Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

Ni kipi apa?
 
Mkuu weka hizo clip hapa na sie tusokuwa na connection tuone.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mambo serious haya kwetu wanaita kaupepo. Eeh mola wetu uliyefanya moyo wa jiwe wa Farao kutambua uwepo wako, hebu ukawaguse na hawa wa kwetu watambue kuwa wanao wajibu wa kuchukua hatua zilizo bora zaidi na kwa hali ya dharura sana, kulinusuru taifa hili.
 
JPM angebadiri msimamo kwa muda kuangalia matokeo ya nchi jirani, hii kujiaminisha corona ni kama mafua tunajiweka kwenye risk

Ina shangaza. Haihitaji degree achilia mbali PhD kuona nini cha kufanya.
 
"utajua hatari ya biological weapons,,yaani Bora silaha za kikemikali "

Tofauti ya Biological weapons na silaha za kikemikali ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Chemically weapons Ni chemically sumu Kama vx etc.
Biological weapons Ni vimelea vya magonjwa Kama anthrax, botulinum etc,so inaweza kuwa bacteria ama virus
 
Nilimsikia juzi T.B JOSHUA akisema corona itaisha tarehe 27 march

Hivi alitaja na mwaka?

It's Scars
 
Nakipayaje hicho kitabu mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unamaanisha nini sasa, mzungu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…