Jukwaa langu pendwa kabisa humu JFChitchat ( jukwaa la JF Chit-Chats and Jokes) linajulikana kama jukwaa huru ndani ya mtandao wa JamiiForums ambapo wanachama hupumzika na kupiga soga zisizo rasmi.
Tofauti na majukwaa ya siasa au uchumi yanayohitaji hoja nzito na utafiti, Chitchat ni sehemu ya:
Utani na Burudani: Watu huweka vichekesho, vitendawili, na simulizi za kusisimua ili kuchangamshana.Soga za Kijamii
Ni mahali pa kusalimiana, kupiga umbea wa mjini, na kujadili mambo madogo madogo ya maisha kama vile mahusiano, vyakula, na tamaduni.
Uhuru wa Kujieleza: Ingawa kuna sheria za jamii, hapa ndipo wanachama "hujiachia" zaidi kuelezea hisia zao au kuanzisha mada za kijamii ambazo hazina kundi maalum.
Kujenga Urafiki: Wadau wengi hutumia jukwaa hili kufahamiana zaidi (bonding) nje ya mada ngumu za kitaifa.Ni kweli, kwa wengi Chitchat ni kama "sebuleni" ambapo kila mtu anakaribishwa kupunguza msongo wa mawazo (stress) baada ya harakati za siku nzima.
Kushakucha muda sana, watu mpaka tushatoa jasho la 3Kumekucha.!
😀😀 Ni mapema sana mkuu, jua halijawa bado kali mbonaKushakucha muda sana, watu mpaka tushatoa jasho la 3
😂😂😂 Tatizo sio jua kabisa, mchawi mapambano ya siku mpya tu.😀😀 Ni mapema sana mkuu, jua halijawa bado kali mbona
Keep on boe 💪💪😂😂😂 Tatizo sio jua kabisa, mchawi mapambano ya siku mpya tu.
Sasa hivi lipoje mkuu?Hili jukwaa likua Poa sana miaka ya 2009 Hadi 2013 katikati
Katika hili, mwamba anastahili kweli huo u moderatorTumeanza kufundishana sasa namna yakutumia majukwaa wakupe u moderator sasa...😃
Imepungua sana ule u chitchat wakeSasa hivi lipoje mkuu?
Mageuzi ndani ya jukwaa la JF Chit-Chat and Jokes yameendelea kuwa kielelezo cha mabadiliko ya kijamii na kiutamaduni miongoni mwa wanachama wa JamiiForums. Kufikia Mei 2026,Imepungua sana ule u chitchat wake
Asante nalipenda hili jukwaa
Kwani Mimi nimekosea wapi,Acha kujipendekeza mxieeewHili jukwaa ni mahsusi kwa ajiri ya vitu alivyoeleza Mshana, kama ni mtu wa self esteem, ego, u serious na ujuaji, huku hakukufai. Watu wapo huku kufurahi, kupata marafiki, kucheka na kupunguza stress za maisha.