Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Hahahaha Gen Z hao, Sasa sie wazee tumebaki na Ile picha ya JF ya zamani, hii ya Sasa ya kuchambana tumeishindwaWatoto hawana adabu jamani!! Ni kutukanana na kuchambana tuπββοΈπββοΈ
Usitukimbie kwanza, bakibaki kidogoπ€£Hahahaha Gen Z hao, Sasa sie wazee tumebaki na Ile picha ya JF ya zamani, hii ya Sasa ya kuchambana tumeishindwa
Hahahaha π€£ labda unibakishe bakisheUsitukimbie kwanza, bakibaki kidogoπ€£
Eewaaah! Usikwende please.Hahahaha π€£ labda unibakishe bakishe
Nimebadili jina sheeπ€£Kwani shee na hii ni yako?
Nilibadili then nikataka kurudi hapa, nikakuta siwezi kubadili tena. Basi nikabakia kule. Leo nimejaribu ikakubali, japo jina lilishachukuliwa.Naona unataka kuwa au umekuwa shushushu.. Ila hii ID ya kitambo nadhani na ilipotea muda Sana
Kuchangamsha nini tena sweetheart ?
Inayotakiwa kuchangamshwa..Kuchangamsha nini tena sweetheart ?
Namtumikia Mungu... Nimeokoka...Inayotakiwa kuchangamshwa..
Waniite mbwakoko nimekaa paleeeee π πNamtumikia Mungu... Nimeokoka...
Achana na mimi sheeπ€£π€£Hii nzuri ile nyingine mbaayaπππΏππΏ