Tumeanza kufundishana sasa namna yakutumia majukwaa wakupe u moderator sasa...π
Ila moderators wanafaidi sanaaModerator ni mtu ambaye JamiiForums humwita Content Manager)
kunahitaji sifa mchanganyiko za kitaaluma, kijamii, na kimaadili ili kuhakikisha jukwaa linabaki kuwa sehemu salama ya mijadala
.Zifuatazo ni sifa kuu zinazohitajika kulingana na vigezo vya JamiiForums:
1. Sifa za Taaluma na UzoefuElimu: Shahada ya kwanza (Bachelor's Degree), hasa katika fani za Uandishi wa Habari (Journalism), Mawasiliano (Mass Communication), au Elimu.Umri: Kwa kawaida wanatafutwa watu wenye umri kati ya miaka 20 hadi 30.Uzoefu wa Jukwaa: Awe mwanachama hai wa JamiiForums kwa angalau mwaka mmoja au zaidi.Lugha: Uwezo mkubwa wa kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha.
2. Sifa za Kiutendaji na Maadili
Kutofungamana na Upande Wowote (Impartiality): Hii ni sifa muhimu zaidi; moderator lazima awe na uwezo wa kusimamia mijadala bila kuonyesha upendeleo kwa dini, siasa, au itikadi yoyote.Uvumilivu na Ustahimilivu:
Uwezo wa kufanya kazi chini ya shinikizo na kushughulikia maudhui nyeti kwa weledi na hekima.
Umahiri wa Tehama: Uwezo mzuri wa kutumia kompyuta, mifumo ya kusimamia maudhui (CMS), na kuelewa mienendo ya mawasiliano ya kidijitali.
Uangalifu (Detail-oriented): Uwezo wa kubaini maudhui yanayokiuka sheria za jukwaa haraka na kuchukua hatua stahiki.
3. Majukumu ya ModeratorUkipata nafasi hiyo, kazi zako kuu ni:
Kuhakikisha wanachama wanafuata Miongozo ya Jukwaa (Community Engagement Guidelines).
Kuhariri, kufuta, au kuunganisha mada zinazofanana ili kudumisha mpangilio.
Kushughulikia malalamiko ya watumiaji na kutoa adhabu (kama ban) kwa wanaokiuka taratibu.
Ile kuitwa na kuhojiwa maswaliHili jukwaa likua Poa sana miaka ya 2009 Hadi 2013 katikati
Mkuu Chivundu leo kusiwe na vayolensi tuelimishe tuu
Kujua ids za watu nje ndani, siri za kila id wanazo wanatuchora tuKwanini
Umeeleweka vizuri sana bwashee, huyo katoroka tu mirembeMkuu mimi vayolensi sio mambo yangu! Nahisi sijaeleweka au nimetafsiriwa ndivyo sivyo. π
Umeeleweka vizuri sana bwashee, huyo katoroka tu mirembe
Humu mtu anaweza kuamka tu na kiporo chake cha migebuka , hasira zimejaa kama njiwa manga na kukuparamiaHatari mkuu! π
Najua mkuu tuwe wavumilivu tuu maana leo ni hepi besdei ya Maxence Melo πͺπΏMkuu mimi vayolensi sio mambo yangu! Nahisi sijaeleweka au nimetafsiriwa ndivyo sivyo. π
Unanifundisha majukumu ya moderator na wala sijakuomba hilo!, huoni huko ni kujikuna usipowashwa..?Moderator ni mtu ambaye JamiiForums humwita Content Manager)
kunahitaji sifa mchanganyiko za kitaaluma, kijamii, na kimaadili ili kuhakikisha jukwaa linabaki kuwa sehemu salama ya mijadala
.Zifuatazo ni sifa kuu zinazohitajika kulingana na vigezo vya JamiiForums:
1. Sifa za Taaluma na UzoefuElimu: Shahada ya kwanza (Bachelor's Degree), hasa katika fani za Uandishi wa Habari (Journalism), Mawasiliano (Mass Communication), au Elimu.
Umri: Kwa kawaida wanatafutwa watu wenye umri kati ya miaka 20 hadi 30.Uzoefu wa Jukwaa: Awe mwanachama hai wa JamiiForums kwa angalau mwaka mmoja au zaidi.
Lugha: Uwezo mkubwa wa kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha.
2. Sifa za Kiutendaji na Maadili
Kutofungamana na Upande Wowote (Impartiality): Hii ni sifa muhimu zaidi; moderator lazima awe na uwezo wa kusimamia mijadala bila kuonyesha upendeleo kwa dini, siasa, au itikadi yoyote.Uvumilivu na Ustahimilivu:
Uwezo wa kufanya kazi chini ya shinikizo na kushughulikia maudhui nyeti kwa weledi na hekima.
Umahiri wa Tehama: Uwezo mzuri wa kutumia kompyuta, mifumo ya kusimamia maudhui (CMS), na kuelewa mienendo ya mawasiliano ya kidijitali.
Uangalifu (Detail-oriented): Uwezo wa kubaini maudhui yanayokiuka sheria za jukwaa haraka na kuchukua hatua stahiki.
3. Majukumu ya ModeratorUkipata nafasi hiyo, kazi zako kuu ni:
Kuhakikisha wanachama wanafuata Miongozo ya Jukwaa (Community Engagement Guidelines).
Kuhariri, kufuta, au kuunganisha mada zinazofanana ili kudumisha mpangilio.
Kushughulikia malalamiko ya watumiaji na kutoa adhabu (kama ban) kwa wanaokiuka taratibu.
Bwashee, una nyota ya kuvutia violenceNajua mkuu tuwe wavumilivu tuu maana leo ni hepi besdei ya Maxence Melo πͺπΏ
Dah! Umenikumbusha jana nikaambiwa .... Yatanishinda! π π₯Ί Nikajiiuliza manini hayoπ maana kama ni matunguli nilishayauza yote!Humu mtu anaweza kuamka tu na kiporo chake cha migebuka , hasira zimejaa kama njiwa manga na kukuparamiaView attachment 3585981
Najua mkuu tuwe wavumilivu tuu maana leo ni hepi besdei ya Maxence Melo πͺπΏ
Vibuyu vimekupasukia BwasheeHapana kabisa bwashee labda wamenitupia jini makataπ
Wacha mambo yako...πNimekupa na bakshish.. Huoni sasa umeelimika? π