Itambue namba Hii ya simu

Itambue namba Hii ya simu

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,963
Reaction score
3,685
Habar wakuu.....
Nilinunua bidhaa kwa mtandao na nikasafisha kwa njia ya flat rate shipping ambayo ni free ila huchukua had muda mpaka siku 25 kukufikia........Kifurushi nimenunua rosewholesale.com na nilinunua bidhaa ndogo kama majaribio..baada ya wiki tatu tangu kusafirishwa Kifurushi nikapogiwa simu toka no Hii 0785 334 712 kuwa mzigo wako umeshafika njoo uchukue (tatizo inaonekana hana muda wa maelezo so kumuuliza ni wapi nije simu ikakatwa) ....Nikavunga zangu baada ya wiki 3 tena nikapigiwa njoo uchukue mzigo wako (kugundua ni ile na mm nikamuwahi kumuuliza nije kuuchukua wapi akaniambia njoo posta simu ikakatwa)Nikabak njia panda posta ya wapi nami Niko morogoro.Ningefahamu Hii no niya ofisi ya wapi ingekuwa poa au ndio bandarin au local poster ingawa sijatuma kwa po box.
HII NO JAMANI. 0785334712
SHUKRANI
 
Kifurushi nikapogiwa simu toka no Hii 0785 334 712 kuwa mzigo wako umeshafika njoo uchukue (tatizo inaonekana hana muda wa maelezo so kumuuliza ni wapi nije simu ikakatwa) ....Nikavunga zangu baada ya wiki 3 tena nikapigiwa njoo uchukue mzigo wako
Nikawaida kwa sasa kwa watoa huduma wa Posta kupiga simu iwapo mzigo wako umekaa muda mrefu.

Au mzigo hauna taarifa za kujitosheleza.

Mizigo yote sorting hufanyika Posta mpya dsm kisha ndio husambazwa kwenye posta zingine.

Yaonekana kuwa mzigo wako ulikosa SLP ndio sababu umekwama dsm.

Ni wajibu wako kufuatilia.
 
Nikawaida kwa sasa kwa watoa huduma wa Posta kupiga simu iwapo mzigo wako umekaa muda mrefu.

Au mzigo hauna taarifa za kujitosheleza.

Mizigo yote sorting hufanyika Posta mpya dsm kisha ndio husambazwa kwenye posta zingine.

Yaonekana kuwa mzigo wako ulikosa SLP ndio sababu umekwa dsm.

Ni wajibu wako kufuatilia
Shukran mkuu coz nakumbua sikujaza po box no
 
Tatizo liko kwa seller,aliyetuma mzigo,na sio upande wako.

Ametumia njia nafuu kutuma mzigo wako, ndio sababu umekuja kwa njia ya posta.

Ila kama seller angetumia DHL, ARAMEX, FEDEX, UPS, Hili tatizo lisingekuwepo na

Mzigo usingefikia posta, Na wala p.o.box huwa haihitajiki.

Maana ni physical address to ndio hutumika na ungeupta ndani ya siku chache.

Thread Rejea
- Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)
 
Shukrani mkuu ila hao dhl FedEx huwa ghal ukilinganisha na Kifurushi chenyewe
 
Nashindwa kuelewa kwanini usimpigie wewe!

Baada ya kupiga na kukosa msaada ndo ungekuja humu kuomba ushauri.
 
Yap sikupata maelekezo ya kutosha zaid ya kuwekwa njia panda coz nilitaraj niambiwe njoo bandarin lakin nambiwa njoo posta na posta zipo nyingi
 
Kwanini usiwapigie upate maelezo ya kutosha.

Au umetumiwa postcard ndo mana hauko serious?
 
Kwani wewe uliweka delivery address ya wapi?!!?, tatizo tumelemaa ukiwambiwa posta unajua ni eneo...., ni kosa, hiyo sehemu wengi tuna refer kama eneo lakini ni ofisi(nenda office za posta sehemu ya mizigo(siyo EMS)) ya address uliyoandika..
 
Shukran kwa mchango wako wenye kukatisha tamaa
 
Kwani wewe uliweka delivery address ya wapi?!!?, tatizo tumelemaa ukiwambiwa posta unajua ni eneo...., ni kosa, hiyo sehemu wengi tuna refer kama eneo lakini ni ofisi(nenda office za posta sehemu ya mizigo(siyo EMS)) ya address uliyoandika..
Hakuandika address.
 
Back
Top Bottom