ukiandika post ya malalamiko haiishi wiki umeona matokeo. JF ilikuwa source ya knowledge, kulikuwa na mada zilizokuwa zinafundisha hasa, viongozi wa serikali walikuwemo humu muda wote.
Sahv post hata uandike mara 100 huwezi kuona impact, imepuuzwa, viongozi hawaji tena humu, humu kumeoza ni matusi, uzushi, kushambulia na kudhalilisha utu wa watu. JF inatumika kufanya za kishamba, siasa za majitaka, watu wenye akili wamekimbia mtandao.
Wapumbavu km mleta mada wameharibu JF, Leo hii haiwezi kumsaidia mwananchi, serikali haiuamini huu mtandao tena kwa aina ya post zilizomo humu, umekuwa km gazeti la Mwanahalisi gazeti ambalo hakuna mfanyabiashara au kampuni yenye akili ikapeleka tangazo lake kule.
Mmiliki wa JF ana-entertain wapumbavu na wanamfanya asifanikiwe km ambavyo ingekuwa, kuna watu wamejimilikisha huu mtandao na kazi yao ni uzushi, matusi, kuidogosha serikali, kukebehi, kuijekejeli serikali siyo ukosoaji. Mmeiharibu JF nyie mambwa nyumbu wa chadema.
Master Tindwa alipigwa risasi akiwa nyumbani kwake Temeke. Sasa kama Temeke hospitali ilifurika maiti, huo ushwari ulitokea wapi?Maandamano ya nchi nzima lkn kusini yote kuko shwali kigambon yote ipo shwali Temeke yote ipo shwali Ilala yote ipo shwali
Bado mnajiona ndio sauti ya Wananchi
Fujo zimetokea tu kwenye makazi ya 🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎
Anaingia sana humu,na anajua kila kinachotokeaLaiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.
Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.
Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.
Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
huenda hatari ni kwako binafsi gentleman, but as a country,CCM mjifikirie hii ni hatari!
Kwenye jukwaa useless mnafuata nini huku? Au kwa ku login JF mnalipwa?kwamba atababaika na chuki binafsi na mihemko yako useless jukwaani, right?🐒
kwamba JF ni mali ya familia ya ya wafuata mkumbo wenye chuki binafsi na mihemko nonsense, right?Na kwamba kutukana na kuporomosha matusi jukwaani mnafanya kwa umoja hivyo bila maelekezo, si ndio?🐒Kwenye jukwaa useless mnafuata nini huku? Au kwa ku login JF mnalipwa?
Kama maandamano yalifanyika Kimara tu, kwanini mauaji yalifanyika nchi nzima?
Kwahiyo mliua si kwasababu watu wanaandamana, ila mliua kwasababu nyie ni mumiani wanywa damu za watu
Wewe upo kundi gani kati ya hao uliowataja!Hii platform ni ya watu wasio na akili, ni ya watu waliokata tamaa, wafuasi wa chadema. Kazi yao ni kutukana, kudhalilisha, kuzusha uwongo, kuchochea chuki na ubaguzi.
Ila pamoja na hilo ni kweli kuwa watuniaji wa jf sidhani kama wanafika hata %3 ya watz.Washauri wake watamwambia jf ni asilimia 0 ya watanzania
Kuwa mke wa pili kwa haraka haraka ni sawa na kuiba mume wa mtu. Ndio tuseme bi mdashi alivamia ndoa ya watu na kuji position kama mke wa pili lakini ni mistress tu.Yule Mama ni Mke wa pili Malafyale.
Yani Tunaongozwa na Waswahili mno.
Huu Muungano hapana aisee.
Ndio maana Mshenzi, Mcharuko, Shambenga, Gubegube, Michambo nk
Yule hajali kitu na Hasikiliz mtu.
Jasili haachi asili
Mlishindwa nini kukidhibiti kabla hakijaua?Kwenye Chadema kulikuwa na kikundi cha kuuwa Wananchi
Ili kupata Sapoti ya Wananchi
Wananchi wajue ni Serikali
Ndio D9 na 7+7
Vyombo vya usalama wakamwagika vibaya baada kujifunza matukio ya Mo29
Serikali ingekuwa inataka kuuwa watu ovyo basi na ile December 9
Wangewauwa tena
Na ile 7+7 pia wangewauwa upyaa
Wauwaji wa mitaani ni kikundi kimoja kimeratibiwa kimya kimya na kiongozi mmoja wa Dini kwasasa yupo kimyaaa sana mpaka sasa anaogopa kujionesha
hadharani ✍️
Kutokuwa uwezo wa kumfanya chochote haina maana kwamba tunamtakia mema. In fact mimi licha ya ujinga wangu huu nina akili ya kutosha sana kumchukia.Kumchukia mtu anaekuzidi Kila kitu ni ujinga wa mwisho, huwezi kumfanya kitu chochote
Alishasema nyege kunyegezana, ukizubaa twalaKuwa mke wa pili kwa haraka haraka ni sawa na kuiba mume wa mtu. Ndio tuseme bi mdashi alivamia ndoa ya watu na kuji position kama mke wa pili lakini ni mistress tu.
Kwa nature yake huyo bibi kizee ni ngumu sana kuolewa kama mke wa kwanza. Nafasi zinazomfaa ni mke wa pili au mchepukoKuwa mke wa pili kwa haraka haraka ni sawa na kuiba mume wa mtu. Ndio tuseme bi mdashi alivamia ndoa ya watu na kuji position kama mke wa pili lakini ni mistress tu.