Ni ujinga tu huwez kumfanya kitu chochote hata ukimtakia mabaya Kuna wengi wanamtakia mema kuliko wanaokutakia mema wewe, mumewe kafariki na umri wa miaka 80, sa mtu wa miaka hyo kufariki ni ajabu, mama hataishi kwenye ujane ya taabu hata cku Moja, yaan kiufupi unajitesa mwenyeweKutokuwa uwezo wa kumfanya chochote haina maana kwamba tunamtakia mema. In fact mimi licha ya ujinga wangu huu nina akili ya kutosha sana kumchukia.
Kwanza hawezi kuingia humu, hv ukitaja social media na JF ipo? Hii platform ni ya watu wasio na akili, ni ya watu waliokata tamaa, wafuasi wa chadema. Kazi yao ni kutukana, kudhalilisha, kuzusha uwongo, kuchochea chuki na ubaguzi.
JF nyumbu wa chadema wameiteka kwasababu founders wake ni wafuasi wa chadema. Nyie wapumbavu mmeuharibu huu mtandao kwa maslahi yenu ya kipumbavu. JF inatumika kufanya siasa za majitaka, siasa za kishamba za nyumbu wa chadema.
Hata hivyo bwanamdogo ujue watumiaje wa mitandao yote ya jamii hawafiki ht asilimia 5 kwa hiyo mnajisumbua tu. Pili Samia km kuna wapumbavu wanamchukia ni wale wale wapumbavu wachache wa siku zote na ht ID zenu ni zile zile. Vinginevyo watanzania wenye akili timamu, wazalendo tunampenda Rais wetu, tulimchagua mwaka jana. Ila wapumbavu km wewe na wenzako mliokimbia uchaguzi mmekazana kutaka kuushawishi na kuaminisha umma wa watanzania upumbavu wenu, mjidanganya na kufurahi km mazuzu
True. Jf ni mtandao mmoja tu. Wao mitandao yote wanasema ni asilimia 1. Hata ikiwa ni kweli huko kitaa Maza hakuhaliki. Sio kwenye daladala sio sokoni. Watu wamechafukwa sana . Sidhani kama huu ukweli anaujua.Ila pamoja na hilo ni kweli kuwa watuniaji wa jf sidhani kama wanafika hata %3 ya watz.
Weka ushahidi wa uzushi wako…..Ila tuongee ukweli hivi Kuna chawa yeyote wa magufuri anaye mkubali huyu mama?
Nyinyi machawa wa Magu mlianza kumchukia binti msumi tangu siku ya kwanza anaingia ikulu hata kabla ya kuanza kuchanya madudu ya kuteka na kuwa wapinzani wake.
Ni kweli inawezekana najitesa mwenyewe ila ndo hivyo sasa nina mchukia sana kwa sababu sina sababu ya kumpendaNi ujinga tu huwez kumfanya kitu chochote hata ukimtakia mabaya Kuna wengi wanamtakia mema kuliko wanaokutakia mema wewe, mumewe kafariki na umri wa miaka 80, sa mtu wa miaka hyo kufariki ni ajabu, mama hataishi kwenye ujane ya taabu hata cku Moja, yaan kiufupi unajitesa mwenyewe
Bora umchukie mtu wa level zako kumchukia Rais wa nchi ni kujitesa, huwezi kukaa nae hata cku Moja mkamaliza tofauti zenu, chukia umasikini upambane nao sio mtuNi kweli inawezekana najitesa mwenyewe ila ndo hivyo sasa nina mchukia sana kwa sababu sina sababu ya kumpenda
Pamoja na maumivu yote ya msiba, Biblia inasema:Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.
Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.
Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.
Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
ConcubineKwa nature yake huyo bibi kizee ni ngumu sana kuolewa kama mke wa kwanza. Nafasi zinazomfaa ni mke wa pili au mchepuko
Na kawaida ya mbegu, unapanda moja, inazaa mamiaPamoja na maumivu yote ya msiba, Biblia inasema:
Wagalatia 6:7
“Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
8 Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele”.
Neno la Mungu lina nguvu sana na hslina mwanxo wala mwisho.
Mama aliposema "Kifo ni kifobtu" alipouwawa ndg Kibao, ile ilikuwa kupanda uharibifu, watu waliumia na si wa upinzani peke yake.
Pale hspskuwepo hekima ya Kimungu.
Sasa yale mtu asemayo yanarudi kumsuta.
Kweli dunia tambara bovu.
Aibu sanaKwa nature yake huyo bibi kizee ni ngumu sana kuolewa kama mke wa kwanza. Nafasi zinazomfaa ni mke wa pili au mchepuko
Siasa za kuteka, kuuwa, kufira na kubambikia watu kesi za uhaini nani muasisi wake?Kwanza hawezi kuingia humu, hv ukitaja social media na JF ipo? Hii platform ni ya watu wasio na akili, ni ya watu waliokata tamaa, wafuasi wa chadema. Kazi yao ni kutukana, kudhalilisha, kuzusha uwongo, kuchochea chuki na ubaguzi.
JF nyumbu wa chadema wameiteka kwasababu founders wake ni wafuasi wa chadema. Nyie wapumbavu mmeuharibu huu mtandao kwa maslahi yenu ya kipumbavu. JF inatumika kufanya siasa za majitaka, siasa za kishamba za nyumbu wa chadema.
Hata hivyo bwanamdogo ujue watumiaje wa mitandao yote ya jamii hawafiki ht asilimia 5 kwa hiyo mnajisumbua tu. Pili Samia km kuna wapumbavu wanamchukia ni wale wale wapumbavu wachache wa siku zote na ht ID zenu ni zile zile. Vinginevyo watanzania wenye akili timamu, wazalendo tunampenda Rais wetu, tulimchagua mwaka jana. Ila wapumbavu km wewe na wenzako mliokimbia uchaguzi mmekazana kutaka kuushawishi na kuaminisha umma wa watanzania upumbavu wenu, mjidanganya na kufurahi km mazuzu
Watu wa level zangu siwezi kuwachukia kwasababu mara nyingi wanajitahidi kuwa wema. Ni kweli kwamba siwezi kukaa nae na ndo sababu nafanya dua kila siku mabaya yamkute ikiwezekana afe kabisa hiyo ndio itakuwa mwisho wa tofauti zetu. Umaskini nauchukia sana pia, ila watu kama huyu bibi nao nawachukia kwasababu wapo kundi moja na umasikiniBora umchukie mtu wa level zako kumchukia Rais wa nchi ni kujitesa, huwezi kukaa nae hata cku Moja mkamaliza tofauti zenu, chukia umasikini upambane nao sio mtu
Watu wa level zangu siwezi kuwachukia kwasababu mara nyingi wanajitahidi kuwa wema. Ni kweli kwamba siwezi kukaa na ndo sababu nafanya dua kila siku mabaya yamkute ikiwezekana afe kabisa hiyo ndio itakuwa mwisho wa tofauti zetu. Umaskini nauchukia sana pia, ila watu kama huyu bibi nao nawachukia kwasababu wapo kundi moja na umasikinun
Mm tangu nizaliwe mpaka najielewa ccm haijawahi kukubalika sehemu za mijini.True. Jf ni mtandao mmoja tu. Wao mitandao yote wanasema ni asilimia 1. Hata ikiwa ni kweli huko kitaa Maza hakuhaliki. Sio kwenye daladala sio sokoni. Watu wamechafukwa sana . Sidhani kama huu ukweli anaujua.
Watanzania wepi kwan unaowaongelea...!?Ukweli Rais anapendwa zaidi kila wao wanavyo jitingisha ndivo Watanzania wanadhidi kumpenda zaidi 👍
Mungu ni mwenye kwa wote ❗️
Wala hilo halihitaji ushahidi kuwa ww ulikuwa chawa wa jiwe au unakataa hukuwa chawa wake?Weka ushahidi wa uzushi wako…..
Ni jiweSiasa za kuteka, kuuwa, kufira na kubambikia watu kesi za uhaini nani muasisi wake?
Wizi, dhulma, ufisadi nk nani muasisi wa siasa za namna hiyo?
Tuondolee ujinga wako hapa.
Yes CCM Ina wafuasi sijui kwanini wanatumia ubabe wa kutaka wao awe asilimia mia mpaka uchaguzi wa serikali za mitaa. Ujinga huu wakianza 2019! Hakuna kitu kibaya kama kujaribu 'kula' ya watu. Tangu 2019 ccm wanapora uchaguzi wazi wazi. Hii imechangia kufika hapa tulipo.Mm tangu nizaliwe mpaka najielewa ccm haijawahi kukubalika sehemu za mijini.
Ccm huwa inakubalika vijijini Kwa kiasi kikubwa.
Kabla ya Magufuri kuja na kutumia mabavu kuuwa siasa za ushindani ccm ilikuwa imesha poteza majimbo karibia yote kwenye majiji yote na miji ukiondoa Tanga na Dodoma hivyo suala la kiongozi wa ccm kutokukubalika sehemu za mijini sio geni.
Haya matusi anayo tukanwa huyu mama hayafiki hata robo ya aliyo tukanwa Kikwete licha ya kwamba Kikwete hakuwahi kufanya maovu kama ya huyu mama sema kipindi hicho mitandao ya kijamii ilikuwa haijashamili kama Sasa.
Mm mkuu ni mfanya biashara wa mazao hivyo Mimi ninazunguka sana vjiji vingi na sehemu kubwa ya nchi bado ccm ina ushawishi mkubwa vijijini na Nina uhakika na ninacho kiongea.
Umeandika kwa hasira sana alafu ni ujinga. Kunywa maji kidogo akili ikukae sawa then nikuulize, je na wewe ni member wa Chadema? Maana huko humu. Kwanini usienxe kwenye social media zingine kwani hii umesema siyo social media.Kwanza hawezi kuingia humu, hv ukitaja social media na JF ipo? Hii platform ni ya watu wasio na akili, ni ya watu waliokata tamaa, wafuasi wa chadema. Kazi yao ni kutukana, kudhalilisha, kuzusha uwongo, kuchochea chuki na ubaguzi.