Amapita mno na yeye aliwahi kukiri mwenyewe kwenye Ile siku aliyokuwa mgeni rasmi BawachaLaiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.
Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.
Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.
Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Watanzania wepi kwan unaowaongelea...!?
Kwenye iyo list me nitoe Asap🚮
Wala hilo halihitaji ushahidi kuwa ww ulikuwa chawa wa jiwe au unakataa hukuwa chawa wake?
Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Bibi Kizimkazi haiingiii JF kuperuzi.Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.
Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.
Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.
Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Teh teh 😃 😃 😃 kazi kweli kweli..Freeman Mbowe na akili zake zote alizojaaliwa na Mungu lakini aliweza kurubuniwa na watu wajinga kama Yericko Nyerere.
Word..Kwahiyo huyu Mama kuna muda tutamuonea bure, Dr Nchimbi amewafungulia code tu ya katiba mnaona kilichompata?
Sasa ndio muelewe vizuri wanaoongoza nchi hamuwaoni kwa macho ya nyama, huyo Mama vingine tunamuonea tu.
Aiseeee acha tu , japo sijawai kuwa karibu yake. Zamani nilikua namun admire kwenye uongozi wake.Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.
Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.
Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.
Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Na nadhani ukiangalia watu wa kada ya Pwani hawastahili kuwa katika position ya rank ya juu kitaifaYule Mama ni Mke wa pili Malafyale.
Yani Tunaongozwa na Waswahili mno.
Huu Muungano hapana aisee.
Ndio maana Mshenzi, Mcharuko, Shambenga, Gubegube, Michambo nk
Yule hajali kitu na Hasikiliz mtu.
Jasili haachi asili
Mtu asiye na akili humu niwewe tu. Kwa vile huna akili unadhani na wengine hawana akili.Hii platform ni ya watu wasio na akili,
Kumuogopa ni kukiogopa kifo, lakini je utaogopa kukimbia kifo hadi lini?Aiseeee acha tu , japo sijawai kuwa karibu yake. Zamani nilikua namun admire kwenye uongozi wake.
Currently namwogopa mno mno na hata comment humu mtandaoni naogopa.. kwa kweli namuogopa sana huyo kiumbe..
Cc. KIFO NI KIFO TU.
For sure huyo mama namwogopa kama ukoma.Kumuogopa ni kukiogopa kifo, lakini je utaogopa kukimbia kifo hadi lini?
Umeandika ujingaInaoneka mpaka sasa hamjui tatizo siyo Mama think deep.
Freeman Mbowe na akili zake zote alizojaaliwa na Mungu lakini aliweza kurubuniwa na watu wajinga kama Yericko Nyerere.
Freeman Mbowe angetumia utashi binafsi ilikuwa astaafu kwa heshima, lakini tatizo ni machawa waliokuwa wananufaika naye kama huyu mpuuzi Yericko.
Cameroon haiongozwi na Rais maana muda mwingi anaishi ulaya, sasa wale wanufaika wa mfumo wamemuweka pale Paulo Biya kuwa Rais wa maisha, nina uhakika hata ukipata nafasi ya kukutana na Paulo Biya hata yeye mwenyewe hajui kama bado ni Rais.
Kwahiyo huyu Mama kuna muda tutamuonea bure, Dr Nchimbi amewafungulia code tu ya katiba mnaona kilichompata?
Sasa ndio muelewe vizuri wanaoongoza nchi hamuwaoni kwa macho ya nyama, huyo Mama vingine tunamuonea tu.
Anakuwepo JF mara nyingi tu.Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.
Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.
Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.
Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Tutapendekeza katiba ijayo mgombea urais kama atakuwa ni mwanamke awe amelelewa na baba na mama.For sure huyo mama namwogopa kama ukoma.
Anatumia user name gani?Anakuwepo JF mara nyingi tu.
Ya bibi kizee.Chunguza kwa umakini.Anatumia user name gani?