Nishaona mkuu hili nilitarajia mapema zaidi
Nishaona mkuu hili nilitarajia mapema zaidi
Uthibitisho wowote uleTukuthibitishiaje yani
Tufanyaje ili useme kweli uchawi upo?
Waziri mkuu Wa Italy aliposema...Wamepoteza uwezo Wa Kibinadamu kukabili hili janga,tumaini lililobaki ni Kuomba nguvu kutoka juu,alimaanisha nini?'....
tutumie baadhi ya video tuone mkuuInasikitisha na Inaumiza Sana, ukiangalia video za watu wanavyo Lilia ndugu zao huko,unaweza ukaogopa hata kutoka njee..
WASHA TV yako international news usikie taarifa zao na mahojiano na wahanga wa Corona, ndugu na jamaa zao, hakuna mtu anaongelea kuomba Mungu!!!
Wanaongela vitu kama ku flaten the curve!
Yani mkakati wa hesabu za kisayansi wa ku slow down mlipuko wakati wanatafuta dawa. Nobody is talking about solving a cataclysmic pandemic through prayers!
Waafrika mkoje nyie vichwani ???