Mtu yeyote anaruhusiwa kuingia jf, ila kwa mtu ambaye mtazamo wake kwa jf kuwa ni useless lakini bado anashinda humu 24/7 lazima awe na shida kidogo kwenye akili yake. Yaani hajui nini ni nini. Kitu useless ila umekikumbatia muda wote, are you okay gentleman? 😂 😂 😂ukiwa huna mihemko,
unaweza kua mtulivu sana, ukaweza kusoma na kuewa vema nilichoeleza tangu reply yangu ya mwanzo na hata komenti muhimu sana zilizofuata.
otherwise,
utapotoka na kujaribu kupotosha wadau wa Jf kindezi namna hiyo.
ni muhimu sana kua wastahilivu uwapo jukwaani gentleman, madhara ya kukurupuka ni pamoja na kujiexpose ulivyo empty head 🐒
Mbona mwandiko kama wa Gerishoni aliyependwa na kisukari?Kule nyuma JF ilikuwa inaheshimika sana, ukiandika post ya malalamiko haiishi wiki umeona matokeo. JF ilikuwa source ya knowledge, kulikuwa na mada zilizokuwa zinafundisha hasa, viongozi wa serikali walikuwemo humu muda wote.
Sahv post hata uandike mara 100 huwezi kuona impact, imepuuzwa, viongozi hawaji tena humu, humu kumeoza ni matusi, uzushi, kushambulia na kudhalilisha utu wa watu. JF inatumika kufanya siasa za kishamba, siasa za majitaka, watu wenye akili wamekimbia mtandao.
Wapumbavu km mleta mada wameharibu JF, Leo hii haiwezi kumsaidia mwananchi, serikali haiuamini huu mtandao tena kwa aina ya post zilizomo humu, umekuwa km gazeti la Mwanahalisi gazeti ambalo hakuna mfanyabiashara au kampuni yenye akili ikapeleka tangazo lake kule.
Mmiliki wa JF ana-entertain wapumbavu na wanamfanya asifanikiwe km ambavyo ingekuwa, kuna watu wamejimilikisha huu mtandao na kazi yao ni uzushi, matusi, kuidogosha serikali, kukebehi, kuijekejeli serikali siyo ukosoaji. Mmeiharibu JF nyie mambwa nyumbu wa chadema.
ok.🐒Mtu yeyote anaruhusiwa kuingia jf, ila kwa mtu ambaye mtazamo wake kwa jf kuwa ni useless lakini bado anashinda humu 24/7 lazima awe na shida kidogo kwenye akili yake. Yaani hajui nini ni nini. Kitu useless ila umekikumbatia muda wote, are you okay gentleman? 😂 😂 😂
Nimeishia hapo uliposema utafiti wako umetumia ushindi wa CCM.USHINDI WA CCM ni tafiti ya kwanza
Sababu Rais ni Mgombea wa CCM
WATANZANIA wamempa kura nyingi kuliko Rais yoyote mwengine kipindi cha vyama vingi 🫎✍️
Hata wasio Watanzania wanatucheka katika hili.USHINDI WA CCM ni tafiti ya kwanza
Sababu Rais ni Mgombea wa CCM
WATANZANIA wamempa kura nyingi kuliko Rais yoyote mwengine kipindi cha vyama vingi 🫎✍️
Unaposema mwenye akili wameukimbia huu mtandao, je wameenda kwenye mitandao gani? Toa mfano mmojawapo kama hutojaliKule nyuma JF ilikuwa inaheshimika sana, ukiandika post ya malalamiko haiishi wiki umeona matokeo. JF ilikuwa source ya knowledge, kulikuwa na mada zilizokuwa zinafundisha hasa, viongozi wa serikali walikuwemo humu muda wote.
Sahv post hata uandike mara 100 huwezi kuona impact, imepuuzwa, viongozi hawaji tena humu, humu kumeoza ni matusi, uzushi, kushambulia na kudhalilisha utu wa watu. JF inatumika kufanya siasa za kishamba, siasa za majitaka, watu wenye akili wamekimbia mtandao.
Wapumbavu km mleta mada wameharibu JF, Leo hii haiwezi kumsaidia mwananchi, serikali haiuamini huu mtandao tena kwa aina ya post zilizomo humu, umekuwa km gazeti la Mwanahalisi gazeti ambalo hakuna mfanyabiashara au kampuni yenye akili ikapeleka tangazo lake kule.
Mmiliki wa JF ana-entertain wapumbavu na wanamfanya asifanikiwe km ambavyo ingekuwa, kuna watu wamejimilikisha huu mtandao na kazi yao ni uzushi, matusi, kuidogosha serikali, kukebehi, kuijekejeli serikali siyo ukosoaji. Mmeiharibu JF nyie mambwa nyumbu wa chadema.
Sasa mbona na wewe upo jamii forum ya wapumbavu na ya CHADEMA? Kwa hio Hadi wake akina Lucas mwashamba,samia2025,zitto kabwe,pm nchemba na kada wengine umu ni CHADEMA? Hebu omba radhi Kwa umma na Mkurugenzi wa Jf, umejibu Kwa jazba sana na mihemko, Je hio ndio demokrasia na Jiheshimu maoni ya watu wengine hata kama hayakufurahishi?....Kwanza hawezi kuingia humu, hv ukitaja social media na JF ipo? Hii platform ni ya watu wasio na akili, ni ya watu waliokata tamaa, wafuasi wa chadema. Kazi yao ni kutukana, kudhalilisha, kuzusha uwongo, kuchochea chuki na ubaguzi.
JF nyumbu wa chadema wameiteka kwasababu founders wake ni wafuasi wa chadema. Nyie wapumbavu mmeuharibu huu mtandao kwa maslahi yenu ya kipumbavu. JF inatumika kufanya siasa za majitaka, siasa za kishamba za nyumbu wa chadema.
Hata hivyo bwanamdogo ujue watumiaje wa mitandao yote ya jamii hawafiki ht asilimia 5 kwa hiyo mnajisumbua tu. Pili Samia km kuna wapumbavu wanamchukia ni wale wale wapumbavu wachache wa siku zote na ht ID zenu ni zile zile. Vinginevyo watanzania wenye akili timamu, wazalendo tunampenda Rais wetu, tulimchagua mwaka jana. Ila wapumbavu km wewe na wenzako mliokimbia uchaguzi mmekazana kutaka kuushawishi na kuaminisha umma wa watanzania upumbavu wenu, mjidanganya na kufurahi km mazuzu
Mzee warioba ana miaka90+ ni bahati sana na neema tosha Dunia ya sasa kuishi Hadi umri ule na kusimama majukwaani, na awamu hii kajitakia mwnywe kutokupumzika Kwa wakati, mara ya kwanza usisau Makonda ndo alimdhalilisha na wenzake Kwa maelekezo maalumu.Hamuogope nani Rais Dk Samia popote kwake popote anaweza kuja masaa 24 mpaka Makanisani mwenu
Na hakuna Kima yoyote wa kukohoa
Unacheza na Rais wa Jamhuri
Mnamuombea Mabaya yanawapata wengine
Mfano mzee Warioba jana kadhalilika sana
Angekuwa Yule ni Mzee Wasira
Jukwaa lingewaka MOTO na YESU YESU anaweza 😂😂😂😂
Ndio wanakopatikana wapiga kura wengi huku. Kwahiyo tafiti lazima zianzie huku sio huko Lumumba, akili ndogo kumbe wewe
Mzee warioba ana miaka90+ ni bahati sana na neema tosha Dunia ya sasa kuishi Hadi umri ule na kusimama majukwaani, na awamu hii kajitakia mwnywe kutokupumzika Kwa wakati, mara ya kwanza usisau Makonda ndo alimdhalilisha na wenzake Kwa maelekezo maalumu.
Nyumba ndogoKweli kabisa nchi inaongozwa na matala
Hujawahi kunifikia bro.Kwa sasa hakuna awezalo kufanya litakalonibadilisha mtazamo wangu kwake.
Kila siku inayopita chuki yangu kwake inazidi kuongezeka.
Namchukia vibaya mno.
Nani amekuambia? Kwani unaishi wapi? Kwa watu tunaishi maisha yote tunajua mitazamo ya watu, nyie mnamlemba na kumdanganya, Huyu mtu wenu anachukiwa saana.Kwanza we ni zoba unajulikana, pili watu km ww ndiyo mmeharibu JF mmefukuza watu wenye akili. Wapumbavu mmevamia huu mtandao na bahati mbaya moderators wamewa-entertain kwani mitazamo yenu inafanana. Usisahau JF wafuasi wake hasa wanaomchukia Rais ni chini ya asilimia moja ya watanzania. Kwa maana hiyo kampeni zenu zote mnazofanya humu haifikii ht kiwango cha tone la maji ktk maji ya bahari. Endeleeni tu kujidanganya mabwege nyie
Hata wasio Watanzania wanatucheka katika hili.
Wangempa Salum Mwalimu hata 10%, shida kundi la vilaza linashindwa hata kubalance hesabu na nyakati.
Kwa nyakati hizi hakuna kiongozi nchi yoyote wa kushinda uchaguzi kuzidi 60% hapa ndio vilaza wanapojichanganya.