AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Wataokufa na wafe. Hakuna namna!
Dunia itaendelea na watakaobaki!
Tena hii kasi ya vifo ingehamia Africa tupunguze idadi ya watu ili dunia iwe stabilized kwa uwiano sahihi wa watu na rasilimali.
Mijitu inazaa zaa hovyo tu usiku na mchana!
Dunia inazidi kuwa finyu na ngumu kwa ajili ya umati wa watu wanaotumia na kukomba kila kilichomo!
Something is not right somewhere...this corona shit..ni kama new song inayopewa airtime na madj...i dnt believe those statistics.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una matatizo gan wewWataokufa na wafe. Hakuna namna!
Dunia itaendelea na watakaobaki!
Tena hii kasi ya vifo ingehamia Africa tupunguze idadi ya watu ili dunia iwe stabilized kwa uwiano sahihi wa watu na rasilimali.
Mijitu inazaa zaa hovyo tu usiku na mchana!
Dunia inazidi kuwa finyu na ngumu kwa ajili ya umati wa watu wanaotumia na kukomba kila kilichomo!
Muosha huoshwa...naona umeoshwa mkuu,siku nyingine acha kujifanya mjuaji wakati we mwenyewe kuandika vizuri hujuiTulia we mnambe mkuyenge ukuingie vizuri
[emoji867]Muosha huoshwa...naona umeoshwa mkuu,siku nyingine acha kujifanya mjuaji wakati we mwenyewe kuandika vizuri hujui
Total lockdown wameifanya March 11, hivyo effect yake itaanza kuonekana baada ya wiki 2-3(zingatia incubation period ya huyu kiumbe).Sababu ya maambukizi mapya kuongezeka kila siku ni nini
Ina maana hawafuati masharti ili kujikinga?
Marekani hali ni mbaya...Trump na mbwembwe zake hakuna tenaAiseee. Kwa update ya dakika 15 zilizopita zinaonesha US leo imepata maambukizi mapya 11,533 wakati Italy wakipata vifo vipya 919.
Yaani ni kama moto nyikani.
Kuwa wa mwisho is an option that you have choose unaweza kuwa wa kwanza pia it's your choice .sio sala zilizokufanya uwe wa mwisho.China wameweza kudhibiti ugonjwa baada ya ku flatten the curve
Na sala zimewasaidia nini Waafrika toka kuumbwa kwa dunia? Mbona sisi ndio wa mwisho kila kitu?
Tena mwakilishi wa Mungu duniani na anamamlaka ya kusamehe dhambi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa nazungumzia Nini kiongozi? Na Haina maana kwamba umri mwingine watu hawafi, hapana Ila Ni kwa percentage ndongo ukicompare na wazee..Mkuu kwa taarifa yako wanakufa mpaka vijana . Ufaransa kuna mtoto wa 16yrs kavuta huko.. tena alikuwa. Hana tatizo lolote za kiafya..
Sent using Jamii Forums mobile app
Inahuzunisha sana. Sijui ikifika zamu yetu itakuwaje. Its scaryJioni tu hapa natazama taarifa za vifo nakuta wamekufa 24 elfu baada ya masaa mawili wamefika 26000 dah.!