Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

Watu elfu tisa aaahhh hii sasa inataka kuwa gharika..

Mwenyezi Mungu tunaomba uweke mkono wako...tusamehe makosa tunajuta!!
 
Waziri mkuu Wa Italy aliposema...Wamepoteza uwezo Wa Kibinadamu kukabili hili janga,tumaini lililobaki ni Kuomba nguvu kutoka juu,alimaanisha nini?'....


WEKA video au mainstream news link inayosema kiongozi wa Italy kasema "tumaini lililobaki ni kuomba mbinguni"

Dont be such a sucker for fake news.

Ninaposema "mainstream news source" tunaelewana ????
 
Ile press conference ya PM wa Italy hukuiona?
WASHA TV yako international news usikie taarifa zao na mahojiano na wahanga wa Corona, ndugu na jamaa zao, hakuna mtu anaongelea kuomba Mungu!!!

Wanaongela vitu kama ku flaten the curve!

Yani mkakati wa hesabu za kisayansi wa ku slow down mlipuko wakati wanatafuta dawa. Nobody is talking about solving a cataclysmic pandemic through prayers!

Waafrika mkoje nyie vichwani ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom