Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

Dah
Wataokufa na wafe. Hakuna namna!

Dunia itaendelea na watakaobaki!

Tena hii kasi ya vifo ingehamia Africa tupunguze idadi ya watu ili dunia iwe stabilized kwa uwiano sahihi wa watu na rasilimali.

Mijitu inazaa zaa hovyo tu usiku na mchana!

Dunia inazidi kuwa finyu na ngumu kwa ajili ya umati wa watu wanaotumia na kukomba kila kilichomo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una matatizo gan wew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo za leo
IMG-20200327-WA0000.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu ya maambukizi mapya kuongezeka kila siku ni nini
Ina maana hawafuati masharti ili kujikinga?
Total lockdown wameifanya March 11, hivyo effect yake itaanza kuonekana baada ya wiki 2-3(zingatia incubation period ya huyu kiumbe).
IMG_20200327_225113_502.jpg

Wenda wanaogundulika kwa sasa ni walioambukizwa kabla hawajaanza kuzingatia mashariti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna viongozi waajabu sana hawajawahi kutokea, yan wanajiaminisha corona ni km mafua wanasimplify sana
Kama leo wamewachukua raia kutoka mataifa yalio athirika na corona then quarantine wamewaleta hotel kariakoo mtaa wa aggrey

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee. Kwa update ya dakika 15 zilizopita zinaonesha US leo imepata maambukizi mapya 11,533 wakati Italy wakipata vifo vipya 919.

Yaani ni kama moto nyikani.
Marekani hali ni mbaya...Trump na mbwembwe zake hakuna tena
 
Mmmh! huu ugonjwa kumbe unaonekana uko serious ee?
 
Mkuu kwa taarifa yako wanakufa mpaka vijana . Ufaransa kuna mtoto wa 16yrs kavuta huko.. tena alikuwa. Hana tatizo lolote za kiafya..

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa nazungumzia Nini kiongozi? Na Haina maana kwamba umri mwingine watu hawafi, hapana Ila Ni kwa percentage ndongo ukicompare na wazee..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom