Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

Kuna kitabu kimoja kinaitwa,SATAN BUG,,yaani ukikisoma hicho ndo utajua hatari ya biological weapons,,yaani Bora silaha za kikemikali baada ya kupigwa baadae Hali inakua clear.satan bug kijiko kimoja tu kikiachiliwa,nusu ya wanadamu duniani wanapotea within one month
Ni kipi apa?
Screenshot_2020-03-27-23-47-57.jpeg
 
Mkuu weka hizo clip hapa na sie tusokuwa na connection tuone.
Mie nawaombea sana. Yaani nikiangalia watoto wanavyopigania uhai (kupumua kwa shida) harafu navuta hisia kama ndo mwanangu hadi machozi yanatoka. Kuna Msouth yuko Belgium ananitumia clip za wagojwa aisee unaweza fikiri ni Movie kumbe kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na hatua zote walizochukua hali bado ni tete sana. Siku ya leo tu watu 919 wamefariki kutokana na corona. Badala ya idadi ya vifo kupungua inazidi kuongezeka kila siku, pls kabla hujalala tumia hata dakika moja kuwaombea kwa Mungu awasaidieView attachment 1401142

Mambo serious haya kwetu wanaita kaupepo. Eeh mola wetu uliyefanya moyo wa jiwe wa Farao kutambua uwepo wako, hebu ukawaguse na hawa wa kwetu watambue kuwa wanao wajibu wa kuchukua hatua zilizo bora zaidi na kwa hali ya dharura sana, kulinusuru taifa hili.
 
JPM angebadiri msimamo kwa muda kuangalia matokeo ya nchi jirani, hii kujiaminisha corona ni kama mafua tunajiweka kwenye risk

Ina shangaza. Haihitaji degree achilia mbali PhD kuona nini cha kufanya.
 
"utajua hatari ya biological weapons,,yaani Bora silaha za kikemikali "

Tofauti ya Biological weapons na silaha za kikemikali ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Chemically weapons Ni chemically sumu Kama vx etc.
Biological weapons Ni vimelea vya magonjwa Kama anthrax, botulinum etc,so inaweza kuwa bacteria ama virus
 
Nilimsikia juzi T.B JOSHUA akisema corona itaisha tarehe 27 march

Hivi alitaja na mwaka?

It's Scars
 
Kuna kitabu kimoja kinaitwa,SATAN BUG,,yaani ukikisoma hicho ndo utajua hatari ya biological weapons,,yaani Bora silaha za kikemikali baada ya kupigwa baadae Hali inakua clear.satan bug kijiko kimoja tu kikiachiliwa,nusu ya wanadamu duniani wanapotea within one month
Nakipayaje hicho kitabu mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WASHA TV yako international news usikie wahanga wa Corona, ndugu na jamaa zao wanahojiwa, hakuna mtu kwao uzunguni huko anaongelea kuomba Mungu!!!

Wanaongela vitu kama ku flaten the curve!

Yani mkakati wa mahesabu ya kisayansi wa ku slow down mlipuko wakati wanatafuta dawa. Nobody is talking about solving a cataclysmic pandemic through prayers!

Waafrika mkoje nyie vichwani ???
unamaanisha nini sasa, mzungu ?
 
Back
Top Bottom