Itakuwaje siku Samia akiingia JF asome watu wanavyomchukulia?

Umeulizwa ulifanya utafiti gani? Naona unabinuka tu na mambo ambayo hujaulizwa
 
Mkuu kumuombea mtu kufa ni ujiga kwa sababu kifo kwa binadamu sio adhabu bali wajibu bora hata ingekuwa unamuombe kwenda jera Kwa sababu jera ni adhabu ya kidunia.
Alafu hata kama kweli kifo kingekuwa ni adhabu Kwa waovu ww una uhakika gani iwapo ww ni mtakatifu kumzidi Samia mbele ya huyo Mungu wako au ww Kwa akili yako unadhani uovu pekee mbele ya mungu ni kuua na kuiba kula?
 
Kama ni mitaaa ya 🫎🫎🫎🫎🫎 sitashangaaa ndiomana
wakaitwa 🫎🫎🫎🫎😂

Sio mm niliwapa ilo jina ni Watafiti wenu😂
Ndio wanakopatikana wapiga kura wengi huku. Kwahiyo tafiti lazima zianzie huku sio huko Lumumba, akili ndogo kumbe wewe
 
Natambua yote uliyoyasema ila siwezi kujizuia kumchukia
 
kwamba JF ni mali ya familia ya ya wafuata mkumbo wenye chuki binafsi na mihemko nonsense, right?Na kwamba kutukana na kuporomosha matusi jukwaani mnafanya kwa umoja hivyo bila maelekezo, si ndio?🐒
Kuna vitu vinashangaza sana, jukwaa ambalo unasema ni useless ila unashinda humu kutwa nzima. Ujinga nao ni kipaji
 
Yule Mama ni Mke wa pili Malafyale.
Yani Tunaongozwa na Waswahili mno.
Huu Muungano hapana aisee.

Ndio maana Mshenzi, Mcharuko, Shambenga, Gubegube, Michambo nk

Yule hajali kitu na Hasikiliz mtu.
Jasili haachi asili
Acha kumsingizia kuwa ni mke wa pili, yeye ukweli ni mke wa TATU.
Koma kusema uongo.
 
Hata mm hilo ndo linanishangaza hata Leo hii ccm ikikubali kuweka tume huru ya uchaguzi bado ina nafasi kubwa ya kushinda ila huu upumbavu wa Magu kutaka kufuta upinzani na kurazimisha ushindi wa asimia 97 Kwa ccm ndo umeifikisha nchi kwenye hali hii.
Na huyu mama alivyo kilaza akajii Giza kwenye njia za magufuri Moja Kwa Moja bila hata kijifikilia.
 
Kuna vitu vinashangaza sana, jukwaa ambalo unasema ni useless ila unashinda humu kutwa nzima. Ujinga nao ni kipaji
ukiwa huna mihemko,
unaweza kua mtulivu sana, ukaweza kusoma na kuewa vema nilichoeleza tangu reply yangu ya mwanzo na hata komenti muhimu sana zilizofuata.

otherwise,
utapotoka na kujaribu kupotosha wadau wa Jf kindezi namna hiyo.

ni muhimu sana kua wastahilivu uwapo jukwaani gentleman, madhara ya kukurupuka ni pamoja na kujiexpose ulivyo empty head 🐒
 

Serikali za mitaa mwaka 2024
CCM ilishinda kwa %65 kabla Uchaguzi kufanyika

Manake %65 wagombea wa CCM wamekosa Washindani

Kufikia sasa Vyama vya Upinzani vyote bado vipo kwenye Siasa za Kubet ❗️kuangalia wapi kwenye chemchem ya Upinzani

ndipo Upinzani unaweka mgombea na nguvu
zao 🤔

Manake sehemu zisizo na Chem chem ya Upinzani ndiyo CCM wataamuwa wenyewe
washindeje🤠🤠

Kwaiyo 2024 Uchaguzi Serikali za mitaa ulikuwa kwa %35 tu na bado CCM ikashinda %38

Wapinzani wote wakapata %2

Ukweli ndio Sababu Chadema wakachagua kufanya Fujo tu

WATANZANIA bado wanaimani kubwa na CCM ndio kikwazo cha Upinzani
Lkn sio Sheria za Uchaguzi au KATIBA yake✍️
 
Yule Mama ni Mke wa pili Malafyale.
Yani Tunaongozwa na Waswahili mno.
Huu Muungano hapana aisee.

Ndio maana Mshenzi, Mcharuko, Shambenga, Gubegube, Michambo nk

Yule hajali kitu na Hasikiliz mtu.
Jasili haachi asili
Lakini ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hutaki hamia Burundi
 
Umewaza km mm na hakika ingependeza na kusisimua sana
 
Umeulizwa ulifanya utafiti gani? Naona unabinuka tu na mambo ambayo hujaulizwa

USHINDI WA CCM ni tafiti ya kwanza

Sababu Rais ni Mgombea wa CCM

WATANZANIA wamempa kura nyingi kuliko Rais yoyote mwengine kipindi cha vyama vingi 🫎✍️
 
Yule Mama ni Mke wa pili Malafyale.
Yani Tunaongozwa na Waswahili mno.
Huu Muungano hapana aisee.

Ndio maana Mshenzi, Mcharuko, Shambenga, Gubegube, Michambo nk

Yule hajali kitu na Hasikiliz mtu.
Jasili haachi asili
Acha tuu... Shankupe limepewa nchi..... ukimuuliza maana ya Rais hata yeye hajui..
 
Mbona alishawahi kumwambia Melo kwamba huwa anaingia humu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…